Mabalozi wa jumuia za ulaya wajiandaa kutoa tamko kuhusu kufungiwa mwanahalisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mabalozi wa jumuia za ulaya wajiandaa kutoa tamko kuhusu kufungiwa mwanahalisi

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by thatha, Aug 3, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  BALOZI wa Uholanzi nchini, alipotmbelea gazeti la MwanaHALISI na kukutana na uongozi wa gazeti hilo, Saed Kubenea Mhariri Mtendaji na Jabir Idrissa, Mhariri mkuu wa gazeti hilo.


  Wakati huo huo, taarifa zilizolifikia MTANZANIA zilisema kuwa Jumuiya ya Mabalozi nchini jana zilikutana na kufanya kikao cha pamoja kujadili suala la Serikali kulifungia gazeti la Mwanahalisi, kwa kile kilichodaiwa kuandika habari za uchochezi.
   
 2. M

  Mkwe21 JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,852
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 180
  Sasa naona kama kuna mtu ambaye amemuaribia JK ni huyu aliyetoa pendekezo la Kufungiwa Gazeti!! Najua sasa wataanza Hata kufuatilia Gazeti lenyewe na maudhui ya Habari yenyewe!! Then itakuwa ndio Kujiumbua Tosha!! Ilitakiwa wakae Kimya ila kwa sasa wameshalikoroga!! Hawa wachumia Tumbo hawamsaidii rais ila wanamuaribia!! Lol!!
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  It is about time JK kuumbuka we are tired hakika watu walisema kufungiwa na mahakamani kila kukicha.Si walikuwa wanamcheka Mtikila jamani?
   
 4. M

  MILLIONS MOVEMENT Senior Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimepitia habari ya Mwanahalisi kuhusu Ulimboka na ukisikiliza maneno ya DR.ULIMBOKA kwenye YOU TUBE utagundua mwanahalisi walinukuu kila kitu. Kama ni uchochezi itakuwa DR.ULIMBOKA ndo alijichochea mwenyewe na wala sio mwanahalisi kitu kisichowezekana.
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 5,361
  Trophy Points: 280
  anategemea nchi za kiarabu zitaisaidia tanzania kwa sharti la kuwa nchi ya kiislam
   
 6. M

  Molemo JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante nchi zetu wahisani
   
 7. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Naona hapo mnataka kupigana na kinyago...mtaumia wenyewe na si kinyago!!
   
 8. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ndio taabu ya kuwa omba omba, hawa development partners wanajua timing sana kwani sasa wanajua mnapitisha budget yenu tegemezi na hapo hapo ndio watakapokaza screws juu ya misaada yao/ good governance!! Uchumia tumbo utaifanya serikali ifyate mkia na kulifungulia MwanaHalisi ama sivyo hakuna budgetary support na hivyo miradi mliyowaahidi wadanganyika itabaki hivyo hivyo kwenye karatasi!!
   
 9. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu umeongea ukweli mtupu
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,137
  Trophy Points: 280
  Duh jamaa wanatafuta kila sababui ya kumnyima fungu la bajeti huyu Baba Mwanaasha
   
 11. sikafunje.N

  sikafunje.N Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi haina mwenyewe madarakani..
   
 12. Godlisten shoo

  Godlisten shoo Member

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nawaonea huruma sana maana watakapazimika kulifungulia Mwanahalisi sijui watatoa sababu gani!
   
 13. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Heri kipofu asieona mambo haya
   
 14. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  na bado kitaeleweka tu Mwanahalisi la wiki iliyopita lilikuwa linakuja na yale majina ya wenye billion 300 uswiss ndio maana jamaa akaenda kugawa ng'ombe teh teh teh
   
 15. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 260
  Trophy Points: 180
  Upepo tu utapita


  nikimaliza ziara arusha naenda zangu ulaya,,,,,,,
   
 16. D

  Double7 Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mh! mimi mgeni hapa jamvini, plse :peace:!
   
 17. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Hapana huu upepo naona unasumbua, huenda babu kule Bagamoyo amejisahau kuchoma ule ubani niliomnunulia juzi.

  hivyo nitaanzia Bagamoyo kwanza nikapime huu upepo naona migomo inafuatana sana na watu wanachonga sana kuhusu uongozi wangu. Nikitoka bagamoyo then Ulaya nawafuata huko huko hao mabalozi.  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 18. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,079
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  dah!!magogoni ipo necked kabisa....aibu sana!!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Ameongea kweli au amekufurahisha wewe! Naona mmeamua kujifurahisha na kujiliwaza mnachekesha kweli Tanzania inyimwe misaada sababu ya Mwanahalisi.
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  mbona unaharisha hapa hadharani kwanini????
   
Loading...