Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,828
- 40,633
Salamu kwenu Wakuu...
Wajuzi ningependa kufahamu maandishi yaliyopo kwenye bendera ya saudia arabia yanazungumzia nini hasa.
Naona kuna upanga na maandishi flani ya kiarabu.
Asanteni