Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,961
- 3,699
Weka swali lako vyemaSasa bwana yohana, kule kukatwa kiganja, kunyongwa kupigwa mawe, kukatwa kichwa n.k ukifanya makosa ni nje nje?
Weka swali lako vyemaSasa bwana yohana, kule kukatwa kiganja, kunyongwa kupigwa mawe, kukatwa kichwa n.k ukifanya makosa ni nje nje?
Tanzania tumeweka mkuki,Kenya ngao Wala huwezi kuwadhania ugaidi....Upanga Ni ktk alama za Haki na Ushujaa...Hata Hivyo historia ya Saudia imejengwa kutoka Upanga nao Upanga Ni heshima ya mtu.sasa kama court of arm yao ni upanga kama unavyoona hapo.Unaitenganisha vipi saudia na Ugaidi?
Havijawekwa ili vifanane Bali kila kimoja na nafasi yake...Uhuru na umoja kisha tukaweka na karafuu na pamba hapo vipi....Shukrani mkuu.
Hayo maneno na upanga aisee haviendani.
Hi ni nchi ya kiarabu imejengwa na wenye dini wewe usiye na dini ulipaswa kujitenga nao.Mgeni usilete shobo kwa wenye nyumba yao Wala usilete kujua ungali mgeniSasa hiyo ni bendera nchi inaweka verses za dini! Je wasioabudu hiyo dini wataiheshimu hiyo bendera kweli!?
Ficha ujinga wako utasitirikaHuo upanga ni ishara ya ugaidi kuhusu maandishi tuwasubiri wavaa vipedo
Saudia, Raia au mtu yeyote aliyepo kwenye ardhi yao akifanya kosa, kwa mfano kaiba, kafanya mapenzi na mtu asiye mkewe au kabaka adhabu za kumkata kiganja kumkata kichwa na kumnyonga ni za kufikia tu?Weka swali lako vyema
Jambia haliabudiwi...Wala vitani hakuna shart la silaha pia usiseme usilokuwa na elimu nalo Wala kimhemko.Jambia wanalitukuza na kuliabudu lakini vitani hawaendi na jambia wanatafuta bunduki iliotengenezwa na wanaowaita wamagharibi.
Basi nikusihi uendelee kuchunguza then uje na majibu sahihi Kama Ni kweli ama maneno ya upotoshaji na chukiWell, ni off topic sort of; lakini nilipata kusoma mahali kuwa Saud Arabia iliahidi kutoa zawadi nono kwa yeyote atakaewezesha kupatikana kwa ama nguo ya kike ya ndani nyekundu au mtu alieichukua. Lengo ni kuondoa tuhuma ambazo hadi leo zimesimama kuwa nguo hiyo ilichukuliwa na Mtume Muhammad.
Mkuu unayo really identity ya huyo msaudia Christian...Pengine hitajio lake Ni view yako na ashaipata.Sikiliza hapa na uje kunijibu. Na Christian Prince ni Msaudi Arabia sio kama mimi na wewe.
Mkuu izo habari za yesu umezitoa wapi...Na kwanini unaziamini huko ulikozitoa...Nnamashaka humjui yesu zaidi ya kumezeshwa....dah nahamisha mada but napenda Sana kutoa elimu ya bureMuhammad alifufuka kama Yesu?
Yesu ni habari nyingine mkuu,alizaliwa na mwanamke Bikra, kwa uwezo wa Mungu,wakati Muhammad alizaliwa kama wewe tu,akaoa,tena wanawake wawili.
Sasa nani mwenye nguvu ya ki Mungu kati ya Muhammad na Yesu?
Dini ya kiislamu ni Dini ya kimwili na si kiroho,ndo maana uislam unatetewa kwa upanga
Sio zakutikia Bali Ni sheria zilizo katika Uislamu Yan wanahukumiwa kwa sheria za mwenyezi mungu kwa maelekezo ya mtume S.a.w...Sheria za Mungu si ngeni Mana nae mungu si mgeni tangu Zama za Adam Ibrahim,Musa,Yesu,daudi, Suleiman had kufikia Muhammad walipewa Sheria na miongozo kila Zama(kaumu) walizopita.Rajea Quran na Bible (toleo lolote)Saudia, Raia au mtu yeyote aliyepo kwenye ardhi yao akifanya kosa, kwa mfano kaiba, kafanya mapenzi na mtu asiye mkewe au kabaka adhabu za kumkata kiganja kumkata kichwa na kumnyonga ni za kufikia tu?
Nauliza hili swali kwa kuzingatia lile taifa linaongozwa na sheria za kiislamu
Yanatamkwa, La ilaha illaLlah Muhammadan Rasulullah yakimaanisha HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ILA ALLAH NA MUHAMAD NI MTUME WAKE.
Panga zile na Dhabi ni kama court of arms yetu sisi