Maandishi yaliyopo kwenye bendera ya Saudia

Maandishi yaliyopo kwenye bendera ya Saudia

Yu wapi mtoto pendwa MBS...……………………………….. KIBOKO YA JAMALI KHASHOGI.
 
Yanatamkwa, La ilaha illaLlah Muhammadan Rasulullah yakimaanisha HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMAD NI MTUME WAKE.

Panga zile na Dhabi ni kama court of arms yetu sisi
Mkuu hilo neno 'Saud ' si jina la familia inayotawala hilo taifa baada ya Al Saud kushinda vita vya wenyewe kwa wenyewe na kuiteka miji ya Mecca na Madina ndio nchi ikaitwa Saud Arabia? Je kabla ya hapo nchi hiyo iliitwaje?
 
Hayo maneno yana ashiria kwamba saudi arabia ni secular state. Hata hivyo, secularism haimanishi kwamba hakuna uhuru wa kuabudu. Ikumbukwe kwamba hata kipindi cha mtume kulikuwa na secular state ya dola ya waislamu ambayo ndani yake kulikuwamo wayahudi na waliruhisiwa kuabudu dini zao so long as hawafungamani na washirikina.
Kuhusu suala la ugaidi ni suala pana sana, hali hitaji mihemko kulijadili kwasababu mi naweza sema kila nchi ni gaidi kama na ukiniul8za kwann nitakupa grounds zangu. Kwa hiyo tusikurupuke tu kusema taifa flani ni gaidi.
Halafu kumbukeni tunakaribia mwez wa ramadhani so tusibughudhiane tuweni wastaarabu tafadhali mana kuna mijitu humu ya ajabu sijui ndo islamophobia inawasumbua?
kuhusu uhuru wa kuabudi Saudi Arabia haupo
hauruhusiwi na nikosa kisheria kuabudu hadharani Kama wewe sio mwislamu walitoa exemption Pope alivyowatembelea
 
Kwasababu saudi arabia 100% ni muslim
hebu acha uongo angalia ziara ya Pope Saudi Arabia uone maelfu ya wakristo waliopo huko.
mabalozi wa nchi mbalimbali na familia zao, wafanyabiashara na wanaoenda kutibiwa
 
Sasa hapo si wanaikufuru Quran Tukufu..bendera ikichakaa wanaitupa au wanafanyaje? Maana nasikia Quran huwa haitupwi wala kuchomwa moto
Yale maandishi sio Quran. Si kila mahali palipoandikwa Kiarabu ni Quran.
 
Muwe mnasumbua basi hata vichwa yenu kdg jamaa khaaa! Yani unakubali kuwa ignorant ktk dunia ya Leo kiasi hicho wakati kuna majukwaa kibao ya kupata maarifa?
Sasa hiyo ni bendera nchi inaweka verses za dini! Je wasioabudu hiyo dini wataiheshimu hiyo bendera kweli!?
 
Ni ignorance ndy inatusumbua sisi watanzania, watu wamekuwa wavivu hata kutafuta maarifa wao wenyewe, wanafatisha story za vijiweni tu, kuna wakristo kibao wanapatikana Syria na hata nchi nyingine za kiarabu wanazungumza kiarabu, sasa kwa sisi tukimuona tutasema moja kwa moja kuwa ni muislam na ni gaidi.
Yale maandishi sio Quran. Si kila mahali palipoandikwa Kiarabu ni Quran.
 
Back
Top Bottom