Mabadiliko CHADEMA Makao Makuu

Ndugu wanaJF,
Heri ya mwaka mpya 2009.

Nimetuiwa ujumbe wa simu kuwa katika JF kuna habari hii ambayo nimeona niisemee.

Sio kweli kwamba John mnyika, aliyekuwa Mkurgenzi wa Vijana Taifa ameondolewa katika uongozi wa chama. Isipokuwa John amethibitishwa kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa kuwa huwezi kuwa na Kurgenzi mbili kwa wakati mmoja, basi Kurgenzi wa Vijana imepata Mkurugenzi mpya ambae anasubiri kuthibitishwa na Kamati Kuu ya chama ambae ni Ndugu Halima Mdee(Mb).

Naomba ifahamike kuwa John Mnyika Hajang'olewa CHADEMA. John ni mmoja wa hazina kubwa sana ya chama chetu na kwa muda mrefu ujao atakuwa tegemeo kubwa la chama na Taifa letu. John hajafanya makosa yeyote katika chama ya kustahili kuvuliwa uongozi. Amekuwa mwadilifu sana katika chama na ametoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa Demokrasia katika Taifa letu.

Mhe. Tunashukuru kwa ufafanuzi huu , kwani mengi yalisemwa na sababu nyingi kutolewa ku-justify tukio hili.
 
Ndugu wanaJF,
Heri ya mwaka mpya 2009.

Nimetuiwa ujumbe wa simu kuwa katika JF kuna habari hii ambayo nimeona niisemee.

Sio kweli kwamba John mnyika, aliyekuwa Mkurgenzi wa Vijana Taifa ameondolewa katika uongozi wa chama. Isipokuwa John amethibitishwa kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa kuwa huwezi kuwa na Kurgenzi mbili kwa wakati mmoja, basi Kurgenzi wa Vijana imepata Mkurugenzi mpya ambae anasubiri kuthibitishwa na Kamati Kuu ya chama ambae ni Ndugu Halima Mdee(Mb).

Naomba ifahamike kuwa John Mnyika Hajang'olewa CHADEMA. John ni mmoja wa hazina kubwa sana ya chama chetu na kwa muda mrefu ujao atakuwa tegemeo kubwa la chama na Taifa letu. John hajafanya makosa yeyote katika chama ya kustahili kuvuliwa uongozi. Amekuwa mwadilifu sana katika chama na ametoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa Demokrasia katika Taifa letu.

Nilitaka kushangaa...
 
Na wewe unabaki na Kurugenzi ipi?
 
Asante Mheshimiwa Zitto kwa ufafanuzi.

Ina maana CHADEMA wakishinda 2010, most likely Mnyika ndiye atakuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Ndugu wanaJF,
Heri ya mwaka mpya 2009.

Nimetuiwa ujumbe wa simu kuwa katika JF kuna habari hii ambayo nimeona niisemee.

Sio kweli kwamba John mnyika, aliyekuwa Mkurgenzi wa Vijana Taifa ameondolewa katika uongozi wa chama. Isipokuwa John amethibitishwa kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa kuwa huwezi kuwa na Kurgenzi mbili kwa wakati mmoja, basi Kurgenzi wa Vijana imepata Mkurugenzi mpya ambae anasubiri kuthibitishwa na Kamati Kuu ya chama ambae ni Ndugu Halima Mdee(Mb).

Naomba ifahamike kuwa John Mnyika Hajang'olewa CHADEMA. John ni mmoja wa hazina kubwa sana ya chama chetu na kwa muda mrefu ujao atakuwa tegemeo kubwa la chama na Taifa letu. John hajafanya makosa yeyote katika chama ya kustahili kuvuliwa uongozi. Amekuwa mwadilifu sana katika chama na ametoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa Demokrasia katika Taifa letu.

Zitto humu tunasumbuliwa na spin ndugu yangu;
Nashauri wajumbe ya kuwa kama mtu huna habari si lazima kuzusha habari au kuandika habari ambayo hujaitafiti; hii aibu kwa aliyeanzisha mada hii na maelezo ambayo wengine hatukuyaelewa kwa kweli

Thanks Zitto
 
Hata mimi kwa ufahamu wangu, JJ Mnyika ni Graduate wa UDSM. Issue ni jee aligraduate?. kama ni kupitia UD, wengi tumepita lakini sio wote waliograduate. Hata James Mbatia ni mwanaharakati ambae alianzia UD lakini hakugraduate.
Mwita Mwikabe aliyeula CHADEMA pia ni Graduate wa UDSM na aliwahi kuwa rais wa DARUSO ni mwanaharakati uchwala na oportunist, hivyo it wont bee long kabla CHADEMA hawajagundua wameuvaa mkenge.

ni kweli hafai... ni bonge la mkenge!
 
