Kiongozi waambie waeleweunafikiri ukivuta carbon dioxide iliyopoozwa utakua salama?
Kiongozi waambie waeleweunafikiri ukivuta carbon dioxide iliyopoozwa utakua salama?
Jamaa ni KJDah jamaa kala za uso !!hahahaha!! Mkuu ungeuliza tu AC za magari zinafanyaje kazi ?! Alafu mada yako umetaka hadi TBS iwafikie?? Hahaha
[emoji2][emoji2]CONFIRMED Ahhahahahahaha
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.
Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.
Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.
Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
sidhani kama ni kweli,so hata kwenye ndege ni hivyo hivyo?
![]()
Mkuu nadhani ukiangalia hii picha unaweza kujua hewa inavyobadilishwa ndani ya gari hatuvuti ile ile ya ndani
Dah jamaa kala za uso !!hahahaha!! Mkuu ungeuliza tu AC za magari zinafanyaje kazi ?! Alafu mada yako umetaka hadi TBS iwafikie?? Hahaha
unafikiri ukivuta carbon dioxide iliyopoozwa utakua salama?
Hiyo ni sayansi ya shule ya msingi. Je binadamu anavuta carbon dioxide???
Umaskini ni tatizo. Kuna dada mmoja kazini alinunua gari 3rd hand. Ile gari mfumo wake wa AC ulikuwa umeharibika.dada akawa anasema yeye hapendi AC sijui nini na nini.
but siku moja nikawa nmempa lift akawa anaenjoy sana kiyoyozi akajisahau hata wakati wa kushuka akasema "daah sasa make up yangu inaenda kuchujuka yoote huko nje kwa joto na wewe gari yako ilishanipumzisha"
Kumbe anapenda AC ila sababu ya umaskini anaponda kwa vile gari yake haina ndo anajifanya huwa hapendi AC. hii inaitwa kujifariji when you have problems
Mzee hebu kafanye utafiti kabla hujaleta mada mezan hapa.
Hv unafahamu vizuri mfumo wa ac unavyofanya kazi?
Kwahyo na wenye magari madogo pia wawe wanashusha vioo wakiwasha AC?
Sikubaliani nae sababu hewa inayoingia ni oxygen so ile wanayopumua abiria sio kwamba ita accumulate no.
Hujui mfumo wa AC Hata ndege yenyewe hewa hutoka nje sembuse Yutong
[emoji3][emoji16][emoji3] We Kuweza?Mleta mada aukimbia Uzi wake!
Muulize na kwenye ndege anafungua madirisha?mbona AC ya ofisin haulalamiki
Wewe endelea kutuletea story zako za mikasi, hizi level wewe bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize na kwenye ndege anafungua madirisha?