Chanzo cha yanayoendelea Ufaransa ni hiki...!

pamoja Santa

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
1,284
Reaction score
1,733
Nchi ya Ufaransa inapitia kipindi kigumu sana wakati huu ambapo waandamanaji wanazidi kufanya kila aina ya uhalifu

Kwanza turudi nyuma mwaka 2024 bunge la Ulaya lilipoazimia kupitisha Sera ya wahamiaji na wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali na lengo la kupitisha hii sheria ilikuwa ni kibinadamu zaidi lakini huu ndo mwiba unaowatesa hivi leo

Lakini katika hilo Bunge kuna nchi zilipinga sana na kulikemea hili na nchi hiyo ni Poland na Slovakia, ila Poland ilikuwa mstari wa mbele ikiwakilishwa na mbunge Dominick Tarczynski, huyu jamaa ni genius balaa na anakuchana bila ya kukuonea haya

Basi wenye kuanza kuruhusu wahamiaji na wakimbizi waliruhusu na wahamiaji wengi walitoka kwenye nchi za Kiarabu yaani Afrika kaskazini na Middle East hapa ndipo kosa kubwa lililofanywa huku wakiwasema Poland na wenzake kwamba ni ma-racists ila hawakujali

2026 wanafunzi wa kiFaransa na wageni wameanza kuandamana tena kwa nia njema tu na bila kufanya uhalifu wowote ule sasa Kadri siku zinazidi kwenda wenyeji wanashangaa mbona kama imekuwa kwenye hii hali na hatujawahi kufika huku

☆Picha linaanza waandamanaji wanaandamana wakiwa na bendera za nchi zao za asili yani utakuta huyu ana bendera ya Algeria huyu Morroco huyu Palestina na kadhalika

☆Jamaa wanavunja maduka ya watu haijawahi tokea yani wanaiba wazi wazi

☆Mpaka sasa makanisa 22 yamechomwa ila hakuna msikiti wowote ule uliochomwa

☆Leo nimeona kuna ki clip jamaa wanasema let's kill Police in the name of allah Daan mpakaa nimeshangaa asee

☆Mtu akichoma mali anasema allah akbar

Turudi kwa huyu jamaa Dominick Tarczynski, huyu jamaa ana msemo wake sasa sijui ni wake au wa nchi yake ni kwamba LEARN FROM POLAND, BE LIKE POLAND na kila interview anayofanya anakwambia ukikaribia boarder ya Poland usije ukailaumu nchi yake maana utakacho kutana nacho sijui , na hivi karibuni kuna mlinzi wa boarder wa Poland aliuliwa na wahamiaji nchi yake ikapitisha sheria ya kutumia live bullets kwa hiyo boarder za Poland ni za moto kwa wahamiaji mno

Juzi aliingia mtaani mjini Cracow akaanza ku-compare hapo na Paris huku akisema hapa ni patilivu sababu hakuna wahamiaji na hapa kuna utofauti mkubwa na states za France ni kama alikuwa anawa mock ila ndo ulikuwa ukweli

Ukifatilia nchi ya Poland na Slovakia kwakweli zimetulia tofauti na Western Europe na wamesema watalinda culture zao kwa nguvu zote ukiwemo Ukristo

Sasa hawa jamaa Waarabu wakiwa kwenye nchi zao wanabanwa kwelikweli wakija Ulaya kwa sababu kuna uhuru basi wanajiamlia mambo ila kingine kwenye haya maandamano shida nyingine ni dini ya Kiislamu sababu ya kutaka kutake over hili hata Trump kalisema juzi yani haiwezekani unachoma makanisa kwenye nchi yenye tamaduni za kikristo halafu misikiti hamna hata mmoja

Na hili ni swala la muda tu kila aliyeruhusu hawa jamaa atafikiwa tu yaani Eastern Europe yani Great Britain, Germany na wenzake suluhisho wanatakiwa kuderpotiwa warudi kwao la sivyo ngoma ndo imeanza maana sasa hivi
*Ubakaji umekuwa katika high rate sababu ya hawa jama
*Uhalifu umeongezeka mno

