babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
tusipewe tu,maana hatujielewi
MCC kuna mambo ya ndoa ya jinsia moja?Masharti yao yakoje?Masharti yako wazi?Kwani wakati hizo pesa tunapwa hao wazzazi wetu vijijini walikuwa matajiri?...kama ni dawa na madawati kwa mtindo wa kubana matumizi, na kuondoa malipo hewa tutaweza jisimamia wenyewe, tukitumia raslimali zetu vyema, tutaweza, tusipopewa itakuwa ni kheri itasaidai viongozi kuumiza kichwa kuweza kutumia raslimali tulizo nazo, lakini sio kupewa pesa za masharti na manyanyaso kwahiyo tukipewa sharti la kupitisha ndoa za jinsia moja ndo tupewa hizo hela itabidi tutekeleze kisa hatuna madawa??? halafu unadai mabadiliko kwa akili hizo za kuomba omba au kutegemea kusaidiwa.
Mimi binafsi sijapenda na sitakaa nipende, maana ccm walichofanya zanzibar ni ubakaji wa democrasia, sikatia kama uchaguzi ulikuwa wa haki na huru juzi ila ninavyotaka kusema uchaguzi ule haukuhitajika? Maana ccm walishashindwa! Hilo matokeo yake watayapata muda si mrefu kuwa nn wanzanzibar hawajafurahishwa nacho, hilo nawaachia wazanzibari.Jumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.
Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.
Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
Tumechoka kupewa samaki. Sasa tutengeneze nyavu zetu wenyewe.
Haaa haaa eti mbona Zimbabwe hawafi?Zimbabwean are living dead na wanapata misaada kibao kutoka China, Iran na mafuta yao yote vikwazo vinawaliza sembuse sisi?Lets wait n see maana afadhali kukosa MCC kuliko vikwazohiyo misaada yeneywe hawatoi bure kuna faida wanayopata pia kupitia migongo yetu lol.. wacha wabaki nazo, tuone kama tutakufa. mboan Zimbabwe hawafi.
Hujui usemaloMzee tulia nani kakuambia tuna shida na pesa za MCC
Haya nenda usilete unajisi guluguja weeeAsante kwa kunisoma, ila kumbi hiyo vyupi ndo ilokuleta hapa duniani, isingevuliwa usingekuwa hapa.
Kamuulize Magufuli.Kwa ufupi tu. Kwani wakati tunapokea hiyo misaada hakukuwepo na wanafunzi wanaokaa chini?
Tunakusanya Shs ngapi?Mishahara Bil 500 na madeni Bil 900 je tunachokusanya kitatosha kweli?
Kamuulize Magufuli.
Hasara imelipata tumbo la Lana lililokuzaa wewe kinyaa.Aliyekuoa kapata hasara.
Hasara imelipata tumbo la Lana lililokuzaa wewe kinyaa.
Naona Leo umekosa pakuingizia posho... Nawisha jambilo hilo kaliuze kimboka!Papala pa pa talarira rira...!
Naona Leo umekosa pakuingizia posho... Nawisha jambilo hilo kaliuze kimboka!
Hebu kimbiza jambilo hilo unatujazia nzi hapa hakuna anayelihitaji shume wewe.Usituoneshe tabia yako.
Hatukuambiwa. Tunajua hivyo.Mzee tulia nani kakuambia tuna shida na pesa za MCC
Hilo swali ungwauliza viongozi wa ccm wangekwambia hiyo hela inakokwendaMiaka yote wanatoa hiyo mi fuedha mbona bado watoto wanasoma wakiwa chini??
Hatuzitaki Sasa!!!!
Hebu kimbiza jambilo hilo unatujazia nzi hapa hakuna anayelihitaji shume wewe.
Au wamwambie Magufuli atangaze kabisa kuwa hataki hiyo misaada.Hilo swali ungwauliza viongozi wa ccm wangekwambia hiyo hela inakokwenda