Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,645
- 3,890
Bila Shaka officn hamna msongamano wa watu wengi Kama kule kwenye garimbona AC ya ofisin haulalamiki
Bila Shaka officn hamna msongamano wa watu wengi Kama kule kwenye garimbona AC ya ofisin haulalamiki
So wew unaona mtoa nada katoa hoja sahihi??Bila Shaka officn hamna msongamano wa watu wengi Kama kule kwenye gari
Hapana..... Najaribu tuu kumtetea maana watu mnamuoshea Sana[emoji3][emoji3]So wew unaona mtoa nada katoa hoja sahihi??
hii nayo ni pointAir conditioner (AC) working principle
An air conditioner collects hot air from a given space, processes it within itself with the help of a refrigerant and a bunch of coils and then releases cool air into the same space where the hot air had originally been collected. This is essentially how all air conditioners work.
mzeee hii H20 unamaanisha water=maji ninayoyajua mm?Ndege ipo sealed haina sehem hata moja inayopitisha hewa toka nje, inapotaka kuruka mlango ukifungwa huwa inatengeneza H2O yake, inakuwa pressurised ndo inaruka,
Noma sana,mkuu kwa hiyo tuendelee kupanda Ngorika?Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Leta mabasi yako yenye ubora zaidi ya hayo ili tuweze kuyashindanisha.
Kuna ventilation acha umbumbumbu!mbona AC ya ofisin haulalamiki
mbumbumbu wewe usyejua! unachanganya na chiller plant unafkiri sawa na mlimani city! huna ishuKuna ventilation acha umbumbumbu!
We boya, kwenye ndege inayotumika ni compressed air tena inamashine ya kufua oxygen.Kanifurahisha sana, ndege yenye abiria karibu 300 inasafuri angani kwa masaa 17 bila kutua na haina ventilation,
Ajifunze mfumo wa ac na kwa kawaida ac huchukua hewa nje ya bus, na 'nyingi zimefungwa kwa juu ya bas' na kuingiza ndan
Sijaukimbia uzi ila nawapitia kwanza niwaone wajinga wanaopinga huu uziMleta mada aukimbia Uzi wake!
Mimi ndo nawaona wajinga, huwa nikianzisha uzi huwa nimeufanyia utafiti, commentators wengi humu nimeona ni wapya na kutokana na ujinga wao wanatetea upumbavu, nadhani hao ni watumiaji wakubwa wa AC...Wakuu mmepanic sana, mleta mada anastahili kuelekezwa na sio kujibiwa.
Mnafanya ajione mjinga Dunia nzima
a/c =accountMtoa hoja nakuunga kwa 100% a/c kwenye bus ni upuuzi tu,Tahmeed wananijua vzr nikipanda bus zao hali ikiwa ni tete nafungua vioo kama kawa tu.
a
a/c =account
Tsh. 65,000.Sorry,, hivi nauli ni shingapi Mkuu