Huyu ni Trump👇👇 ila pia nimekuwekea video za Mwanaume Dominick

Huyo Dominick anakwambia kama wanataka maisha mazuri waende Qatar au Saudia huyu jamaa kama ana make flani hivi

1792352836554.jpg

Attachments

  • “Stop_this_madness”_says_Dominik_Tarczyński,_a_Polish_MEP_🇵🇱_.mp4
    6.1 MB
Maandamano ni yataendelea sababu
Maandamano ni ya wananchi wa Ufaransa wenyewe

Kudai ni wageni ni sio kweli

Wanafunzi wanalalamika Walimu wachache Mashuleni

Na Walimu wanadai vitendea kazi hakuna
Wanafundisha Wanafunzi wengi sana !!!!

Kwanzia jana kundi jipya limeingia kuandamana kwasasa ndio Fujo lazima zitokee!!!!

Wazungu wenyewe ndio Vinara wa Maandamano

Kama kudai waislamu kuwa wengi pale pale Ujerumani Uholanzi pia kuna Waislamu wengi lkn kumetulia kabisa

Hakuna picha Makanisa yakichomwa MOTO

Lkn tukumbuke WAZUNGU kwasasa hawapendi kwenda Makanisani

Ukiyakuta Makanisa yapo tupu mengine matumizi Yamebadilka nasasa kuko ivyo!!

Serikali zao za Ulaya wanapinga kuanzishwa Misikiti!!! !!!
 
Mwanzo yalikuwa ya wananchi kweli ila wageni hii fursa walikuwa wanaisubiri kwa mda sana na imetokea ndo

Mwanzo yalikuwa ni wananchi kweli ila kwa sasa wananchi wa Ufaransa wamejitoa wamebaki wageni na ndo vurugu wanazozifanya

Kusema wazungu hawapendi kwenda kanisani hiyo sio sababu ya wewe kuchoma makanisa

Huko Uholanzi na kwingineko sasa hivi kuna vuguvugu mda si mrefu kunanuka
 
Uislamu ni kansa ya Dunia!
 
Hizo ni shutuma za uongo za kutafuta mbuzi wa kafara.. Uislamu sio tatizo ila kwakuwa ni majingamajinga yanatumika kila eneo

Huyo Mbweha kachezea sharubu simba sasa kaminywa pumbu kwenye makoloni yake huku African sasa yupo mbioni kujua sehemu yake kwa meza
 
Maandamano ni ya raia wanaojitambua na wanafahamu umuhimu wa kodi zao,polisi nao wanajitambua siyo policcm, inawaza kuuwa raia wakati wanaishi kwa dhiki na ufukara, kwenye zile nyumba zao kama mabanda ya bata.
 
Nchi ya Ufaransa inapitia kipindi kigumu sana wakati huu ambapo waandamanaji wanazidi kufanya kila aina ya uhalifu

Kwanza turudi nyuma mwaka 2024 bunge la Ulaya lilipoazimia kupitisha Sera ya wahamiaji na wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali na lengo la kupitisha hii sheria ilikuwa ni kibinadamu zaidi lakini huu ndo mwiba unaowatesa hivi leo

Lakini katika hilo Bunge kuna nchi zilipinga sana na kulikemea hili na nchi hiyo ni Poland na Slovakia, ila Poland ilikuwa mstari wa mbele ikiwakilishwa na mbunge Dominick Tarczynski, huyu jamaa ni genius balaa na anakuchana bila ya kukuonea haya

Basi wenye kuanza kuruhusu wahamiaji na wakimbizi waliruhusu na wahamiaji wengi walitoka kwenye nchi za Kiarabu yaani Afrika kaskazini na Middle East hapa ndipo kosa kubwa lililofanywa huku wakiwasema Poland na wenzake kwamba ni ma-racists ila hawakujali

2026 wanafunzi wa kiFaransa na wageni wameanza kuandamana tena kwa nia njema tu na bila kufanya uhalifu wowote ule sasa Kadri siku zinazidi kwenda wenyeji wanashangaa mbona kama imekuwa kwenye hii hali na hatujawahi kufika huku

