Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Nasangaa mlivyo valia njuga kumrudisha matonya kwao wakati wenyewe ndio kina matonya wakubwaaa
 
Mkuu unalala mlango wazi na kutazamia neema itaingia mlangoni!!
MCC ni chombo chenye malengo ya maslahi na matakwa ya Marekani.
JPM amefanya vema kujikita katika kuondoa taswira ya kuonekana kujikomba kutekeleza matakwa yao.
Na pale wabunge wa Marekani walipokuja bila itifaki aliwatolea nje.
Ni vizuri kama nchi tukawa na moyo wa kujiamini na kujua kile tunachotaka na si kudhalilishwa kwa vimisaada vyenye masharti ya kuondoa heshima ya nchi.

Kimsingi mimi sitegemei MCC kama watabadili maslahi ya nchi yao ili tu walete misaada Tanzania.
Hiyo hela isahau!!!
Yaani kwa upuuzi huu mnaoandika kwa kuipondea hiyo misaada ya mcc kama hamjui ndio mnawadhalilisha watawala wenu ambao wanakesha wakipiga magoti na kuwaangukia hao wazungu ili kupata hiyo misaada,ama kweli vijana wa ccm ni sawa na ndumilakuwili
 
Bendera fuata upepo hao....

Sent from my Lenovo A6000 using JamiiForums mobile app
 
1458549981600.jpg
Mkuu mbona unaandika huku unatetemeka
Unatetemeka wewe uliye lala bila kula huku ukitumiwa kama kandambili
Mkuu mbona unaandika huku unatetemeka
Unatetemeka wewe uliye lala bila kula huku ukitumiwa kama kandambili
 
Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Unaweza kuniambia kitu gani tumeisha anza kuuza nje ya nchi? Napenda sana hiyo ndoto ya kua donor itimie but haitawezekana kwa kukusanya kodi tu na nina hakika Magufuli anaweza kuweka misingi mizuri and may be hata kujenga baadhi ya kuta (kama uki relate na mfano wa nyumba) lakini hawezi kumaliz aujenzi in 5-10 years time.
 
Kigezo muhimu ni cha kupambana na ufisadi ambacho Magufuli amekikidhi kwa asilimia 200!
Suala la Zanzibar si kivile maana hiyo ni nchi! na nasikia wamepiga kura Jana kwa utulivu wa hali ya juu!
Vinginevyo watupe zetu za bara!
mkuu hurumia mbavu zangu asee
 
Hiyo ndoto yako labda baada ya miaka 100 ndio itatimia

Mtu anayesema hawezi kujenga nyumba, huishi nyumba ya kupanga miaka yote. Si lazima tatizo iwe ni pesa, inaweza kuwa ukosefu wa nia ya kujenga!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Waendeleee kukaa nazo..Tutazoea vibaya acha kwanza tuumize vichwa sio kila siku msaada!!
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mtu anayesema hawezi kujenga nyumba, huishi nyumba ya kupanga miaka yote. Si lazima tatizo iwe ni pesa, inaweza kuwa ukosefu wa nia ya kujenga!
Huo mfano upo mbali na kilichozungumzwa
 
Siyo idea mpya. Wengine tumeisema sana wakati wa mkwere. Muda mrefu Tanzania imekuwa ni laughing stock wakati tuna rasilimali nyingi na tulikuwa hatukusanyi kodi.

Tunahitaji kukusanya kodi. Tunahitaji kupanua wigo wa kodi. Tunahitaji kuondoa misamaha ya kodi ambayo ilikuwa chaka la rushwa.
hizi ni idea zako, je ni sehemu ya sera zinazotumika kusimamai serikali hii??
 
Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Jibu nzuri sana,
 
Vijana wa Lumumba ni wanafiki sana wanajifanya kumsifu Magu lakini akishaondoka kwenye madaraka wataanza kumponda kama walivyo mtelekeza mkwele maana wao hawana uchungu na nchi wao wanacho angalia ni mkono uende kinywani
 
Kweli kabisa hamna shida maana Magufuli kakusanya mapesa mengi na hivi sasa hakuna mwanafunzi anayekaa chini.. Hospitali zote zimejaa madawa na vifaa tiba hata wazazi wako si mafukara tena.
Mkuu, watu kama lizabon, simiyu yetu na faiza fox watakuambia sasa kila kitu swafi, matibabu, elimu bure na watu wamejazwa mapesa angali wao hata 20,000/= mfukoni ni sheedah!
 
Back
Top Bottom