Mabasi 20 yachomwa moto Ufaransa

Mabasi 20 yachomwa moto Ufaransa

Kwa Yale yanayoendelea France, Leo hii yangekuwa yanatokea huku Afrika, au China, India etc. Basi NATO, USA, na mdogo wao UN wangeshatoa matamko mengi sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Je huko Russia kwenyewe kukoje, mbona watu ni wanafiki sana humu?
 
Je huko Russia kwenyewe kukoje, mbona watu ni wanafiki sana humu?
mkuu russia pako poa kabisa au kama kuna lolote umeliona huko liweke hapa tulidadavue...vyombo vya habari russia havina unafki vinanyoosha
 
macron ana kazi safari hii
Screenshot_20230701-142203.jpg
 
Kwa Yale yanayoendelea France, Leo hii yangekuwa yanatokea huku Afrika, au China, India etc. Basi NATO, USA, na mdogo wao UN wangeshatoa matamko mengi sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
kabisa mkuu kama ni afrika tungepewa majina yotr mabaya lakini ni huko yanatokea kimyaa husikkii kabisa marekani wakipiga kelele au cnn na bbc
 
[emoji1787][emoji23][emoji23]
sawa sijui niseme hizi dua za kuku kudhani iko siku tai ataanguka au kutua chini ili kuku amshambuliee tai

au labda niseme ni sawa na kuvizia shingo ya kobe ili kumchinja unajikuta una kaa sana ukisubir achomoze bichwa...[emoji119][emoji119][emoji119]
Kwa kobe ni nyundo tu mkuu.
 
Nawashangaa watanganyika, bandari yenu inataka kupigwa bei na nyinyi mpo mpo tu. Badala ya kumpiga kipapai waziri mmoja ili iwe fundisho kwa madalali wengine wa rasimali zenu.
Washampiga tayari mbunge huko mbarali aliyepitisha huo mkataba bungeni. Alipata ajali akiendesha bodaboda kwa kugongwa na power tiller akanyooaha mazima.
 
Mkuu kumbe unafatilia hivo vyombo?kila siku kujifanya kuponda kumbe unafatilia?

Ni unafiki tu huwa unakuongoza sio?. By the way sio ni lazima watoe taarifa za western, Wamewaachia Rt na Sputnik watoe.

Au vyombo vya Eastern havina coverage?
Hawa ni vilaza wasioelewa mambo kabisa au wamejotoa ufahamu.
 
Kwa Yale yanayoendelea France, Leo hii yangekuwa yanatokea huku Afrika, au China, India etc. Basi NATO, USA, na mdogo wao UN wangeshatoa matamko mengi sana

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Pro Russia wengi mna nongwa huwa hamuachi lawama. US akikaa kimya mnaongea, akiongea au kuchukua hatua inakuwa vibaya tena mnataka nini nyie watu?
 
Pro Russia wengi mna nongwa huwa hamuachi lawama. US akikaa kimya mnaongea, akiongea au kuchukua hatua inakuwa vibaya tena mnataka nini nyie watu?
kaa kimya mkuu wacha kulia lia...
na kama anavyohangaika na ursi tunataka aingiloe kati hapo ufaransa oli dicteta macroni asepe MACRONI MUST GOOO
 
Back
Top Bottom