Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Mabilioni ya MCC: Tanzania 'kitanzini' March 28

Mi naombea zitoke maana zina msaada kubwa sana kwa nchi maskini kama hii.
Hapana mkuu siku MCC walipositisha fedha hizo tulifurahia....na ilikuwa "credit" kwa makamanda...kwani tulilalamika kwa mabalozi..nashauri tuendelee kupiga ramli kama kawaida yetu.
 
Hapana mkuu siku MCC walipositisha fedha hizo tulifurahia....na ilikuwa "credit" kwa makamanda...kwani tulilalamika kwa mabalozi..nashauri tuendelee kupiga ramli kama kawaida yetu.
Siwezi piga ramli tusipate wakati zinatusaidia...

Ila nafurahia masharti yake coz yanatusaidia kuistua MIZIGO ya CCM toka usingizini.
 
Unajiita mbingunikwetu ilihali ni muongo kupingukia? Ufisadi gani anepambana nao kwa kiwango hicho? Huo aliopambana nao ni wizi tuu wa kawaida tena petty theft ambao hata polisi na PCCB wangepewa meno wanaweza kuukabili.
Ufisadi ni mfumo wa ulaji pesa za unma unaoonekana kama halali kwa kutumia mikataba kama ilivyokuwa ESCROW, UDA, DART nk, jee huko amefanya nini?
Mbona mbinu zinafanyika Umeya Dar ili kuzuia ufisadi usiibuliwe na ofisi yake iko kimya kana haihusiki?.
Tusijidanganye bado hatujafikia mahali pa kudharau fedha za MCC, labda tuseme tuna nia ya hapo baadae kutotegenea misaada tukisha jipanga vyema
Haters are still at large
 
Jumatatu ya pasaka ya tarehe 28 mwezi huu,mkutano wa Bodi ya Wakurugenzi wa Millenium Challenge Corporation almaarufu kama MCC inakutana kuijadili Tanzania. Tanzania itajadiliwa kama ipewe au isipewe mabilioni ya MCC.

Nyaraka za shirika hilo zinaonesha kuwa Tanzania ilipewa masharti mawili ili iyapate mabilioni hayo. Kwanza,Tanzania ilitakiwa kupambana na rushwa pamoja na ufisadi. Pili,Tanzania ilitakiwa kuumaliza mgogoro wa kikatiba na kisiasa wa Zanzibar.

Tanzania itapata mabilioni ya MCC? Imetimiza masharti?

Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Pemba,Zanzibar)
Mungu wabariki wazungu , Mungu mbariki Trump .
 
Tanzania ya Magufuli itakuwa Donor country badala ya kuwa ombaomba. Watupe wasitupe we dont care
Duu hayo yataingia kwenye maajabu saba ya Dunia ,

Hebu nisaidie mimi mjinga nitajie japo sifa tano tu za nchi kuwa Donor country

Inakusanywa sijui triolioni 1 kwa mwezi mishahara tu ni karibu bilioni 500 ,acha zinazoibiwa na vigogo

Aisee sijui hesabu kihivyo ila na ujinga wangu huwezi nidanganya endelea tu kujifariji kama Tola na konokono
 
Back
Top Bottom