Zitto humu tunasumbuliwa na spin ndugu yangu;
Nashauri wajumbe ya kuwa kama mtu huna habari si lazima kuzusha habari au kuandika habari ambayo hujaitafiti; hii aibu kwa aliyeanzisha mada hii na maelezo ambayo wengine hatukuyaelewa kwa kweli

Thanks Zitto

Malunde,

Kwenye hili sidhani kama kuna SPIN labda kuna uzushi. SPIN ni pale fact moja inapogeuzwa ili ilete maana tofauti na maana yake halisi. Lililoandikwa hapa inaelekea sio ukweli, kwahiyo ni uzushi au uwongo au tetesi.
 
Ndugu wanaJF,
Heri ya mwaka mpya 2009.

Nimetuiwa ujumbe wa simu kuwa katika JF kuna habari hii ambayo nimeona niisemee.

Sio kweli kwamba John mnyika, aliyekuwa Mkurgenzi wa Vijana Taifa ameondolewa katika uongozi wa chama. Isipokuwa John amethibitishwa kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa kuwa huwezi kuwa na Kurgenzi mbili kwa wakati mmoja, basi Kurgenzi wa Vijana imepata Mkurugenzi mpya ambae anasubiri kuthibitishwa na Kamati Kuu ya chama ambae ni Ndugu Halima Mdee(Mb).

Naomba ifahamike kuwa John Mnyika Hajang'olewa CHADEMA. John ni mmoja wa hazina kubwa sana ya chama chetu na kwa muda mrefu ujao atakuwa tegemeo kubwa la chama na Taifa letu. John hajafanya makosa yeyote katika chama ya kustahili kuvuliwa uongozi. Amekuwa mwadilifu sana katika chama na ametoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa Demokrasia katika Taifa letu.

Zitto

Asante kwa maelezo yako ambayo umeyatoa baada ya moto wa JF, kama ambavyo umesema mwenyewe kuwa umetumiwa sms nyingi.

Inaelekea uamuzi huu mmeufanya kumfuta machozi baada ya kumwondoa kwenye vijana. Kwenye taarifa zake nyingi alikuwa akielezwa kuwa ni kaimu wa kurugenzi hiyo ya mambo ya nje; kwanini uamuzi huo wa kumvua kurugenzi moja ya vijana mmeufanya sasa?

Je, maneno ya Mwanakijiji kuwa aliwaeleza nyinyi viongozi wenzake kuwa anataka kujiuzulu uongozi aende kuendelea na masomo yake- kuna ukweli wowote?

Kama ni ukweli basi nitaelewa kwanini mmempa kurugenzi ya mambo ya nje ili aende ‘nje ya chama’ kusoma.

Kwanini uteuzi huu haumjautangaza, mmeficha kimya kimya mpaka mimi nimeibua hapa ndio umekuja kutoa maelezo? Kuna nini ambacho kimefichwa?

Kwanini yeye Mnyika hawezi kusema mwenyewe mpaka uje kusema kwa ajili yake? Na kwanini hamkumteua Mwita kuwa mkurugenzi wa vijana wakati ana uzoefu wa masuala ya vijana toka DARUSO

Naomba utueleza sababu hasa ya mabadiliko ambayo mmeamua kuyafanya ghafla tena kimya kimya

…….ndiyohiyo
 
Malunde,
Lililoandikwa hapa inaelekea sio ukweli, kwahiyo ni uzushi au uwongo au tetesi.

