falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,227
- 9,356
Jipe moyoNi kweli kabisa Mkuu.
Jipe moyoNi kweli kabisa Mkuu.
Endeleeni kujidanganya wakati hajaweka hata jiwe la msingi la kiwanda cha toothpicksTanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Wewe ni mtoto wa kota tuliza ball wanaume wanaokula kwa jasho wajadili mada hii.Mzee tulia nani kakuambia tuna shida na pesa za MCC
MKUU MIE HUWA NAWASHANGAA SANA BAADHI YA WABONGO KAMA HUYU MTOA HOJA KUPENDAPENDA VYA KUPEWA NA KUHONGWA, HII NDIO INAITWA UTUMWA WA AKILI ( MENTAL SLAVERY) ALIOUIMBA BOB MARLEY, HIVI KWA MTU MWENYE DHATI KABISA KABISA YA MOYONI MWAKE ALIEKAA NA WAZUNGU, HAKUNA MZUNGU MWENYE AKILI YAKE TIMAMU KULE ULAYA AU AMERIKA ANEITAKIA MIJITU MEUSI( AFRIKA) MAENDELEO, NEVER ON EARTH! SASA NYIE MNAONG'ANG'ANIA PESA MCC, NENDENI MKAWALAMBE MIGUU WAZUNGU WAWAPE NA MUISHI HUKO HUKO!KWANZA WAO NCHI ZAO HIZO HAZINA TENA RAW MATERIALS, NA MAENDELEO YA MENGI YAMETOKANA NA HIZI RESOURCES ZETU HUKU BARA JEUSI, SASA JITU JEUSI LIMEKAA KABISA LINAWAZA KUNA MJOMBA ANGU MZUNGU( MCC) ATANISAIDIA, ACHENI UPUNGUANI JAMANI!Toka waanze kutupa hizo pesa tumemaliza matatizo yetu yote? Tufanye kazi tujenge nchi...anayekulisha lazima ataku control tu
Miaka yote wanatoa hiyo mi fuedha mbona bado watoto wanasoma wakiwa chini??Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Jumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.
Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.
Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
Unafikiri wanaposema good governance wanamaanisha nini!?Soma majarida yapo kibao.
MCC haikuanza na JK, bali baada tu ya utawala wa Ben Mkapa alyeweka mazingira ya Utawala Bora
Na tatizo lililopo si kupokea fedha za MCC, bali masharti yaliyowekwa sasa, ya Zanzibar, masharti hayo hayakuwepo wakati MCC ina sainiwa.
Be informed!
Wanaokuhamsisha na god gvernance waulize kule Guantanamo wanatekeleza siasa hizo!!Unafikiri wanaposema good governance wanamaanisha nini!?
Marekani hawawezi kukupa msaada bila kuingiza kipengere cha good governance na human rights!!
Tunakusanya Shs ngapi?Mishahara Bil 500 na madeni Bil 900 je tunachokusanya kitatosha kweli?Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Kwani wakati hizo pesa tunapwa hao wazzazi wetu vijijini walikuwa matajiri?...kama ni dawa na madawati kwa mtindo wa kubana matumizi, na kuondoa malipo hewa tutaweza jisimamia wenyewe, tukitumia raslimali zetu vyema, tutaweza, tusipopewa itakuwa ni kheri itasaidai viongozi kuumiza kichwa kuweza kutumia raslimali tulizo nazo, lakini sio kupewa pesa za masharti na manyanyaso kwahiyo tukipewa sharti la kupitisha ndoa za jinsia moja ndo tupewa hizo hela itabidi tutekeleze kisa hatuna madawa??? halafu unadai mabadiliko kwa akili hizo za kuomba omba au kutegemea kusaidiwa.Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Hapa ndio unaweza ukaelewa usomi wetu, tunakusanya Shilngi ngapi na matumizi ni shs ngapi?Muanzisha mada ana asili ya ombaomba. Hatutaki hizo hela, wagawie waafrica wengine wenye njaa, sisi tutakusanya za kwetu wenyewe. Hatuwezi kuyumbishwa kisa vijisenti. Na kwa taarifa yako swala la zanzibar tumelimaliza jana.
Hapa hupawezi, rudi kule mkaendelee kujadili vyupi na mengineyo.Kwani wakati hizo pesa tunapwa hao wazzazi wetu vijijini walikuwa matajiri?...kama ni dawa na madawati kwa mtindo wa kubana matumizi, na kuondoa malipo hewa tutaweza jisimamia wenyewe, tukitumia raslimali zetu vyema, tutaweza, tusipopewa itakuwa ni kheri itasaidai viongozi kuumiza kichwa kuweza kutumia raslimali tulizo nazo, lakini sio kupewa pesa za masharti na manyanyaso kwahiyo tukipewa sharti la kupitisha ndoa za jinsia moja ndo tupewa hizo hela itabidi tutekeleze kisa hatuna madawa??? halafu unadai mabadiliko kwa akili hizo za kuomba omba au kutegemea kusaidiwa.
Asante kwa kunisoma, ila kumbi hiyo vyupi ndo ilokuleta hapa duniani, isingevuliwa usingekuwa hapa.Hapa hupawezi, rudi kule mkaendelee kujadili vyupi na mengineyo.
Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.