Maandishi yaliyopo kwenye bendera ya Saudia

Maandishi yaliyopo kwenye bendera ya Saudia

Angola, nchi ya Kikristo iliyotawaliwa na Ureno, haina msikiti hata mmoja kwa sababu hawatoi vibali ya kujenga. Brazil, pia ilitawaliwa na Ureno, pia hawatoi vibali ya kujenga Misikiti!

Toka enzi za Vasco da Gama, Ureno inachuki na uhasama zidi ya Uislamu. Hapa nimenukuu kutoka Wikipedia ukatili wa Da Gama dhidi ya waislamu. Ningeomba nukuu hii itafisiriwe kwenye Kiswahili ili uhasama wa Wareno Kristo dhidi ya Waislamu ijulikane :

On reaching India in October 1502, da Gama's fleet set about capturing any Arab vessel he came across in Indian waters, most notoriously the Miri, a pilgrim ship fromMecca, whose passengers he massacred in open water.[30] He then appeared before Calicut, demanding redress for the treatment of Cabral. While the Zamorin was willing to sign a new treaty,[31] da Gama made a call to theHindu king to expel all Muslims from Calicut before beginning negotiations, which was turned down. The Portuguese fleet then bombarded the city for nearly two days from the sea shore, severely damaging the unfortified city. He also captured several rice vessels and cut off the crew's hands, ears and noses, dispatching them with an insulting note to the Zamorin.[32]

On his second voyage, Vasco da Gama inflicted acts of cruelty upon competing traders and local inhabitants, which sealed his notoriety in India.[33][34]During his second voyage to Calicut, da Gama intercepted a ship of Muslim pilgrims at Madayi travelling from Calicut to Mecca. Described in detail by eyewitness Thomé Lopes and chroniclerGaspar Correia, da Gama looted the ship with over 400 pilgrims on board including 50 women, locked in the passengers, the owner and an ambassador from Egypt and burned them to death. They offered their wealth, which "could ransom all the Christian slaves in the Kingdom of Fez and much more" but were not spared. Da Gama looked on through the porthole and saw the women bringing up their gold and jewels and holding up their babies to beg for mercy.'[35]
 
Yanatamkwa, La ilaha illaLlah Muhammadan Rasulullah yakimaanisha HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMAD NI MTUME WAKE.

Panga zile na Dhabi ni kama court of arms yetu sisi
Ni Mungu tu aishiye milele ndo anapaswa kuabudiwa na mwanae Yesu Kristo aliyemwaga damu yake kwa ajili ya dhambi zetu.
Alikufa akafufuka,Muhammad alikufa jumla hadi leo hajafufuka
 
Pole sana kwa mawazo hayo mkuu.Nakuonea huruma sana.
Muhammad alifufuka kama Yesu?
Yesu ni habari nyingine mkuu,alizaliwa na mwanamke Bikra, kwa uwezo wa Mungu,wakati Muhammad alizaliwa kama wewe tu,akaoa,tena wanawake wawili.
Sasa nani mwenye nguvu ya ki Mungu kati ya Muhammad na Yesu?
Dini ya kiislamu ni Dini ya kimwili na si kiroho,ndo maana uislam unatetewa kwa upanga
 
sasa kama court of arm yao ni upanga kama unavyoona hapo.Unaitenganisha vipi saudia na Ugaidi?
Na hii ya jirani zetu unaweza sema inamaanisha nini?
images.jpg
 
Muhammad alifufuka kama Yesu?
Yesu ni habari nyingine mkuu,alizaliwa na mwanamke Bikra, kwa uwezo wa Mungu,wakati Muhammad alizaliwa kama wewe tu,akaoa,tena wanawake wawili.
Sasa nani mwenye nguvu ya ki Mungu kati ya Muhammad na Yesu?
Dini ya kiislamu ni Dini ya kimwili na si kiroho,ndo maana uislam unatetewa kwa upanga
Pole sana mkuu.Subiri tufe ndo utaujua ukweli zaidi na zaidi.Ila kabla hujafa Fanya uchunguzi kwa makini kabisa ujue Dini gani ni sahihi kabisa hapa ulimwenguni na kesho akhera but hulazimishwi kuingia Uislamu Kwa lazima.
Ipe huru akili yako kwa makini kabisa ichanganue mambo usiendeshwe na media za kiamerika watakupotosha kama walivyoupotosha ulimwengu kwa sasa!!
 