Thank you; narekebisha kauli sasa:

KTK JF ili heshima yetu na Integrity yetu iwe ile inayotegemewa na WATZ asilimia 85 maskini wa kutupwa kuwatetea na kubuni kwa manufaa yao basi TUACHE uzushi au uwongo na tetesi tuziite TETESI
 
Thank you; narekebisha kauli sasa:

KT JF ili heshima yetu na integrity yetu iwe ile inayotegemewa na WATZ asilimia 85 maskini wa kutupwa kuwatetea na kubuni kwa manufaa yao basi TUACHE uzushi au uwongo na tetesi tuziite TETESI

UZUSHI UPI WAKATI NI UKWELI MNYIKA AMEONDOLEWA KUWA MKURUGENZI WA VIJANA? HUKO MAMBO YA NJE ALIPOPELEKWA SI BENCHI TU LA KUPUMZIKIA? NIMEMPA CHANGAMOTO ZITTO ATUELEZE UKWELI KWANINI WAMEFANYA MABADILIKO HAYO. TUMSUBIRI DR SLAA ATUELEZE UKWELI, NA KWANINI MNYIKA MWENYEWE HASEMI? MARA WENGINE WASEME AMEJIUZULU, SASA KIPI NI KIPI? HEBU TUELEZENI UKWELI. UNASEMA JF NI YA WATU WATETESI NA UZUSHI, HEBU SOMA HAPA CHINI NONDO HIZO ZA NGUVU TOKA JF ORIGINALLY

Wana JF naona mjadala sasa unataka kuharibika kwa dataz za kudhania vile. Naomba ieleweke kuwa kuna makundi mawili hapa tunayoyaongelea: La kwanza ni kundi la akina Mzindakaya, JK, Karume, Rwakatare n.k. Hawa wana shahada za heshima tu (honoris causa) siyo za kusomea! Chuo chochote kinaweza mtunukia mtu shahada hiyo ya heshima kwa kutambua mchango wake katika jambo fulani. Siku za nyuma hata baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Spika Adam Sapi, Salim Ahmed Salim, Kaunda na Obote walipewa heshima hiyo na vyuo mbalimbali duniani.

Kundi lenye matatizo ni lile lenye shahada feki na linadai kuzisomea shahada hizo! Kundi hili ni hatari sana maana linaharibu kabisa heshima, sifa na viwango vya elimu nchini. Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:

(1) Salmin Amour - Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
(2) Pius Ng'wandu - Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!
(3) Mary Nagu - Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.
(4) Emmanuel Nchimbi - Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.
(5) Makongoro Mahanga - Ph.D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.
(6) Didas Masaburi - Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.
(7) Norman Sigallah - Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.
(8) Mafwenga - Ph.D yake sawa na ya Sigallah
(9) Nangale - Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London.
(10) Mathayo David - Ph.D ya kujipachika.
(11) Mutamwega - Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.
(12) Lukuvi - Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C.
(13) Samuel Chitalilo - Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!
Nimepata taarifa mbalimbali kuhusu vyeti vya Wabunge wafuatao: Sigonda, Capt.Komba, Omari Mzeru na Savelina Mwijage. Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka!

Ijabu

Ijabu kanipa hamasa sana juu ya suala hili. Wote aliowaeleza kweli wana vyeti feki na hata ukiongea nao, ni vihiyo vihiyo wa kutupwa! Naomba niongeze majina mengine kwenye listi la Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu. Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!

Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu! Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.

Namfahamu sana Mbunge Sigonda. Ni mtu wa usalama wa Taifa aliyeishia darasa la nane. Leo naambiwa ni Dk.! Hebu tupe dataz Ijabu na wana JF wengine. Capt. Komba yeye ni msanii na mwizi asiyestahili kujadiliwa hapa maana anawaibia hata wasanii wenzake dani ya TOT. Mzeru wa Morogoro yeye ni mafix moja kwa moja. Hana udaktari wowote! Alijipachika udaktari kuombea ubunge na unaibu waziri kwa JK!

Agustino Lyatonga Mrema - Pacific Western University, a diploma mill. Yeye alipoenda kuchukua hiyo "degree" alikwenda na matarumbeta kibao, vifijo na nderemo.

Mustafa Mkullo - Almeda University, a diploma mill. Kule youngafrican.com nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa associate degree kwa mbwa anayeitwa "Wally" mali ya mwandishi mmoja wa habari huko Marekani (In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate degree on behalf of his dog, Wally. Part of the "life experience" listed on the application was "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally an associate's degree in childhood development with a course list including European culture, college algebra, American history, and public speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."" Almeda University - Wikipedia, the free encyclopedia

Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International - I think even Sofia Simba anayo ya huko (sasa Mwanakijiji asije akanishambulia kuwa namtendea vibaya interviewee wake!!!!)
 
