What would you do in this scenario?

Satirical Yet Awesome

JF-Expert Member
Oct 11, 2023
338
652
Habari wakuu🖐

Nitaifupisha kwa kadri ya uwezo wangu.

Kama miezi mitano iliyopita kuna demu flani hv nilikuwa na mahusiano naye(anaishi mkoani), huyu demu alikuwa ana boyfriend wake huko mkoani na mm nilikuwa najua sema tuu nilitaka kuwa na majeshi mengi, nilimtongoza kimasihara akajaa, mahusiano yetu hayakuwa serious kiivo yalikuwa mahusiano ya kuchangamshana mwili tuu.

Kusema ukweli kadri siku zilivokuwa zinazidi kwenda hisia ziliongezeka kwa huyu demu kuliko mademu wengine japokuwa nilikuwa sionyeshi(mahusiano yetu yalikuwa ya kishkaji zaidi sio yale ya "honey" "baby" "sweetheart" kwaio ningeonyesha ingekuwa jau).
Alikuwa ni demu ambaye tulikuwa tunaendana sana, tukipiga story wote tunafurahi, tulikuwa tuna share the same interests, hii ilinifanya niwe nai enjoy sana company yake kuliko mademu wengine. Kwaio kipindi ambazo alikuwa anakuja dar ilikuwa ni kipindi ambacho nilikuwa nafurahi sana(japokuwa nilikuwa simwonyeshi).

Kufupisha tuu story tuu wazee ni kwamba boyfriend wake wa huko mkoani alikujaga kujua baada ya kuchungulia simu yake. Sasa Yule mchizi akachukua namba yangu akanipigia, tuliongea vizur tuu kama wanaume wala hata hatukugombana, jamaa alinisihi sana kwamba niachane na huyo demu kwasababu mchizi alisema anampenda sana yaan anampenda ileile, kwasababu mi naelewa haya mambo mi nikamwambia mshkaji we usijali mi nishakusoma mi nitampanga ila mzee kuwa makini usikute huyo demu we unampenda ila yeye hakupendi, mchizi akasema aah we usihofu mi ntapambana tuu hivohivo, bac tukamaliza mazungumzo.

Nilipigia yule demu nikamweleza yote, yule demu akasema ashaongea nae yule mchizi ila wewe achana nae, we tuendelee tuu ila tuwe makini kweny kuwasiliana, mi nikafikiria juu ya ahadi niliyomwekea mchizi kwasababu wanaume mnapokubaliana kitu alaf ukafanya ndivyo sivyo haipendez, ila mi nikakaza fuvu nikasema bwana eeh kama mbwai mbwai tuu unyama unyama mi ngoja nile mali.

Mahusiano yakaendelea, akija dar tuna enjoy kama kawaida, sasa yule demu kama vile hajisomi, yule boyfriend wake akajua kwamba mahusiano yetu yanaendelea, yule mchizi si akanipigia tena mwanang, tukaongea sana ila alionekana ana huzuni kinoma kama anataka kulia hivi, mi nikamchana mchizi nikamwambiaje, huyo demu mzee hakupendi na haku heshimu, huyo demu ana fanya kama anavotaka alaf wewe bado upo nae tuu, inakuaje? wewe kama vipi achana nae, mchizi akawa kama haelewi, ananiambia eti nimevunja makubaliano yetu, aaah mi nikamwambia ebu deal na demu wako achana na mm, wewe unaonekana huna influence/power kwa huyo demu, mchizi bado aelewi anaendelea kunilalamikia tuu.

