King smoker
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,001
- 677
Duh msameheni bhasi wakuu,
Hewa ya moto ikiingia ndani itatengeneza unyevunyevu hivyo kuwasababishia vichomi.Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua. Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Wasabatho mnatabu Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Ww ndo huna akri[emoji1][emoji1]Wote mlio comment kupingana na hoja yangu hamna akili kabisa
KubwajingaWote mlio comment kupingana na hoja yangu hamna akili kabisa
CONFIRMED AhhahahahahahaKubwajinga
Hapa tatizo ni somo moja linaitwa physics ambapo inaonekana mtoa mada aliliacha form 2!!Asee! hii ndiyo taabu ya shule za kata,ila nimekusamehe tu
Pole sana mtoa mada bora ungeenda kwa jamaa mmoja ukaniuliza ubora wa mada yako kabla hujakutana hapaKinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Aisee kweli kabisa Mkuu, juzi nilisafiri na bus moja kwenda Arusha nikamsikia mhudumu wa lile bus akitangaza wapendwa abiria bus letu lina mfumo wa AC kwa hiyo msifungue madirisha.Mimi tangazo lile lilinishtua kwa sababu najua ule ubaridi wa kutengeneza sio mzuri kiafya, halafu kitu kingine exhale na inhale!Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Wewe ndio hueleweki kabisa. Utawashaje ice? Bora kuwasha ACHueleweki kabisa ebu tuchue mfano huu tupo dar tuna gari ndogo joto ni kali.je tukifunga vioo na kuwasha ice ni kosa?
sidhani kama ni kweli,so hata kwenye ndege ni hivyo hivyo?Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
unafikiri ukivuta carbon dioxide iliyopoozwa utakua salama?Usiwe unaongea tu mkuu. Mtoa mada kasema aircon za mabasi hazibadilishi hewa ila zinapoza hewa ile ile Dar to Manyoukni. Ya kwa ofisi inatoa hewa chafu na kuingiza fresh air.
Tumia akili kidogo sio unaandika tu
Asee! hii ndiyo taabu ya shule za kata,ila nimekusamehe tu