Ndugu wanaJF,
Heri ya mwaka mpya 2009.

Nimetuiwa ujumbe wa simu kuwa katika JF kuna habari hii ambayo nimeona niisemee.

Sio kweli kwamba John mnyika, aliyekuwa Mkurgenzi wa Vijana Taifa ameondolewa katika uongozi wa chama. Isipokuwa John amethibitishwa kuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Kwa kuwa huwezi kuwa na Kurgenzi mbili kwa wakati mmoja, basi Kurgenzi wa Vijana imepata Mkurugenzi mpya ambae anasubiri kuthibitishwa na Kamati Kuu ya chama ambae ni Ndugu Halima Mdee(Mb).

Naomba ifahamike kuwa John Mnyika Hajang'olewa CHADEMA. John ni mmoja wa hazina kubwa sana ya chama chetu na kwa muda mrefu ujao atakuwa tegemeo kubwa la chama na Taifa letu. John hajafanya makosa yeyote katika chama ya kustahili kuvuliwa uongozi. Amekuwa mwadilifu sana katika chama na ametoa mchango mkubwa sana katika ujenzi wa Demokrasia katika Taifa letu.

Mhe Zitto,asante kwa kutujuza hili mkuu...Mimi kwa mtizamo wangu nadhani JJ alikuwa anafit zaidi kwenye nafasi ya Ukurugenzi wa vijana badala ya hii aliyopewa sasa..JJ ni mwanasiasa ambaye binafsi namtabiria atakuwa hazina kubwa ya Taifa letu baadae na ana nguvu kubwa katika kushawishi,so nilitegemea mngemtumia huyu bwana katika nafasi ya Ukurugenzi wa vijana kutoa hamasa kwa vijana wenziye sasa mnapompeleka mambo ya nje sijui ni kwa lengo gani hasa....Kuhusu suala la elimu sidhani kama lina nafasi hapa jamani maana ukianza kuangalia aina ya wanasiasa tulionao(wakiwemo wabunge wetu) wengi wao elimu yao ni ya kuungaunga tu na wengine ni std 4(ya mkoloni),wengine ni darasa la saba,wengine form 4...Sasa kijana Mnyika (nadhani ni form 6) tusimsakame kwa suala la elimu maana kiukweli ni kwamba ana kipaji katika suala zima la siasa so tusitumie kigezo cha elimu kumhukumu JJ....Kijana ni mzuri katika siasa jamani(tuongee ukweli) kuliko hata hao wenye shahada zao(angalieni maana ushahidi upo wazi)...Mbarikiwe sana
 
UZUSHI UPI WAKATI NI UKWELI MNYIKA AMEONDOLEWA KUWA MKURUGENZI WA VIJANA? HUKO MAMBO YA NJE ALIPOPELEKWA SI BENCHI TU LA KUPUMZIKIA? NIMEMPA CHANGAMOTO ZITTO ATUELEZE UKWELI KWANINI WAMEFANYA MABADILIKO HAYO. TUMSUBIRI DR SLAA ATUELEZE UKWELI, NA KWANINI MNYIKA MWENYEWE HASEMI? MARA WENGINE WASEME AMEJIUZULU, SASA KIPI NI KIPI? HEBU TUELEZENI UKWELI. UNASEMA JF NI YA WATU WATETESI NA UZUSHI, HEBU SOMA HAPA CHINI NONDO HIZO ZA NGUVU TOKA JF ORIGINALLY

Wana JF naona mjadala sasa unataka kuharibika kwa dataz za kudhania vile. Naomba ieleweke kuwa kuna makundi mawili hapa tunayoyaongelea: La kwanza ni kundi la akina Mzindakaya, JK, Karume, Rwakatare n.k. Hawa wana shahada za heshima tu (honoris causa) siyo za kusomea! Chuo chochote kinaweza mtunukia mtu shahada hiyo ya heshima kwa kutambua mchango wake katika jambo fulani. Siku za nyuma hata baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Spika Adam Sapi, Salim Ahmed Salim, Kaunda na Obote walipewa heshima hiyo na vyuo mbalimbali duniani.

