Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 9,468
- 8,281
Nilipelekwa shule kuongezewa maarifa....namshukuru Mungu ninayo[emoji120]kama utaneemeka kupita ujio wao ni vizuri [emoji119][emoji119]
ila kama unakasirika kisa ujio wa DPW aisee utapasuka nyongo..[emoji23][emoji23]
...serikali ya chama cha kijani ni kama li mti la mmbuyu huliwezi lina fanya linavotaka nyie wa pangu pakavu mtabaki na maumivu yasio kuwa na umuhimu.....
tafuta ugali hapo bandarini watoto washibe ...[emoji120][emoji120]
Serikali yetu adhimu ya CCM inakwenda kutengeneza mazingira ili kamshahara kangu kanenepe kidogo hapa bandarini....
Kwa kweli ninamshukuru sana mh.Rais SSH kutuletea hawa DPW kwani wale TICTS waleee....wale TICTS waleee....daaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]