Mabadiliko CHADEMA Makao Makuu

Huyu dogo nilimwambia siku nyingi hivyo vidingi vinakurostisha tafuta shule japo kwa kubeba mabox akaona namtilia kitumbua chake mchanga.

Sasa kayaona siasa ni dirty game... miaka muhimu ya umri wake kaimaliza kusutana na kina Makamba matokeo yake ni zero.

I feel sorry for young Mnyika its not too late aende shule sasa, siasa za bongo ni michosho na kurostishana tu..
 
Hatukatai mabadiliko, ila hayo mabadiliko yalenge kukiimarisha na kukiendeleza chama kwa manufaa ya Watanzania wote. Hongereni kwa mabadiliko
 
Mnyika hajatoshwa, mwishoni mwa mwaka jana aliwaandikia barua some closer confidants na kuwaambia mipango yake ya kuendelea na masomo na ya kuwa ataomba kuacha nafasi hizo za uongozi ili aweze kuendelea na masomo. Mipango yake hiyo ilijulikana mapema na kusema "aondolewa au kutoshwa" si kumtendea haki kwani ni yeye mwenyewe aliyeomba na hakuna kiongozi wa chadema (Taifa) ambaye alikuwa hajui mipango hiyo ya Mnyika.

Wengi hapa walimshauri arudi na kumalizia shule na ameona vyema kufanya hivyo wakati huu. Tusijaribu kujenga mlima kutoka katika kichuguu.
 
Kumalizia shule ipi?
 
Huyu dogo nilimwambia siku nyingi hivyo vidingi vinakurostisha tafuta shule japo kwa kubeba mabox akaona namtilia kitumbua chake mchanga.

Sasa kayaona siasa ni dirty game... miaka muhimu ya umri wake kaimaliza kusutana na kina Makamba matokeo yake ni zero.

I feel sorry for young Mnyika its not too late aende shule sasa, siasa za bongo ni michosho na kurostishana tu..

Why you feel sorry for him if he had a plan to advance himself. Tuacheni hii tabia kama ya gazeti la TAZAMA. Aliomba mwenyewe nafasi ya kujiendeleza. He knows what's doing.
 
Soma tena post yangu jibu lako limo mle mle
 
Huyu dogo nilimwambia siku nyingi hivyo vidingi vinakurostisha tafuta shule japo kwa kubeba mabox akaona namtilia kitumbua chake mchanga.

Sasa kayaona siasa ni dirty game... miaka muhimu ya umri wake kaimaliza kusutana na kina Makamba matokeo yake ni zero.

I feel sorry for young Mnyika its not too late aende shule sasa, siasa za bongo ni michosho na kurostishana tu..

Masatu mimi ni mmoja wa watu walio pata habari za yeye kwenda kufanya mambo ya mashule nk .John anaamini kwamba siasa ni utumishi na si kazi za kulipwa kama inavyo onyeshwa na vijana wa CCM.Sasa ame opt out ili afanye mambo mengine ya maisha yake kwa ukaribu lakini haina maana kwamba hatatoa busara zake akitakiwa .Hongera John ulisema na sasa ume tenda .
 
Muwe na subira Wakuu..... Mnyika ni mwanachama hapa atakuja mwenyewe kujieleza ni vipi ameamua kwenda kujiendeleza!!!! Na kujiweka nje kidogo kwenye siasa za moja kwa moja (majukwaani).Lakini katika Baraza la Watu Wazima tuwe makini ni habari gani mnataka kuisema.....na sio kuleta habari tu kwa sababu labda ya "chuki binafsi" au "Utashi wa kisiasa".Kwa ufupi tu ni kwamba Mnyika hajaenguliwa ktk Uongozi wa Chadema.....Kichwa cha habari cha thread hakileti maana,na tutakuwa hatumtendei haki mwenzetu!!
 
"Mwikabe aula, Myika atoswa"....najiuliza huko Chadema ni kipi hicho ambacho watu 'wanakula' mara wanapopata nafasi ya uongozi? ifike mahali jamani mjitofautishe na CCM ma mambo ya 'kuula'!
Hao Chadema wote ni CCM asilia
 
Mungu akipenda, huyu kijana bado ana muda mwingi wa kufanya SIASA. Katabia haka ka kujing'atua angalau kwa muda ni ka kuenziwa na kutiliwa mkazo ili tusiwe na akina KINGUNGE, MREMA, MAALIM SEIF, LIPUMBA, ..., wengi nchi hii.
 