Kundi lenye matatizo ni lile lenye shahada feki na linadai kuzisomea shahada hizo! Kundi hili ni hatari sana maana linaharibu kabisa heshima, sifa na viwango vya elimu nchini. Wafuatao wana vyeti feki vinavyoitia aibu Serikali na nchi kwa ujumla:

(1) Salmin Amour - Ph.D yake ni feki, ya kisiasa. Aliipata Ujerumani Mashariki enzi hizo kwa miezi mitatu tu huku akiwa na cheti cha form four tu!
(2) Pius Ng'wandu - Ph.D yake ni feki. Chuo anachodai kusoma cha Stanford, Marekani hakina kumbukumbu zake. Aliosoma nao huko Marekani, akina Prof. Baregu, wanajua kuwa ana Masters tu!
(3) Mary Nagu - Ph.D yaje ni ya kununua kwenye mtandao.
(4) Emmanuel Nchimbi - Ph.D yake ya uchumi ni ya kununua. Hana uelewa wowote wa economics kichwani mwake.
(5) Makongoro Mahanga - Ph.D yake ya ugavi ni ya kununua kama Nchimbi.
(6) Didas Masaburi - Ph.D yake ilinunuliwa pamoja na ya kaka yake Makongoro.
(7) Norman Sigallah - Ph.D yake ni ya kununua kwenye mtandao.
(8) Mafwenga - Ph.D yake sawa na ya Sigallah
(9) Nangale - Ph.D yake ni kutoka chuo kimoja bomu cha chini ya viwango, London.
(10) Mathayo David - Ph.D ya kujipachika.
(11) Mutamwega - Ph.D yake ni feki, ya kununua. Mhusika hawezi kuandika hata sentensi moja sahihi ya Kiingereza.
(12) Lukuvi - Masters yake ni feki. Kaipata akiwa na sifa za elimu ya darasa la saba na cheti cha ualimu, class C.
(13) Samuel Chitalilo - Vyeti vyake vya elimu ya juu toka Uganda vyote ni feki. Ana kesi ya kujibu mahakamani!
Nimepata taarifa mbalimbali kuhusu vyeti vya Wabunge wafuatao: Sigonda, Capt.Komba, Omari Mzeru na Savelina Mwijage. Nazifanyia kazi. Nitazianika hapa muda muafaka!

Ijabu

Ijabu kanipa hamasa sana juu ya suala hili. Wote aliowaeleza kweli wana vyeti feki na hata ukiongea nao, ni vihiyo vihiyo wa kutupwa! Naomba niongeze majina mengine kwenye listi la Mhe. Diodorus Buberwa Kamala, Mbunge wa Mkenge na Waziri wa A. Mashariki. Huyu bwana kasoma Mzumbe kama Nchimbi ambako mtandao wa vyeti feki ulianzia na Mkuu wa Chuo hicho Bw. Warioba. Ph.D yake ni feki, ni ya kununua kama hizo za wenzake aliowataja Ijabu. Hata kwenye Bunge la A. Mashariki tunaambiwa anapwaya ile mbaya. Naibu wake, Mohamed Aboud, yeye ndo balaa maana ni form four failure na CV yake inasema uongo kuwa ana diploma ya Uingereza! Wote ni Ze Komedi mbele ya Wakenya, Waganda, Warwanda na Warundi!

Yupo huyu mama wa Kibaha, Zaibab Gama. Anajiita Dk. wakati ana diploma ya radiology tu! Kuhusu Mbunge Savelina Mwijage (Viti Maalum, Kagera), huyu ana matatizo makubwa maana anatumia jina la marehemu. Taarifa zote zilitoka gazetini, lakini analindwa. Hawezi hata kuandika jina lake, lakini ni Mbunge. Anayebisha aje na ushahidi maana huyu mama namfahamu miaka mingi akiwa mfanyakazi wa ndani wa Mhindi Bukoba.

Namfahamu sana Mbunge Sigonda. Ni mtu wa usalama wa Taifa aliyeishia darasa la nane. Leo naambiwa ni Dk.! Hebu tupe dataz Ijabu na wana JF wengine. Capt. Komba yeye ni msanii na mwizi asiyestahili kujadiliwa hapa maana anawaibia hata wasanii wenzake dani ya TOT. Mzeru wa Morogoro yeye ni mafix moja kwa moja. Hana udaktari wowote! Alijipachika udaktari kuombea ubunge na unaibu waziri kwa JK!

Agustino Lyatonga Mrema - Pacific Western University, a diploma mill. Yeye alipoenda kuchukua hiyo "degree" alikwenda na matarumbeta kibao, vifijo na nderemo.

Mustafa Mkullo - Almeda University, a diploma mill. Kule youngafrican.com nakumbuka ilisema eti chuo chake kiliwahi kutoa associate degree kwa mbwa anayeitwa "Wally" mali ya mwandishi mmoja wa habari huko Marekani (In 2004 the CBS affiliate in Albany, New York, ran a report on Almeda that featured Peter Brancato, who had filled out an application for an associate degree on behalf of his dog, Wally. Part of the "life experience" listed on the application was "Plays with the kids every day ... teaches them to interact better with each other ... Teaches them responsibilities like feeding the dog." Almeda granted Wally an associate's degree in childhood development with a course list including European culture, college algebra, American history, and public speaking.[13] In reply, Almeda claims Brancato perjured himself by creating a false identity using a fabricated name and date of birth. They write, "He completed an application that included a background of the following: Eight-years tutoring pre-K children, curriculum design and development, teaching coping skills, and volunteer coaching."" Almeda University - Wikipedia, the free encyclopedia

Kama sijakosea waheshimiwa wengi sana wana degrees kutoka chuo cha Washington International - I think even Sofia Simba anayo ya huko (sasa Mwanakijiji asije akanishambulia kuwa namtendea vibaya interviewee wake!!!!)

mhhhhhhhhhhh inauma sana jamani,aibuuuuuuuuuuuuuuuu
 
UZUSHI UPI WAKATI NI UKWELI MNYIKA AMEONDOLEWA KUWA MKURUGENZI WA VIJANA? HUKO MAMBO YA NJE ALIPOPELEKWA SI BENCHI TU LA KUPUMZIKIA? NIMEMPA CHANGAMOTO ZITTO ATUELEZE UKWELI KWANINI WAMEFANYA MABADILIKO HAYO. TUMSUBIRI DR SLAA ATUELEZE UKWELI, NA KWANINI MNYIKA MWENYEWE HASEMI? MARA WENGINE WASEME AMEJIUZULU, SASA KIPI NI KIPI? HEBU TUELEZENI UKWELI. UNASEMA JF NI YA WATU WATETESI NA UZUSHI, HEBU SOMA HAPA CHINI NONDO HIZO ZA NGUVU TOKA JF ORIGINALLY

Story hii chanzo chake ni Uzushi;uwongo na kama ilikuwa TETESI ungesema tu; ungesoma vema heading yako kabla haijabadilishwa ungejua why we see it that way; ila sasa umeshasahau huenda.

Pia Nina maswali;

1. Hutaki wafanye mabadiliko? unataka wafanye nini ( muda wote we fight for change to come wewe hutaki)
2.Directorate are split; interview done by technical team na wameona hivyo safi; mkuu si usubiri matokeo yake?
3. Unataka ajibu nini? Ok nikusaidie ni Mkurugenzi wa mambo ya nje; pia anashughulikia mambo yake ya shule ( hayo ni binafsi yake hayatuhusu)
4. Hutaki apumzike hata kidogo?
 
Chama tufuku cha CHADEMA, waheshimiwa kina upungufu wa viongozi... wananchama wengine wenye uwezo jamani iingie kwenye chama mkaimarishe... Otherwise... viongozi hao hao watalundikiwa majukumu... Mbunge, Mwenyekiti wa kamati, mjumbe wa kamati, waziri kifuli,cheo cha chama... mkuu wa familia, mwananchi....shule humo humo... Eventually wanasahau hata kusoma sheria na kanuni za mchezo... yale yaliotokea Mbeya vijijini.
 
mwezi umeandama!
 
Nadhani siku za Nyuma kuna mahala Mnyika alisema ana mpango wa kuachia ngazi

Pia,Halima Mdee yuko fiti.Halafu kama Kweli CCM wanataka kumsimamisha Nape huko ubungo apambanae na Mnyika basi tuseme CCM washalikosa hilo jimbo

Mlishawahi kujiuliza au kumuuliza kwa nini anataka kuachia ngazi?
 
Back
Top Bottom