Muhammad alifufuka kama Yesu?
Yesu ni habari nyingine mkuu,alizaliwa na mwanamke Bikra, kwa uwezo wa Mungu,wakati Muhammad alizaliwa kama wewe tu,akaoa,tena wanawake wawili.
Sasa nani mwenye nguvu ya ki Mungu kati ya Muhammad na Yesu?
Dini ya kiislamu ni Dini ya kimwili na si kiroho,ndo maana uislam unatetewa kwa upanga

Unatia huruma Sana 🙁🙁🙁
 
Ngoja nkueleweshe kdg kama kwel unataka kuelewa lkn
Haya hebu soma maneno haya chin alaf uniambue yap n maneno ya BWANA yanayopatkana ktk INJILI

1. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. Mathayo 4:4

2.Mtu hawezi ishi kwa mkate peke yake
Mkuu kwa uelewa wangu hayo maneno kwenye bendera ni maneno ya Allah na yapo kwenye Quran. Labda kama navyoelewa sivyo basi uniambie hayo maneno wameyatoa wapi?
Je maneno ktk kifungu 1 na 2 n maneno ya BWANA na je yote yanatoka kwny Injili ????
 
Ngoja nkueleweshe kdg kama kwel unataka kuelewa lkn
Haya hebu soma maneno haya chin alaf uniambue yap n maneno ya BWANA yanayopatkana ktk INJILI

1. Naye akajibu akasema, Imeandikwa, Mtu hataishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu. Mathayo 4:4

2.Mtu hawezi ishi kwa mkate peke yake
Lakini ni nukuu toka Quran? Ama sivyo?
Je maneno ktk kifungu 1 na 2 yote n ya BWANA na je yote yametolewa kwny injili ???
 
Ni Mungu tu aishiye milele ndo anapaswa kuabudiwa na mwanae Yesu Kristo aliyemwaga damu yake kwa ajili ya dhambi zetu.
Alikufa akafufuka,Muhammad alikufa jumla hadi leo hajafufuka
Ila Muhammad alikuwa binaadamu kama ulivyo wewe na mimi hakuwa mungu-mtu,sasa utaanzaje kushindanisha binaadamu na mungu-mtu? Sasa kama mitume mengine yote hakuna aliyefufuka iweje iwe ishu kwa Muhammad kwamba hajafufuka?
 
Muhammad alifufuka kama Yesu?
Yesu ni habari nyingine mkuu,alizaliwa na mwanamke Bikra, kwa uwezo wa Mungu,wakati Muhammad alizaliwa kama wewe tu,akaoa,tena wanawake wawili.
Sasa nani mwenye nguvu ya ki Mungu kati ya Muhammad na Yesu?
Dini ya kiislamu ni Dini ya kimwili na si kiroho,ndo maana uislam unatetewa kwa upanga
Unanipa picha kwanini wale waumini walikubali kunyweshwa Jik kwa kuambia inaondoa mapepo nao wakakubali kwa sababu fini yao ni ya kiroho hivyo hawakuitizama Jik kimwili kwamba ingewadhuru bali waliitizama kiroho ndio maana wakakubali kunywa.
 
Sasa hapo si wanaikufuru Quran Tukufu..bendera ikichakaa wanaitupa au wanafanyaje? Maana nasikia Quran huwa haitupwi wala kuchomwa moto
Iyo siyo Quran iyo Ni Qalma tukufu (shahada) ama kiapo
 
Back
Top Bottom