Mabifu ya Jamii Forums yananichekeshaga sana

Uje asubuhi hii? Kwani we uko wapi?

Maana hapa nilipo imekaribia saa tatu za usiku.

Unanipotezea muda tu.

Fcuk you .
Nimetulia hapa nakuskilizia useme su nisogee. Kwanini unaogopa? Si nakupiga tu au unanipiga yanaisha heshima inakuwepo?

Nakupotezea muda kivipi? Muda hupotea kwa wajinga. Braves wanajua namna ya kutumia muda vizuri. Sasa kama wewe muda wa kuosha vibabu vya kizungu mattaercore unautumia kuja mitandaoni sisi hatuwezi kusaidia.

Hiyo fuuuuuck you kwa kiswahili embu iseme nione kama naweza kukutekelezea hitaji lako
 
Endelea kucheka kama Gasho aliyeona Basha,mbona kesho naanika tulichochati pm maku wewe!

Ulitaka nije pm kumbe ulitaka nikutongoze,ulipoona mwanaume nimekaza ukaishia kusema unauza zabibu Dodoma hivyo hutaki ugomvi na wanaume!

Kibhombo wewe!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anika Sasa hivi, kesho mbali.
 
Mimi kwetu si Musoma ni Tarime!
Wakuria na violence👇
images - 2023-12-29T221809.523.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom