Maandishi yaliyopo kwenye bendera ya Saudia

Well, ni off topic sort of; lakini nilipata kusoma mahali kuwa Saud Arabia iliahidi kutoa zawadi nono kwa yeyote atakaewezesha kupatikana kwa ama nguo ya kike ya ndani nyekundu au mtu alieichukua. Lengo ni kuondoa tuhuma ambazo hadi leo zimesimama kuwa nguo hiyo ilichukuliwa na Mtume Muhammad.

Well, counter off topic wewe ni miongoni mwa wale wanaotukana watakatifu wa Mungu kama jinsi Mashoga wa ulaya wanavyofanya dhidi ya Bwana Yesu, Mashoga wakinukuu maneno ya Yesu kutoka katika Biblia wanasema Yesu ndiye aliyeanzisha Ushoga na ndiyo maana utakuta mapadri wengi ni mashoga na Wazungu wengi ni mashoga.

Ndiyo maana ninaona wewe huna tofauti na hao wahuni.
 
Kafiri linajumuisha atheists & polytheists, na hawa washirikina ndo walikuwa wanatamaduni ambazo ni kandamizi kwa haki za binadamu kama vile kuzika watoto wakiwa hai (mummification) na dhulma nyingine nying ambazo uislamu ulizichukulia kama uncivilized.
Sasa hawa wayahudi na manasara wao ni conceptual monotheists na huwez kuwaweka kundi moja na atheists au hata hao polytheists.
Ni Taqqiya uliyofanya hapa. Kwa definition yeyote ya kiislamu, kafiri sio mshirikina - ila ni yule asie muislamu.
 
Sawa sawa kabisa.
Kafir kwa imani ya Kiislamu ni mtu asiyekuwa Mwislamu.
Yaani mpingaji wa Dini hiyo.

"I am proud to be a Kafir"
Alisikika muumini mmoja wa dini ya Kiyahudi.
 
Kafiri linajumuisha atheists & polytheists, na hawa washirikina ndo walikuwa wanatamaduni ambazo ni kandamizi kwa haki za binadamu kama vile kuzika watoto wakiwa hai (mummification) na dhulma nyingine nying ambazo uislamu ulizichukulia kama uncivilized.
Sasa hawa wayahudi na manasara wao ni conceptual monotheists na huwez kuwaweka kundi moja na atheists au hata hao polytheists.

Kwa hiyo Mohammed hakufanya vita na Wayahudi na Wakristo? Hakuwahi kusema kuwa Wayahudi na Wakristo ni watu wa daraja la chini kabisa kuliko mbwa?
 
Mtume hajawahi kupigana vita dhidi ya wakristo na wayahudi kwa lengo la kuwaslimisha.
Mtume ameamrisha kuamiliana kwa wema pamoja na wayahudi na manaswara.

Ama uko ill informed au umeamua kutuongopea. Na najua kwa waislamu uongo si dhambi. Hebu tuambie maana ya maneno haya hapa chini:

Muhammad said:
"I have been ordered by God to fight with people till they bear testimony to the fact that there is no God but Allah and that Mohammed is his messenger, and that they establish prayer and pay Zakat (money). If they do it, their blood and their property are safe from me" (see Bukhari Vol. I, p. 13).
 
Unatakiwa uwe na elimu takriban 23 ili uweze kutafsiri sharia. Sina maana ya kukushutumu kwamba huna hizo elimu, bali nataka kukutahadharisha kwamba usiielewe hadith kichwa kichwa kama hadith hiyo hufahamu tafsiri yake kisharia. Hilo neno "people" halikumaanisha wakristo wala wayahudi, bali ni washirikina ambao ndio walikuwa chanzo cha machukizo. Uislamu hauruhusu kumpiga mtu eti tu kwasababu sio muislamu, labda awe anafanya matendo ambayo yanaingilia ama kupingana na "maslaha mursalah" (public interests). Jihad hupiganwa kwa lengo la kuondoa mufsadah (undesireable situation) katika jamii.
Ama uko ill informed au umeamua kutuongopea. Na najua kwa waislamu uongo si dhambi. Hebu tuambie maana ya maneno haya hapa chini:
Muhammad said:
 
Unatakiwa uwe na elimu takriban 23 ili uweze kutafsiri sharia. Sina maana ya kukushutumu kwamba huna hizo elimu, bali nataka kukutahadharisha kwamba usiielewe hadith kichwa kichwa kama hadith hiyo hufahamu tafsiri yake kisharia. Hilo neno "people" halikumaanisha wakristo wala wayahudi, bali ni washirikina ambao ndio walikuwa chanzo cha machukizo. Uislamu hauruhusu kumpiga mtu eti tu kwasababu sio muislamu, labda awe anafanya matendo ambayo yanaingilia ama kupingana na "maslaha mursalah" (public interests). Jihad hupiganwa kwa lengo la kuondoa mufsadah (undesireable situation) katika jamii.

Kuna aina tatu ya Waislamu; wanaosimamia mafundisho ya Qur'an na Hadith Sahihi (kina ISIS et al), wanaojua kuwa kina ISIS wapo sahihi ila hawataki kusema ukweli huo hadi ambapo uislamu unakuwa na nguvu ya kutawala dunia na wale wasiojishughulisha wao wenyewe kuutafuta ukweli na hivyo kuja na hoja kuwa "huwezi kuuelewa uislamu hadi ufundishwe etc, etc, etc".

Kilichofanywa na Muhammad na Makhalifa waliomfuatia, kinachofanyika sasa na kitakachotokea kilitabiriwa kwenye vitabu vya Daniel, Ezekiel na Ufunuo wa Yohana. Kwa mfano: kilichotokea (US) 9/11 hiyo tarehe ina maana kubwa kwenye uislamu na Osama bin Laden hakuichagua hiyo tarehe kwa bahati mbaya. Islamic scholars na masheikh wengi tu wanathibitisha nilichokiandika (remember sheikh Abdul Rogo?).

Kwa hiyo ndugu yangu; save your efforts. Mimi nauelewa Uislamu kwa kiasi kikubwa tu, kwa hiyo taqqiya unayonifanyia hapa haina effect kwangu.
 
Ndugu yangu nakuhurumia kwa sababu huwez kusema eti ISIS wapo sahihi, kwa hoja gan unahalalisha jambo ambalo sharia ina likataza?
Hao ISIS wanapigana vita vya kigaidi kama magaidi wengine tu!
Afu unatakiwa kujua kwamba kuna imperialistic manuevre behind hizo vitu!
Hata huyo abdu rogo alikuwa anafanya makosa!
Huwez kuwatetea watu ambao wako radhi kununua SILAHA kuliko kusaidia huduma za maji na chakula katika miji yao, inafikia hadi hatua mtoto ana starve na kukosa nguvu kiasi hadi analiwa na tai kama mizoga mingine!
Kundi ambalo linagharamia jeshi kuliko kujitolea katika huduma za kijamii unaanzaje kulitetea?
Hata hizo vita zao wanazo pigana ziko nje ya sharia za hukmu ya jihadi!
Jihadi haipiganwi kiholela kama wafanyavyo wao!
Jihad haitakiwi ilete madhara kwa innocents hatakama watakuwa ni watoto au vikongwe wa adui zenu,mazingira pia ni lazima yasiharibiwe katika jihad; hata kuvunja mti mmoja haitakiwi katika jihad!
Unatumia sharia gan kuhalalisha matukio ya kigaidi yanayo fanywa kwa mgongo wa conceptual westerners?

Nijibu hili swali: Andalusia inahusiana vipi na western imperialism?
 
Kwa kesi ya Andalusia haiwez kuhusishwa na imperialistic manuevre kwasababu pale kuna historia ndefu sana ukianzia tangu kutawaliwa kwa nchi nzima ya spain kwa karne nyingi lakini kubwa zaidi ni masuala ya ukandamizwaj wa haki za binadamu (uhuru wa kuabudu kwa waislamu) tangu karne ya 17 ambapo waislamu walikuwa wakilazimishwa kuupokea ukristo (kuritad) otherwise walikuwa wakinyongwa kikatili. Sasa kwa hali kama hiyo ni lazima tukubaliane kwamba mufsadah imesha jidhihirisha na hapo ni lazma wanajamii (wakiwemo wahanga;waislamu) wajtahidi kujilinda kwa lengo la kunusuru uhai na uhuru wa kuabudu dini yao. Na hapo sharia inaruhusu mtu ajikinge yeye na jamaa zake wakaribu kwa kufanya jitihada yeyote iili amzuie adui asitekeleze lengo lake, na hiyo jitihada isije ikaleta madhara kwa wale wasio na hatia na iwe ni kwa dhumun la kumzuia adui asitekeleze adhima yake ovu. Kumbuka uislam unahimiza watu wasikubali kudhulumiwa haki zao wala wao kuwadhulumu wengne.
lakini sio kwamba ndio kuanza kutumia mwanya huo wa kujilinda kuunda makundi yenye silaha nzito kiasi kwamba vita na silaha zina pewa kipaumbele kuliko ustawi wa jumuia.
Hata hivo uisilamu hauamini kwamba vita ndio suluhisho sahihi kiasi cha kupewa kipaumbele kuliko mazungumzo ama njia nyingne za kidiplomasia.
Kuna ushahidi wa hadith nying katika sunnah zina thibitisha haya masuala. Kuna kisa cha bedui aliye jisaidia katika msikiti ambao mtume alikuwa akitoa darsa kwa swahaba, lakini kutokana na hekima ya mtume, yule beduin hakuadhibiwa ila badala yake mtume aka muelekeza kwa hekima na beduin akaelewa. Ukiachilia hilo kuna kisa cha bwana ab lahab ambae alikuwa akimkera mtume mara kwa mara lakini mtume aliendelea kumlingania kwa hekima japokuwa ab lahab hakukoma kuendelea na karaha zake.
Nijibu hili swali: Andalusia inahusiana vipi na western imperialism?
 