☆Picha linaanza waandamanaji wanaandamana wakiwa na bendera za nchi zao za asili yani utakuta huyu ana bendera ya Algeria huyu Morroco huyu Palestina na kadhalika

☆Jamaa wanavunja maduka ya watu haijawahi tokea yani wanaiba wazi wazi

☆Mpaka sasa makanisa 22 yamechomwa ila hakuna msikiti wowote ule uliochomwa

☆Leo nimeona kuna ki clip jamaa wanasema let's kill Police in the name of allah Daan mpakaa nimeshangaa asee

☆Mtu akichoma mali anasema allah akbar

Turudi kwa huyu jamaa Dominick Tarczynski, huyu jamaa ana msemo wake sasa sijui ni wake au wa nchi yake ni kwamba LEARN FROM POLAND, BE LIKE POLAND na kila interview anayofanya anakwambia ukikaribia boarder ya Poland usije ukailaumu nchi yake maana utakacho kutana nacho sijui , na hivi karibuni kuna mlinzi wa boarder wa Poland aliuliwa na wahamiaji nchi yake ikapitisha sheria ya kutumia live bullets kwa hiyo boarder za Poland ni za moto kwa wahamiaji mno

Juzi aliingia mtaani mjini Cracow akaanza ku-compare hapo na Paris huku akisema hapa ni patilivu sababu hakuna wahamiaji na hapa kuna utofauti mkubwa na states za France ni kama alikuwa anawa mock ila ndo ulikuwa ukweli

Ukifatilia nchi ya Poland na Slovakia kwakweli zimetulia tofauti na Western Europe na wamesema watalinda culture zao kwa nguvu zote ukiwemo Ukristo

Sasa hawa jamaa Waarabu wakiwa kwenye nchi zao wanabanwa kwelikweli wakija Ulaya kwa sababu kuna uhuru basi wanajiamlia mambo ila kingine kwenye haya maandamano shida nyingine ni dini ya Kiislamu sababu ya kutaka kutake over hili hata Trump kalisema juzi yani haiwezekani unachoma makanisa kwenye nchi yenye tamaduni za kikristo halafu misikiti hamna hata mmoja

Na hili ni swala la muda tu kila aliyeruhusu hawa jamaa atafikiwa tu yaani Eastern Europe yani Great Britain, Germany na wenzake suluhisho wanatakiwa kuderpotiwa warudi kwao la sivyo ngoma ndo imeanza maana sasa hivi
*Ubakaji umekuwa katika high rate sababu ya hawa jama
*Uhalifu umeongezeka mno

Huyu ni Trump👇👇 ila pia nimekuwekea video za Mwanaume Dominick

Huyo Dominick anakwambia kama wanataka maisha mazuri waende Qatar au Saudia huyu jamaa kama ana make flani hivi

View attachment 3693844
View attachment 3693845
View attachment 3693845
View attachment 3693847
Acheni chuki dhidi ya Uislamu. Hakuna nchi ya kiislamu iloivamia nchi ya kikristo. Kula siku ni wakristo ndio wanaovamia waislamu. Marekani kavamia Afghanistan, Iraq, Iran , Libya, Somalia , Palestine, huko kote kaacha mauaji na mateso ya kutisha. Punguza ushoga bwabwa ww
 
Hizo ni shutuma za uongo za kutafuta mbuzi wa kafara.. Uislamu sio tatizo ila kwakuwa ni majingamajinga yanatumika kila eneo

Huyo Mbweha kachezea sharubu simba sasa kaminywa pumbu kwenye makoloni yake huku African sasa yupo mbioni kujua sehemu yake kwa meza
Jamaa kaokoteza uozo wa Facebook kaona humu kuna vilaza kahara bila kufikiria kwa kina
 
Acheni chuki dhidi ya Uislamu. Hakuna nchi ya kiislamu iloivamia nchi ya kikristo. Kula siku ni wakristo ndio wanaovamia waislamu. Marekani kavamia Afghanistan, Iraq, Iran , Libya, Somalia , Palestine, huko kote kaacha mauaji na mateso ya kutisha. Punguza ushoga bwabwa ww
Let's kill the police in the name of alla ni nini hiki?

