Ikiwa ni urusi mnaita propaganda si ndiovyombo vya habari haviwezi kuweka wazi na zelensik anawakamata wananchi wanao vujisha habari za nchi yao kupigwa yeye hataki
huko kwao na pia ufaransa kinachoendelea hawaweki wazi ila hizo habari utazipata mitandaoni sababu wananchi ndio wanahusika kupasha habari kupitia simu janja....