Kabla ya ujio wa uislamu Saudi Arabia ilikuwa ni nchi ya ukristo waliokuwa wamechanganyikana na wapagani hivyo basi hata baada ya ujio wa uislamu wakristo na wapagani wengi waliuliwa na waislam baada ya kukataa kubadili dini.

Hata hivyo kwa kuwa Saudi Arabia ni nchi yenye asili ya ukristo haiwezekani eti ukristo usiwepo huko na kama mtu haamini ngoja kanisa hata moja lije lijengwe huko kama alivyoahidi yule mwana mfalme Mohammed Bin Salman ndio waje waone "Religious Martyrs" wanavyokuwa wengi.
 
Ivi unaonaje hiiyo story ukasimulia tutoto twako??
 
Kuna utofauti kati ya maandishi ya kiarabu na Quran. Hayo ni maandishi au lugha na si Quran.
Kwa hiyo hayohayo maandishi yakaandikwa kwenye kitambaa cha kujifutia miguu mlangoni itakuwa sawa?
 
Yanatamkwa, La ilaha illaLlah Muhammadan Rasulullah yakimaanisha HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMAD NI MTUME WAKE.

Panga zile na Dhabi ni kama court of arms yetu sisi
Unafiki tuuuu!!! Toka lini hawa wasaudia ambao ni wabaguzi, watesaji, wauaji na wapenda tigo wakamjua Mungu??!
 
Kwa kesi ya Andalusia haiwez kuhusishwa na imperialistic manuevre kwasababu pale kuna historia ndefu sana ukiaznia tangu kutawakiwa kwa nvhi mzima ya spain kwa karne nyingi lakibi kubwa zaidi masuala ya ukandamizwaj wa haki za binadamu (uhuru wa kuabudu kwa waislamu) tangu karne ya 17 ambapo waislamu walikuwa wakilazimishwa kuupokea ukristo (kuritad) otherwise walikuwa wakinyongwa kikatili. Sasa kwa hali kama hiyo ni lazima tukubaliane kwamba mufsadah imesha jidhihirisha na hapo ni lazma wanajamii (wakiwemo wahanga;waislamu) wajtahidi kujilinda kwa lengo la kunusuru uhai na uhuru wa kuabudu dini yao. Na hapo sharia inaruhusu mtu ajikinge yeye na jamaa zake wakaribu kwa kufanya jitihada yeyote iili amzuie adui asitekeleze lengo lake, na hiyo jitihada isije ikaleta madhara kwa wale wasio na hatia na iwe ni kwa dhumun la kumzuia adui asitekeleze adhima yake ovu. Kumbuka uislam unahimiza watu wasikubali kudhulumiwa haki zao wala wao kuwadhulumu wengne.
lakini sio kwamba ndio kuanza kutumia mwanya huo wa kujilinda kuunda makundi yenye silaha nzito kiasi kwamba vita na silaha zina pewa kipaumbele kuliko ustawi wa jumuia.
Hata hivo uisilamu hauamini kwamba vita ndio suluhisho sahihi kiasi cha kupewa kipaumbele kuliko mazungumzo ama njia nyingne za kidiplomasia.
Kuna ushahidi wa hadith nying katika sunnah zina thibitisha haya masuala. Kuna kisa cha bedui aliye jisaidia katika msikiti ambao mtume alikuwa akiyoa darsa kwa sawahaba, lakini kutokana na hekima ya mtume, yule beduin hakuadhibiwa ila badala yake mtume aka muelekeza kwa hekima na beduin akaelewa. Ukiachilia hilo kuna kisa cha bwana ab lahab ambae alikuwa akimkera mtume mara kwa mara lakini mtume aliendelea kumlingania kwa hekima japokuwa ab lahab hakukoma kuendelea na karaha zake.

Work of fiction. Ukweli unajulikana hata leo hii. Nchi yeyote ile ya Kiislamu huwa hakuna uhuru wa kuabudu dini nyingine, period. Na hayo ndiyo mafundisho halisi ya Muhammad na Qur'an, mengine yote ni taqqiya.
 
Back
Top Bottom