Dominick umemfatilia kweli emu jipe mda umfatilie jamaa
 
Jamaa kaokoteza uozo wa Facebook kaona humu kuna vilaza kahara bila kufikiria kwa kina
Wewe una akili kushinda kushinda Dominick Tarczynski?

Shida yenu nyinyi hampendi kuambiwa ukweli, mbona hizi fujo huwa hawafanyi Qatar na Saudia?
 
Mnaokoteza mashudu jp kwenye makanisa yenu ya kuruka ruka kama fisi pori
 
Mwanzo yalikuwa ya wananchi kweli ila wageni hii fursa walikuwa wanaisubiri kwa mda sana na imetokea ndo

Mwanzo yalikuwa ni wananchi kweli ila kwa sasa wananchi wa Ufaransa wamejitoa wamebaki wageni na ndo vurugu wanazozifanya

Kusema wazungu hawapendi kwenda kanisani hiyo sio sababu ya wewe kuchoma makanisa

Huko Uholanzi na kwingineko sasa hivi kuna vuguvugu mda si mrefu kunanuka

Ukidai kuna Kanisa limevunjwa weka Ushahidi
tujue kama ni Maandamano ya Kidini ❗

sio ya kudai Ugumu wa Maisha!!!

Maandamano kama haya siku za nyuma hayakuwepo
Sababu chumi zao zilikuwa nzuri

Kwasasa Serikali zao zinapitia changamoto nyingi sana
Ndiomana pale Ufaransa wanashindwa kuendana ma mahitaji ya Walimu na vitendea kazi !!

Chumi zinaanguka lkn mahitaji ya lazima yanaendelea kwenda juu

Sababu watu wanaendelea kuongezeka japo sio kwa Speed kubwa!!!

Ukiona Wazungu mpaka wanaiba madukani fahamu Ufaransa kwasasa maji ya Shingo

Walitegemea sana Africa Magharibi

Kwasasa wenyewe wameamka
Sheria zimewekwa kulinda rasilimali zao kwa wivu mkubwa!!!

Changamoto za Ulaya ni kutokana na VITA ya Ukraine na VITA ya Iranian

Russian lengo lake VITA vyake viendele miaka mingi

Kwakuwa wanajua
Ulaya Magharibi watanyonyoka mpaka nywele

Kumbukumbu Russian wanakisasi na Ulaya Magharibi baada kuanguka Umoja wa Soviet
Sababu kuu sio Vita ❗

ni Uchumi wenye nguvu sana wa Ulaya Magharibi !!

Sasa PUTIN yupo kwenye Vita kubwa ya Uchumi na Ulaya Magharibi
Na Iranian yupo kutimiza Agano la Russian pamoja na China
Kuimomonyoa Dolla$$ Kwenye Uchumi wa Gulf States na Dunia

Kizaazaa tunakioga wote kwanzia Marekani mpaka Ulaya Magharibi nasisi wa huku Africa American kusini Asian sote tumeingizwa kwenye Vita ya Uchumi ya Russian China na Iranian dhidi ya Mataifa ya Magharibi

Kwaiyo yale Mataifa yalio kwenye nyororo kubwa ya Uchumi wa Magharibi ndio yataanza kupitia magumu sana Mana nyororo ya Uchumi inakatwa kwa nguvu

So punguzeni kujua kwingi !!
tatizo sio vijana wa kislam au Africa tatizo Chumi zao zimebanwa shingo na Wanaume w3✍️
 
Nchi ya Ufaransa inapitia kipindi kigumu sana wakati huu ambapo waandamanaji wanazidi kufanya kila aina ya uhalifu

Kwanza turudi nyuma mwaka 2024 bunge la Ulaya lilipoazimia kupitisha Sera ya wahamiaji na wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali na lengo la kupitisha hii sheria ilikuwa ni kibinadamu zaidi lakini huu ndo mwiba unaowatesa hivi leo