Sasa kuna siku nilikuwa nime chill zangu ghetto yule demu akanipigia, akanambia mzee inabidi tuu haya mahusiano yaishe maana mchizi anazingua, demu anasema mchizi anamlalamikia sana sijui anataka amsemee kwa wazazi wake full drama yaan mchizi hatulii kila saa anamtishia kumharibia, mi nikasema unyama kama unaona hivo ndo sahihi fresh(japokuwa iliniuma ila nilijua tuu this was bound to happen anytime)

Miezi mitano imepita sasa, jana hivi usiku nafungua telegram nakuta text zake anataka turudiane(nilishtuka sana nahic bado hisia zipozipo), ila sijaijibu hadi asaiv maana nimefikira sana juu ya zile text, hii miezi mitano tangia niachane na yule demu nimejifunza mambo mengi sana kuhusu maisha, uanaume na mahusiano na sitaki kufanya makosa tena.

Nimewaza either;
  • Mahusiano yake na jamaa hayaendi vizur kwaio kanitafuta mm ili anitumie mm kumuumiza jamaa
  • Mahusiano yake hayaendi vizur kwaio ananitumia mm kama 2nd option, yaan sehemu yake ya kupumzikia mambo yake yasipoenda sawa
  • Anataka nirudi tena niwe mchepuko wake, yaan niwe 2nd option kwake
  • Ameachana na jamaa kwaio ananitafuta maybe because she is bored, kwaio again mm kwake ni 2nd option
Je, Nimkubalie niendelee kula mbususu au nikatae dhana ya kuwa 2nd option?

Wewe ungefanyaje kama ungekuwa kweny viatu vyangu?
 
Anapenda pesa unazomhonga si unajua wanaume wa Dar hatuna Mbambamba
 
Sasa huyo Mshikaji kweli wa Mkoa ana akili?

Hawa ndio wanaojiua 😆😆
 
Dogo kwanza hayo mahusiano yenu ya kipuuzi achana nayo. Embu tumia muda huu kujitengeneza au tafuta mwanamke muandae kesho yenu. Hayo mahusiano yenu ya Kuvaa vibegi kutembea barabrani kukaa gesti za elfu kumi na tano. Achana nayo.
Kwa upande wangu yalinipotezea sana muda . Ningekua mbali zaidi muda huu.
 
Kuna mtu alishawahi kuniambia "Kila kwenye huzuni, jua furaha ilitangulia"

Mkuu kuwa makini, furaha yako ya sasa isijekukuletea majonzi pindi utakapoamua kusettle. Unaweza kujikuta upo kwenye situation kama ambayo umemuweka huyo jamaa.
 
Dogo kwanza hayo mahusiano yenu ya kipuuzi achana nayo. Embu tumia muda huu kujitengeneza au tafuta mwanamke muandae kesho yenu. Hayo mahusiano yenu ya Kuvaa vibegi kutembea barabrani kukaa gesti za elfu kumi na tano. Achana nayo.
Kwa upande wangu yalinipotezea sana muda . Ningekua mbali zaidi muda huu.
Ahsante mkuu
 
Habari wakuu🖐

Nitaifupisha kwa kadri ya uwezo wangu.

Kama miezi mitano iliyopita kuna demu flani hv nilikuwa na mahusiano naye(anaishi mkoani), huyu demu alikuwa ana boyfriend wake huko mkoani na mm nilikuwa najua sema tuu nilitaka kuwa na majeshi mengi, nilimtongoza kimasihara akajaa, mahusiano yetu hayakuwa serious kiivo yalikuwa mahusiano ya kuchangamshana mwili tuu.

Kusema ukweli kadri siku zilivokuwa zinazidi kwenda hisia ziliongezeka kwa huyu demu kuliko mademu wengine japokuwa nilikuwa sionyeshi(mahusiano yetu yalikuwa ya kishkaji zaidi sio yale ya "honey" "baby" "sweetheart" kwaio ningeonyesha ingekuwa jau).
Alikuwa ni demu ambaye tulikuwa tunaendana sana, tukipiga story wote tunafurahi, tulikuwa tuna share the same interests, hii ilinifanya niwe nai enjoy sana company yake kuliko mademu wengine. Kwaio kipindi ambazo alikuwa anakuja dar ilikuwa ni kipindi ambacho nilikuwa nafurahi sana(japokuwa nilikuwa simwonyeshi).

Kufupisha tuu story tuu wazee ni kwamba boyfriend wake wa huko mkoani alikujaga kujua baada ya kuchungulia simu yake. Sasa Yule mchizi akachukua namba yangu akanipigia, tuliongea vizur tuu kama wanaume wala hata hatukugombana, jamaa alinisihi sana kwamba niachane na huyo demu kwasababu mchizi alisema anampenda sana yaan anampenda ileile, kwasababu mi naelewa haya mambo mi nikamwambia mshkaji we usijali mi nishakusoma mi nitampanga ila mzee kuwa makini usikute huyo demu we unampenda ila yeye hakupendi, mchizi akasema aah we usihofu mi ntapambana tuu hivohivo, bac tukamaliza mazungumzo.

Nilipigia yule demu nikamweleza yote, yule demu akasema ashaongea nae yule mchizi ila wewe achana nae, we tuendelee tuu ila tuwe makini kweny kuwasiliana, mi nikafikiria juu ya ahadi niliyomwekea mchizi kwasababu wanaume mnapokubaliana kitu alaf ukafanya ndivyo sivyo haipendez, ila mi nikakaza fuvu nikasema bwana eeh kama mbwai mbwai tuu unyama unyama mi ngoja nile mali.

Mahusiano yakaendelea, akija dar tuna enjoy kama kawaida, sasa yule demu kama vile hajisomi, yule boyfriend wake akajua kwamba mahusiano yetu yanaendelea, yule mchizi si akanipigia tena mwanang, tukaongea sana ila alionekana ana huzuni kinoma kama anataka kulia hivi, mi nikamchana mchizi nikamwambiaje, huyo demu mzee hakupendi na haku heshimu, huyo demu ana fanya kama anavotaka alaf wewe bado upo nae tuu, inakuaje? wewe kama vipi achana nae, mchizi akawa kama haelewi, ananiambia eti nimevunja makubaliano yetu, aaah mi nikamwambia ebu deal na demu wako achana na mm, wewe unaonekana huna influence/power kwa huyo demu, mchizi bado aelewi anaendelea kunilalamikia tuu.

Sasa kuna siku nilikuwa nime chill zangu ghetto yule demu akanipigia, akanambia mzee inabidi tuu haya mahusiano yaishe maana mchizi anazingua, demu anasema mchizi anamlalamikia sana sijui anataka amsemee kwa wazazi wake full drama yaan mchizi hatulii kila saa anamtishia kumharibia, mi nikasema unyama kama unaona hivo ndo sahihi fresh(japokuwa iliniuma ila nilijua tuu this was bound to happen anytime)

Miezi mitano imepita sasa, jana hivi usiku nafungua telegram nakuta text zake anataka turudiane(nilishtuka sana nahic bado hisia zipozipo), ila sijaijibu hadi asaiv maana nimefikira sana juu ya zile text, hii miezi mitano tangia niachane na yule demu nimejifunza mambo mengi sana kuhusu maisha, uanaume na mahusiano na sitaki kufanya makosa tena.

Nimewaza either;
  • Mahusiano yake na jamaa hayaendi vizur kwaio kanitafuta mm ili anitumie mm kumuumiza jamaa
  • Mahusiano yake hayaendi vizur kwaio ananitumia mm kama 2nd option, yaan sehemu yake ya kupumzikia mambo yake yasipoenda sawa
  • Anataka nirudi tena niwe mchepuko wake, yaan niwe 2nd option kwake
  • Ameachana na jamaa kwaio ananitafuta maybe because she is bored, kwaio again mm kwake ni 2nd option
Je, Nimkubalie niendelee kula mbususu au nikatae dhana ya kuwa 2nd option?

Wewe ungefanyaje kama ungekuwa kweny viatu vyangu?
Wewe si ni mwanamme, unaonaje hapa ma unataka tukusaidieje?
 
Back
Top Bottom