Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care




Nahsi.umetoka mirembe kabla ya muda how long would a poor country take tobecome rich? Bado.malaysia singapore,Korea na taiwan hazijawa donor country wewe kojoa kalale mirembw
 
Yaani kwa upuuzi huu mnaoandika kwa kuipondea hiyo misaada ya mcc kama hamjui ndio mnawadhalilisha watawala wenu ambao wanakesha wakipiga magoti na kuwaangukia hao wazungu ili kupata hiyo misaada,ama kweli vijana wa ccm ni sawa na ndumilakuwili
Wengi wenu wa kizazi cha sasa wala hamjui kwamba Tanzania miaka 30 iliyopita ilikuwa na viwanda vingi kuliko ilivyo sasa.
Na tulitumia malighafi yetu katika hivyo viwanda, na ndio dhana kiutekelezaji ya kujitegemea.
Na si kulala kuota fedha za misaada.
Someni historia mjue tulikotoka na makosa ya kufikirua kuna mjomba wa kutusaidi , mawazo yalivyo mufilisi.
 
Wengi wenu wa kizazi cha sasa wala hamjui kwamba Tanzania miaka 30 iliyopita ilikuwa na viwanda vingi kuliko ilivyo sasa.
Na tulitumia malighafi yetu katika hivyo viwanda, na ndio dhana kiutekelezaji ya kujitegemea.
Na si kulala kuota fedha za misaada.
Someni historia mjue tulikotoka na makosa ya kufikirua kuna mjomba wa kutusaidi , mawazo yalivyo mufilisi.
Hivyo viwanda vilikuwepo chini ya uongozi dhabiti wa kiongozi mzalendo wa kweli marehemu jk nyerere lkn baaa ya kung'atuka mkavishambulia hivyo viwanda kwa kuviuza kwa bei ya ktupa na vingine kuteketeza maana mlikuwa mnatazama vitu vya kuagiza kutoka nje ya nchi kisa 10%
 
Mtu hataishi kwa mkate tu ila kwa kila neno litokalo kwa bwana.
 
Mkuu, MCC hawana ujanja, hizo hela lazima wazidondoshe tu.
Moja makampuni ya USA yana direct investments hapa nchini hasa kwenye upande wa UMEME (ie Dowans), gesi (ie. HALLIBURTON) na mengine mengi, matokeo ya uwekezaji wa hawa watu yanategemea ukuaji wa uchumi hasa maeneo ya vijijini ambapo ndio kunakuwa kwa kasi. Unadhani umeme usiposabazwa vijijini Dowans watafanya biashara, na pia wana vijiji wasipopewa miradi ya uzzalishaji unadhani waatakuwa na purchasing power?

Mbili USA anahitaji rejesha mahusiano yake na Tanzania kwa udi na uvumba, asipofanya hivyo itakuwa ndio kuitengenezea China na nchi nyingine za ASIA kama japan, Vietnam na India mirango mipana zaidi ya kuendeleza mataifa yao kiuchumi. Tayari raisi wa Russia anampango wa kutembelea Tanzania, hao jamaa hawana ujanja, wataachia hizo ela tu kulinda udugu.

Tatu Tayari Tanzania ina raisi mwenye nia ya dhati ya kupambana na rusha na ufisadi, ameshaonyesha makucha yake kwenye hilo, teuzi zake hazina urafiki wala udugu, wasomi wamepewa kipaumbele, kwa namna flani uongozi wake upo fresh.

Personally siamini katika misaada, ila fedha hizi zikitumika vizuri zinaweza saidia katika kupunguza umaskini kwa kiasi chake.
 
Mazamio yako maishani ni nini?
Kama ni kupenda kufugwa kama mtu binafsi, achia serikali,kwani lazima ufugwe na Mmarekani?

Mbona unajibu usiyoulizwa?
Nimekuuliza hivi, serikali yako sio tegemezi?
 
Tukikubali msaada wa masharti basi pia tukubali kuwa sisi ni watumwa wa asili.
 
Kigezo muhimu ni cha kupambana na ufisadi ambacho Magufuli amekikidhi kwa asilimia 200!
Suala la Zanzibar si kivile maana hiyo ni nchi! na nasikia wamepiga kura Jana kwa utulivu wa hali ya juu!
Vinginevyo watupe zetu za bara!
Kwel mzungu sio mweusi nimeamini ata uigize vp uwez kua mzungu eti kumfukuza mkurugenzi na watendaji ufisadi mwisho kwa wizi wa mabilion wazir na serikal yake akuiona basi ngoja tuone mapicha picha ya ccm
 
Tukikubali msaada wa masharti basi pia tukubali kuwa sisi ni watumwa wa asili.
lakini hayo masharti ni kwa manufaa yetu wenyewe!! wanasema tupambane na ufisadi je hii ni kwa manufaa ya nani? wanasema wamalize mgogoro wa zanzibar je hii ni kwa manufaa ya nani?? si yetu?
 
Kigezo muhimu ni cha kupambana na ufisadi ambacho Magufuli amekikidhi kwa asilimia 200!
Suala la Zanzibar si kivile maana hiyo ni nchi! na nasikia wamepiga kura Jana kwa utulivu wa hali ya juu!
Vinginevyo watupe zetu za bara!
Naona kajitahidi kutumbua mafisadi wa chini na baadhi ya wa kati wenye mlengo wa siasa za upinzani,wale mafisadi wa juu na ambao wajificha kwenye kivuli cha CCM bado saana na hathubut...mikataba feki ya resources za nchi,resources zimilikiwazo na vigogo wa CCM mfano makaa ya mawe nk.
 
Hakuna aliyedharau fedha za MCC..Zimesaidia miradi mbalimbali na bado zinasaidia...

Wengi wanataka tujiongeze kwenye ukusanyaji wa mapato kupitia vyanzo vyetu vya ndani mfano kodi kupitia TRA..Bandari..Utalii n.k...

Tuondokane na utumwa wa kutegemea fedha za wafadhili zenye masharti ya hovyohovyo...Kama suala ni kupambana na ufisadi tupambane kwa dhamira na si tupambane na ufisadi kwa shinikizo la Wamarekani..Na hata hilo la Zanzibar si lazima walitumie kama kigezo cha sharti la kutoa msaada...

Ingawa bado ufisadi upo lakini kwa kiwango kikubwa serikali ya awamu ya 5 imeonesha dhamira ya kupambana nao..

Kuna nchi zinalazimishwa kupitisha sheria ya kubariki ushoga kwa sababu tu ya fedha za misaada kama hizo za MCC..Huu ni utumwa ambao hatutakiwi tuuendekeze..

Bahati nzuri Rais wetu ameonekana kutotetereka na hao wafadhili...Hajasafiri kwenda kuwapigia magoti kuomba watupe fedha za MCC ama kuomba msaada wowote..Zaidi anaonekana kuwa na ndoto ya kuongoza nchi inayojitegemea...Ndoto ambayo ni nzuri kwa mustakabali wa Taifa letu...

It can be done, play your part...
Umesahau huo ndio ulokuwa mfumo wa nyerere uliofeli vibaya wachambuzi wanasema ilipelekea kustaafu kwa mzee mapema apishe mabadiliko kama ndivyo hivyo #mabadiliko yanakuja
 
Back
Top Bottom