Mabasi ya Mwendokasi yagongana

Mabasi ya Mwendokasi yagongana

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,707
Reaction score
59,228
Mabasi mawili ya mwendokasi yamegongana leo asubuhi katika makutano ya barabara ya Msimbazi na Morogoro, Dar.

Leo hii kariakoo trafiki alikuwa anaongoza magari sasa akawa anaruhusu bus la mwendokasi linalotoka posta kuelekea kimara sasa kuna bus la mwendokasi kutoka ubungo lilikuwa linakata kulia kuelekea kituo cha gerezani likifuata taa kumbe trafiki ndio anaeongoza magari hamadi bus zimekutana kwenye junction sasa ile kukwepana tu bus moja likaenda kulamba taaa za kuongozea magari .

Kama unavoona kwenye picha.
Mwendo1.jpg

Mwendo2.jpg
 
UtJTDed.jpg

aZgtLoA.jpg

1PU6BJt.jpg

JgVv47O.jpg
 
Kumbe yameshakauka? SI juzi hapa niliona yamefurikwa maji pale base kwao...tehe tehe tehe, kuna mtu alisema nyumba za bondeni ziondolewe mi nikajua na mwendokasi nao ndani
 
Siwahi kuona umuhimu wa trafic kuongoza magari sehemu zenye taa zinazofanya kazi vizuri na mara nyingi huwa trafic wanaongeza foleni sehemu zenye mataa. Trafic inatakiwa awepo kuhakikisha kila mtu anafuata utaratibu na sio kuongoza.
 
Mkuu kikubwa ni kuzima taa ili madereva wawe waangalifu pale trafiki anapokuwa ana ongoza magari
 
Siwahi kuona umuhimu wa trafic kuongoza magari sehemu zenye taa zinazofanya kazi vizuri na mara nyingi huwa trafic wanaongeza foleni sehemu zenye mataa. Trafic inatakiwa awepo kuhakikisha kila mtu anafuata utaratibu na sio kuongoza.
Kuna wakati kama hamna gari upande mwingine ambako taa zimeruhusu magari kupita na traffic yupo basi anaweza kuruhusu upande mwingine magari yapite ila kama alikuwepo na kuruhusu basi hakuona ukaribu wa gari lingine.....ila ni bahati mbaya tu
 
Back
Top Bottom