Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria...

Anabadili positions za kete. Draft ni lile lile

Sioni mabadiliko ya maana hapo.
 
Dah..kuna mambo hayako sawa,hii sio kawaida wakuu..huu moshi unaofuka soon kuna moto utawaka! Hatuko salama kama tunavyodhani,kuna msigano mkubwa sana nyuma ya pazia..
Naona hujaielewa dhanna ya Reform and Rebuilding.


Hapo kwa Kassim Majaliwa, kilichositisha asipigwe chini ni mfumo tu, lakini ana "underperform" sana, juzi aliambiwa, usingoje maagizo kutoka juu.
 
As long as Madelu na Maradona wa Mtama wapo kwenye Baraza hamna jipya hapo
 
Ni mabadiliko Mazuri ila hiki cheo kipya Cha Naibu Waziri Mkuu inaweza kuwa ni kumpa mkono wa kwaheri Katelephone.

Naunga mkono hoja japo Pindi Chana sijui Huwa wanampendea nini naona yuko weak sana.

Mwisho kabisa Kwa mara ya kwanza Kuna mtu alitabiri mabadiliko ya Baraza la Mawaziri na amepatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