Lakini katika hilo Bunge kuna nchi zilipinga sana na kulikemea hili na nchi hiyo ni Poland na Slovakia, ila Poland ilikuwa mstari wa mbele ikiwakilishwa na mbunge Dominick Tarczynski, huyu jamaa ni genius balaa na anakuchana bila ya kukuonea haya

Basi wenye kuanza kuruhusu wahamiaji na wakimbizi waliruhusu na wahamiaji wengi walitoka kwenye nchi za Kiarabu yaani Afrika kaskazini na Middle East hapa ndipo kosa kubwa lililofanywa huku wakiwasema Poland na wenzake kwamba ni ma-racists ila hawakujali

2026 wanafunzi wa kiFaransa na wageni wameanza kuandamana tena kwa nia njema tu na bila kufanya uhalifu wowote ule sasa Kadri siku zinazidi kwenda wenyeji wanashangaa mbona kama imekuwa kwenye hii hali na hatujawahi kufika huku

☆Picha linaanza waandamanaji wanaandamana wakiwa na bendera za nchi zao za asili yani utakuta huyu ana bendera ya Algeria huyu Morroco huyu Palestina na kadhalika

☆Jamaa wanavunja maduka ya watu haijawahi tokea yani wanaiba wazi wazi

☆Mpaka sasa makanisa 22 yamechomwa ila hakuna msikiti wowote ule uliochomwa

☆Leo nimeona kuna ki clip jamaa wanasema let's kill Police in the name of allah Daan mpakaa nimeshangaa asee

☆Mtu akichoma mali anasema allah akbar

Turudi kwa huyu jamaa Dominick Tarczynski, huyu jamaa ana msemo wake sasa sijui ni wake au wa nchi yake ni kwamba LEARN FROM POLAND, BE LIKE POLAND na kila interview anayofanya anakwambia ukikaribia boarder ya Poland usije ukailaumu nchi yake maana utakacho kutana nacho sijui , na hivi karibuni kuna mlinzi wa boarder wa Poland aliuliwa na wahamiaji nchi yake ikapitisha sheria ya kutumia live bullets kwa hiyo boarder za Poland ni za moto kwa wahamiaji mno

Juzi aliingia mtaani mjini Cracow akaanza ku-compare hapo na Paris huku akisema hapa ni patilivu sababu hakuna wahamiaji na hapa kuna utofauti mkubwa na states za France ni kama alikuwa anawa mock ila ndo ulikuwa ukweli

Ukifatilia nchi ya Poland na Slovakia kwakweli zimetulia tofauti na Western Europe na wamesema watalinda culture zao kwa nguvu zote ukiwemo Ukristo

Sasa hawa jamaa Waarabu wakiwa kwenye nchi zao wanabanwa kwelikweli wakija Ulaya kwa sababu kuna uhuru basi wanajiamlia mambo ila kingine kwenye haya maandamano shida nyingine ni dini ya Kiislamu sababu ya kutaka kutake over hili hata Trump kalisema juzi yani haiwezekani unachoma makanisa kwenye nchi yenye tamaduni za kikristo halafu misikiti hamna hata mmoja

Na hili ni swala la muda tu kila aliyeruhusu hawa jamaa atafikiwa tu yaani Eastern Europe yani Great Britain, Germany na wenzake suluhisho wanatakiwa kuderpotiwa warudi kwao la sivyo ngoma ndo imeanza maana sasa hivi
*Ubakaji umekuwa katika high rate sababu ya hawa jama
*Uhalifu umeongezeka mno

Huyu ni Trump👇👇 ila pia nimekuwekea video za Mwanaume Dominick

Huyo Dominick anakwambia kama wanataka maisha mazuri waende Qatar au Saudia huyu jamaa kama ana make flani hivi

View attachment 3693844
View attachment 3693845
View attachment 3693845
View attachment 3693847
hali isipodhibitiwa kwa mkono wa chuma,
huenda soon mapigano baina ya wenyeji na wahamiaji vikaibuka na hali itakua mbaya na hatari zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom