Msaada kuhusu mfumo wa ajira portal kada ya udereva

Msaada kuhusu mfumo wa ajira portal kada ya udereva

abou_mbogo22

New Member
Joined
Dec 2, 2023
Posts
2
Reaction score
0
Wadau kwema, mfano una cheti cha C1 ya udereva unaweza kuomba kazi utumishi bila kua na advance driving grade 2 naombeni msaada kwa mnaofaham na mawazo pia
 
Kama wanahitaji C1 na cheti Cha chuo Cha usafirishaji unacho Amna hapo Cha kujiuliza deal done
 
Back
Top Bottom