Kwanza huyu kijana ni boara to the MAX. Articles zake mtu bora usome comments kwenye utamu. Ni ndefu na zinatia kidhungu dhungu,na zaidi ya yote hayo, Freeman Mbowe aliona bora ainvest in BALILE badala ya mnyika ambaye hata shule hakulipiwa na CHADEMA

Sasa ushauri wangu kwa mnyika:

Its never too late unaweza kwenda kusoma pale CBE then who knows baadae unaweza kupata ajira mjini lakini siasa huziwezi na hao unaodhani wanakupenda hawana nia ya kukuendeleza kisiasa

Hivi kati yako na Halima Mdee ulifikiri ungeweza kupita?

Mimi huo ndio ushauri wangu asubuhi hii na kwa sababu wewe ni member wetu humu JF naamini utakubali kupewa ushauri na memebers wengine...if the worst become worse unaweza kurudi kujijini ulikotoka ukalime...after all kilimo bado ni uti wa mgongo wa taifa hili
 
Huyu dogo nilimwambia siku nyingi hivyo vidingi vinakurostisha tafuta shule japo kwa kubeba mabox akaona namtilia kitumbua chake mchanga.

Sasa kayaona siasa ni dirty game... miaka muhimu ya umri wake kaimaliza kusutana na kina Makamba matokeo yake ni zero.

I feel sorry for young Mnyika its not too late aende shule sasa, siasa za bongo ni michosho na kurostishana tu..

Masatu,

Hebu tueleze wewe hiyo shule yako imekusaidia au kuisaidia nchi hii kivipi. Umefanya nini cha maana kwa huo usomi wako na umeona kama manyika naye akisoma kama wewe atakifanya hicho kitu. Manyika amefanya mambo makubwa kwa nchi hii na hiyo elimu yake kuliko nyie wenye masters na Phd zenu useless (wewe, kibunango na gembe kutwa kuongea mambo ya kijinga tu humu). Yaani kama usomi wenyewe ndiyo huo mnaomshauri naye akasomee halafu aje kuwa kama nyie (wasomi) mimi namshauri tu abaki kama alivyo kwa sababu sijaona tofauti yoyote kwenu.

Nyie kizazi cha kifisadi nyie we ngoja tu
 
Hapana mimi sikubaliani na GAME THEORY huyu kijana MNYIKa ana potential kubwa sana na ni hazina ambayo CHADEMA isithubutu kuipoteza. CHADEMA should take this boy to School kama CCM walivyompeleka Nape India; the sooner they do it the better awe na degree angalau moja mimi niko tayari kumchangia angalau kiduchu ,asikimbilie ubunge huo ataukuta atakapokuwa na confidence zaidi.
 
Masatu,

Hebu tueleze wewe hiyo shule yako imekusaidia au kuisaidia nchi hii kivipi. Umefanya nini cha maana kwa huo usomi wako na umeona kama manyika naye akisoma kama wewe atakifanya hicho kitu. Manyika amefanya mambo makubwa kwa nchi hii na hiyo elimu yake kuliko nyie wenye masters na Phd zenu useless (wewe, kibunango na gembe kutwa kuongea mambo ya kijinga tu humu). Yaani kama usomi wenyewe ndiyo huo mnaomshauri naye akasomee halafu aje kuwa kama nyie (wasomi) mimi namshauri tu abaki kama alivyo kwa sababu sijaona tofauti yoyote kwenu.

Nyie kizazi cha kifisadi nyie we ngoja tu

Nimejaribu kuelewa unachotaka kusema, inaelekea nashindwa. Una maana Mnyika akisoma hatakuwa bora zaidi? Elimu ina manufaa mengi sana kwa mtu binafsi na kwa jamii anayoishi. Ushauri wa kujiendeleza kwa elimu ni ushauri mzuri sana. Kama Mnyika ameweza kuonyesha ujasiri, uelewa na jitihada katika shughuli alizowahi/anazoendelea kuzifanya (kama zipo), ni imani yangu kuwa akiongeza elimu atafanya mazuri zaidi.
 
Naamini huyu dogo JJ Mnyika kama ataendelezwa anaweza kuja kulisaidia taifa siku za baadae.nilikuwa sijui kama JJ Mnyika hana degree,
Chonde chonde Mnyika nenda shule bila elimu ya kutosha kina Mbowe & co watakushambulia kama mpira wa kona
 
Back
Top Bottom