islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
Nimeshangazwa sana, katika hali isio ya kawaida kwa vyombo vya habari vya Magharibi namaanisha CNN, BBC, DW, FOX News, France 24 na kadhalika, nilitegemea haya maandamano yanayoendelea huko Ufaransa yangekuwa ndio kipaumbele kwenye matangazo yao, lakini imekuwa sivyo kabisa.
Ila wamekazania kutuhabarisha vita ya Urusi na Ukraine ili hali Ufaransa mambo si shwari. Kuna vuruguu kuchomwa moto mabasi na mambo mengine ya uvunjifu wa amani huko Ufaransa na viunga vyake, lakini namshangaa sana Raisi wa Ufaransa yeye ana deal na Urusi huku kwake kuna waka moto.
MY TAKE: Marekani na NATO waingilie kati kwa sababu Dikteta Macroni hataki kusikiliza wananchi wake wanataka nini, yeye yuko bize na Urusi tuu na polisi wanawapiga raia wasiokuwa na bunduki. Hii haifai kwenye nchi inayojinasibu ni ya kidemokrasia na utawala bora.
Angalizo: Povu ruksa.