chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,012
- 20,685
Katika hotuba yake, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ameelezea kwamba ujenzi wa jengo la supreme court unaendelea. Bila shaka muda wowote katiba itafanyiwa marekebisho ili kuijumuisha mahakama hii, ambayo itakuwa mahakama ya juu kabisa, kwa Sasa mahakama ya juu ni mahakama ya rufani(court of appeal).
Haya ni marekebisho madogo tu ya katiba ambayo hayahitaji fedha nyingi, hata wale wa upande wa pili hawataenda kuomba fedha kwa wafadhili ili kupiga maneno na kula kuku.
Haya ni marekebisho madogo tu ya katiba ambayo hayahitaji fedha nyingi, hata wale wa upande wa pili hawataenda kuomba fedha kwa wafadhili ili kupiga maneno na kula kuku.