Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mtoa mda hapa umechemsha.AC inapokuwa inafanya kazi ni hewa kutoka nje inavutwa na hiyo hewa inapitishwa kwenye pipes ambazo zinakuwa na ubaridi then inatupwa ndani ya gari lako,kwahiyo Oxygen ni nyingi ya kutosha...
halafu inatoka nje kupitia wapi?!?
 
Sababu zinazoweza kukufanya abiria kujisikia vibaya ukwia safarini ni pamoja na kusafiri ukiwa na njaa, kupata mtikisiko wa mara kwa mara kutokana na ubovu wa barabara, kuwepo na mzigo unaotoa harufu kali kama vile shombo la samaki, ngozi za wanyama zilizokaushwa au kingine chochote chenye kutoa harufu kali, kulalia kioo cha gari, kujikunja ukiwa umekaa.
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Majanga sana yani watu hawajui Mechanism ya AC lakini wanavyomkosoa mleta mada du
si kwamba hawajui wanapenda kujua zaidi.hebu chukulia mfano wa mechanism hiyo unayoisema ya AC ndani ya nyumba/ofisi. Hiyo hewa mpya inayopozwa inatoka wapi?!?!?
 
Hewa ya ndano ndio inapoozwa ila usitegemee kuwa AC inachukua hewa ndani kupeleka Nje.. Yenyewe inaleta hewa ya baridi ndani.
 
Mkuu, nenda garage mtafute chalii yeyote akupe somo la nadharia na vitendo kuhusu system ya kiyoyozi kwenye bus
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Hujui mfumo wa AC Hata ndege yenyewe hewa hutoka nje sembuse Yutong
 
Hewa ya ndano ndio inapoozwa ila usitegemee kuwa AC inachukua hewa ndani kupeleka Nje.. Yenyewe inaleta hewa ya baridi ndani.
kwa hiyo unakubaliana na mleta Uzi kwamba hewa inayopumuliwa ambayo ni CO2 inaendelea kuzungushwa humo ndani!!!
 
Tumpe mwandishi wa mada benefit of doubt.
Anaweza kuwa kweli alipata shida baada ya kuambiwa afunge madirisha kwa sababu ac imewashwa.
Ac inaweza kuwa iliwashwa lakini ni mbovu na haipozi kwa maana hiyo hewa ndani inakuwa nzito na haitishi.
Ni sawa na kuwasha fan ukiwa umefunga madirisha.
Pili.Ac ina setting zake. huenda ame sett Ac vibaya na kufanya Ac ifanye kazi kinyume.
Tafakari.
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Mzee hebu kafanye utafiti kabla hujaleta mada mezan hapa.
Hv unafahamu vizuri mfumo wa ac unavyofanya kazi?
Kwahyo na wenye magari madogo pia wawe wanashusha vioo wakiwasha AC?
 
Sikubaliani nae sababu hewa inayoingia ni oxygen so ile wanayopumua abiria sio kwamba ita accumulate no.
kwa hiyo co2 inaenda wapi?!?! labda kama una proof ya kisayansi kwamba o2 INA dilute co2 zikichanganyika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisee hapo sasa...!! Lakini magari sidhani yako sealed 100% kwamba hakuna hewa inayoingia na kutoka madirisha yakifungwa... Ndo maana unaweza lala kwenye gari na usife kwa kukosa hewa inategemeana idadi ya watu
 
Wote mlio comment kupingana na hoja yangu hamna akili kabisa
 
Ukivuta heea ya co unakifa kakaa
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom