Mabasi 20 yachomwa moto Ufaransa

Mabasi 20 yachomwa moto Ufaransa

Urusi ya wakomunisti....

Ufaransa ya wajamaa na UBEPARI wao wa kimagharibi.....

Vyombo vya habari vinapewa fedha nyingi mno na makampuni makubwa ya kibepari.... unategemea nini ?!!![emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu kumbe unafatilia hivo vyombo?kila siku kujifanya kuponda kumbe unafatilia?

Ni unafiki tu huwa unakuongoza sio?. By the way sio ni lazima watoe taarifa za western, Wamewaachia Rt na Sputnik watoe.

Au vyombo vya Eastern havina coverage?
 
Nawashangaa watanganyika, bandari yenu inataka kupigwa bei na nyinyi mpo mpo tu. Badala ya kumpiga kipapai waziri mmoja ili iwe fundisho kwa madalali wengine wa rasimali zenu.
acha uzuzu mzee ukitaka mjadala wa bandari nenda majukwaa ya siasa .
..wewe kwa akili yako hata kama wamepiga bei bandar utawafanya nini hao

mambo.mengine yaache yakupite utakuwa na maisha marefu na furaha .......

utajikuta siku moja unajinyonga kisa serikali ime fanya hivi mara vile .....
tafuta ugali wa familia mambo ya bandar yapo nje ya uwezo wako......
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Nimeshangazwa sana, katika hali isio ya kawaida kwa vyombo vya habari vya Magharibi namaanisha CNN, BBC, DW, FOX News, France 24 na kadhalika, nilitegemea haya maandamano yanayoendelea huko Ufaransa yangekuwa ndio kipaumbele kwenye matangazo yao, lakini imekuwa sivyo kabisa.

Ila wamekazania kutuhabarisha vita ya Urusi na Ukraine ili hali Ufaransa mambo si shwari. Kuna vuruguu kuchomwa moto mabasi na mambo mengine ya uvunjifu wa amani huko Ufaransa na viunga vyake, lakini namshangaa sana Raisi wa Ufaransa yeye ana deal na Urusi huku kwake kuna waka moto.

MY TAKE: Marekani na NATO waingilie kati kwa sababu Dikteta Macroni hataki kusikiliza wananchi wake wanataka nini, yeye yuko bize na Urusi tuu na polisi wanawapiga raia wasiokuwa na bunduki. Hii haifai kwenye nchi inayojinasibu ni ya kidemokrasia na utawala bora.

Angalizo: Povu ruksa.
Ukitangaza wewe yatosha! Hutaki view nyingi mkuu au hutaki pesa?
 
Vyombo vya habari vinajitambua sana tofauti na vyetu

Vyao hupenda sana kuonyesha nchi.zao nzuri
ni kweli unayosema magorofa tunayaona na barabara ila kwa ground sasa huwezi kuta cnn na bbc wanaonesha ila wamekaza kuonesha madhaifu ya nchi zingine [emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 2674215View attachment 2674214
Screenshot_20230630-153414.jpg

sisi vyombo vyetu vya habari vinaonesha ubalisia wa nchi zetu havina unafki ...MSEMA KWELI MPENZI WA MJNGU...
 
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sisi tuna furaha kuwakaribisha DPW wausisimue uchumi wetu....usiwe mjinga [emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
ishii [emoji115][emoji115][emoji16][emoji16]wewe jamaa sasa ndio DPW ishatimba huko magogoni wewe pangu pakavu unachukua hatua gani....[emoji23][emoji23]
RICH MOND IPTL na DOWANS walivotimba hapa bongo wakatukaanga na mafuta yetu wenyewe ulichukua hatua gani mkuu....
mambo mengine ni kama ukiyafuatilia unaweza pasuka roho na kutapika utumbo .....
mkuu mambo mengine ya serikali inayofanya hasa kwenye ufisadi na DPW hako nje ya uwezo wako MY TATE ....MUNGU alietupa hii nchi tuishi ndio atawa hukumu hao .wewe tafuta ugali wa watoto ...ili waende chooni....[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kaajira kangu ka ukuli bandarini kanakwenda kuninepeshea "kamshahara"....

Makuli tumefurahi kwa kuelezwa kuwa kaneema kanakuja mpaka kwetu....nisifuatilie habari za DPW na serikali yetu adhimu ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Kuwa "serious" mkuu na acha "generalization" [emoji1787]
 
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sisi tuna furaha kuwakaribisha DPW wausisimue uchumi wetu....usiwe mjinga [emoji1787]

#SiempreJMT[emoji120]
Waje na offer ya Tende Kama walivyowapa wale mazuzu na sisi tuinjoi.
 
Kaajira kangu ka ukuli bandarini kanakwenda kuninepeshea "kamshahara"....

Makuli tumefurahi kwa kuelezwa kuwa kaneema kanakuja mpaka kwetu....nisifuatilie habari za DPW na serikali yetu adhimu ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Kuwa "serious" mkuu na acha "generalization" [emoji1787]
kama utaneemeka kupita ujio wao ni vizuri [emoji119][emoji119]
ila kama unakasirika kisa ujio wa DPW aisee utapasuka nyongo..[emoji23][emoji23]
...serikali ya chama cha kijani ni kama li mti la mmbuyu huliwezi lina fanya linavotaka nyie wa pangu pakavu mtabaki na maumivu yasio kuwa na umuhimu.....
tafuta ugali hapo bandarini watoto washibe ...[emoji120][emoji120]
 
Jiandae kuzila hizo tende na nyama ya ngamia.....

Wakati uchumi utakapoimarika utamshukuru mh.Rais SSH....

Sisi makuli tumeanza kuwa na furaha kwani kamshahara ketu kanakwenda kuimarika[emoji120]

Acha kakariri [emoji1787]
Niko upande wa kutoa gate pass naona Tende na mshahara ndio kushineh zindeki
 
Back
Top Bottom