GEITA FARM
JF-Expert Member
- Dec 22, 2015
- 336
- 173
Mkuu Watu Wanashoboka Na Migodi Anayomiliki Baraka Kwanza Migodi Yenyewe Kuna Mkono Wa Vigogo Wa Serikari ...Daaah wabongo bhana hivi mnajua billionea anakuwa na vigezo gani? Kwa hapa tz watu wana pesa za kawaida tu hata sio za kutisha sana nashangaa watu wanamwongelea baraka ni bilionea wa mwanza daah.....
Huyu anamiliki feri sio meli kma huyo jamaa asemavyo......jamaa anamiliki feriHuyu nimemkubali...aisee kimya kimya
Dead [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe unamiliki ni mkuu? Au Tecno yako tu?
Jamaa msanii tu yule kitambo huo mgodi yeye anahisa yuko share na wakubwa liko wazi na wanajulikana ni kina naniMkuu Watu Wanashoboka Na Migodi Anayomiliki Baraka Kwanza Migodi Yenyewe Kuna Mkono Wa Vigogo Wa Serikari ...
Hyo no 8 ana pesa chafu Aisee, ana roli km utitili7. Kabaino John-Usafirishaji ana Malori mengi na supply wa dagaa kenya na Congo
8.said awadh-Allah malik (madini na usafirishaji)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ukichukua matajiri wote wa mwanza wakajumlisha mali zao kwa pamoja na wapate jumla ya utajiri wao... wakija dar wakapambanishwa na tajiri mmoja tu mfano home shopping centre tu wanafyata mikia wote
We acha tuu [emoji23][emoji23][emoji23]Siye wengine sijui hata tunakosea wapi mpaka haupo kwenye hizi orodha ilihali wote tulizaliwa uchi!
Matajiri Wa Mwanza Kama Mtu Ni Wakuja Ni Vigumu Sana Kuwajua Kuna Raia Wanahela Hawapendi Kuuza Sura Baraka Hata Kwenye Msafara Wa Mamba Hapa Mjini Hayumo ...Jamaa msanii tu yule kitambo huo mgodi yeye anahisa yuko share na wakubwa liko wazi na wanajulikana ni kina nani
We si mangi ww unafkiri sikujuiMimi vipi?
Huyo mzee alikua ana supply masufuria na vyombo vingine vya Ndani kutoka China mpk akajenga ile G&G amejitahd lkn sio billioneaHivi huyu mwenye G&G au hayupo
Una Mawazo Mfilisi Na Utabakia Kama Ulivyo ...nadhani wengi wameupatia utajiri Kule gambosh.
Wewe Utakuwa Wakuja Halafu Huijui Mwanza Vizuri ...Mwanza kila gorofa kumi nane za wachaga huku tajiri wa kweli ninaye mkubali ni baraka huyu ni hatari ana pesa sana
Wewe Utakuwa Uliandika Ukiwa Umelewa Siyo Bure ...Matajiri wote hapo Tanzania wanatoka ARU-MOSHI. topic closed.
Songoro Marines
MOIL
Euric Air
Ryans Bay Hotel/Fortes Garage & Tours.
Vic Fish
Nyanza Road
Nyanza road ni ya subash patelWabantu wengi wanaogopa kusema ukweli, lakini hakuna mbantu mwenye ukwasi kwa Rock City kuwazidi hao uliowataja.
Tatizo Wabantu wengi tunapenda kujisifu sisi wenyewe tu, lakini ukweli utabaki pale pale kuwa utajiri wetu uwa ni wa msimu/kizazi kimoja tu tofauti na wenzetu.
Yes he isHamkawii kusema hata mmiliki wa jembe ni jembe ni bilionea
Ndo lile duka kubwa sana lipo midland hotel linaitwa sanpharm...mmama mnyakyusa anaishi kaloleni kule nyegeziKyonza ipo inaendelea, mkewe bado kasimama imara
Yupo tajiri anaitwa Mohamed Sherally...... very silent