Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Kumtetea Mtume kwa kuleta ajenda za Lutu ni uchizi,we ushawahi kukuta mkristu yeyote anamtaja Lutu kama Nabii?Lutu ni character tu kama Character wengine wengi ambao ni mashuhuri lakini hawana jambo,kuna akina Lutu hao,akina Yefta,akina Samson na wengine wengi ambao nyie kwa kutokujua kwenu mmeamua kuwapa Unabii.

Biblia haiwezi kupepesa macho kwa sababu inasema ukweli,eti kwa sababu ni ndugu yake Ibrahimu so Biblia ifiche habari za aibu kuhusu yeye. Hapana.

Ulichoandika kuhusu Mungu kwenye Wakorinto ni mfano mdogo sana wa kundi kubwa lenye upeo mdogo sana na hivyo kukujibu na kukuelezea ni kupoteza muda.
Unamkataa Lutu leo
 
Sijaelewa Mtume na Lutu wanahusiana vipi hadi uwalinganishe hapo.

Kushabikia vita za kidini ni kuonyesha udhaifu wako wa kiimani, kila mtu abaki na anachokiamini.

Upendo utawale
Tupo kwaajili ya kujifunza
 
Sawa, nimekuelewa. Nashkuru tuumeelewana hicho kitendo cha Lutu na Bintize hakijakubaliwa.
Hakijakubaliwa ndio lakini kimefanyika na huyu bwana hana sifa za kinabii sasa wenzetu unabii huu mliompa sijui mmeutoa wapi
 
Lutu amekuwa nabii siku hizi? Lete ushahidi hapa unaoonesha lutu alikuwa nabii. Hapo bado sijaona kosa la bible. Kurekodi tukio lililofanywa kipindi hicho kuna tatizo gani?

Mke wa Abraham, yaani Sarah, alikuwa dada yake, wamezaliwa baba mmoja ila mama tofauti. Ingawa hao mabinti walienda mbali sana kwa kuamua kulala na baba yao lakini enzi hizo ndugu kuoana ilikuwa sio jambo la ajabu.
Isitoshe sheria (Torati) ilikuwa bado haijawa wazi, maana wakati huo Musa bado hajazaliwa
 
MWANZO 19:30—38

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.
Kuna point kubwa unashindwa kuzi catch unaposoma biblia ,
  • Biblia haifichi uchafu wa character alieandikwa inauweka wazi na unaona adhabu kabisa imetoka kwa tendo lililofanyaka , visa vipo vingi na adhabu unazikuta humo humo , Mungu wa kwenye Biblia anachukizwa na dhambi zikitendeka ata iwe ni nabii wake
Allah dhambi zote aliziruhusu kwa mUhammad tena kwa kumpa aya kabisa
  • Muhammad karuhusiwa kufanya uzinzi na Allah akampa kabisa aya mwanamke yeyeto aende kwa muhammad akafanye ngono nae, Aisha akawa akiwaona wamejipanga wanasubiria kupigwa show anasema ni Disgusting
  • I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?" But when Allah revealed: " Muhammad can postpone whom you will of them , and you may receive any of them whom you will; and there is no blame on you if you invite one whose turn you have set aside (temporarily).' (33.51) I said (to the Prophet), "I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788
  • Kula mjakazi, muhammad aifumaniwa anatafuna house girl , akajiapiza hatarudia , allah akashusha aya akamkanya sana asiche kula kwani ni haki yake
    • Koran 66:1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?....
  • Bado wake zake wawili wakawa wanamletea noma sana , Allah akasema kama wataendelea anashuka na jeshi la malaika na waumini wote duniani kupigana na wanawake hao wawili wanaomkataza muhammad kula mjakazi
    • Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Allah, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
  • Allah akasema Mwanamke muhumini yupo huru kwenda kwa muhammad akajitoe kwa muhammad bila mahari
    • Koran 33:50 ....na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii,.....
  • Muhammad alitamani mke wa mtoto wake wa ku adopt , allah akaja haraka akamwambia kwa nini unajizuia nilichokuruhusu mchukue, Allah akasababisha mtoto wa muhammad amuache mke wake, na akapiga marufuku ku adopt mtoto kuanzia siku hiyo
    • Koran 33:37. Na ulipo mwambia yule Allah aliye mneemesha, nawe ukamneemesha: Shikamana na mkeo, na mche Allah. Na ukaficha nafsini mwako aliyo taka Allah kuyafichua, nawe ukawachelea watu, hali Allah ndiye mwenye haki zaidi kumchelea. Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza wewe,
  • Allah akaona haitoshi akampa leseni ya dhambi kabisa
    • 48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....
 
Kwahiyo Lutu sio Nabii kwa Mujibu wa Bible?

Unasema kioindi hicho ndugu walikuwa wanaingiliana/wanaoana ni sawa lakini ilikuwa sio kwa Baba Mzazi na Watoto wake wa kuwazaa.
Kwanza ukiendelea huko mbele unaposoma Biblia utaona wazi vizazi vilivyotokana na hili tukio vilifutika vyote kwenye ile vita ya Waisraeli kuingia nchi ya Kaanani
 
Lutu alikuwa mtumishi wa Mungu, tena aliyefundishwa na nabii Ibrahim, kwa hiyo akiwa nabii ni Sawa tu maana ni zao la nabii Ibrahim
Hapana mzee,Lutu alikuwa ni jamaa tu wa Ibrahimu,kwanza pia hakuna Biblical records zikizungumzia Abrahamu kumfundisha mtu yeyote much less Lutu. Na hata kama angekuwa amefundishwa na Abraham bado haimfanyi kuwa nabii.
 
Kuna point kubwa unashindwa kuzi catch unaposoma biblia ,
  • Biblia haifichi uchafu wa character alieandikwa inauweka wazi na unaona adhabu kabisa imetoka kwa tendo lililofanyaka , visa vipo vingi na adhabu unazikuta humo humo , Mungu wa kwenye Biblia anachukizwa na dhambi zikitendeka ata iwe ni nabii wake
Allah dhambi zote aliziruhusu kwa mUhammad tena kwa kumpa aya kabisa
  • Muhammad karuhusiwa kufanya uzinzi na Allah akampa kabisa aya mwanamke yeyeto aende kwa muhammad akafanye ngono nae, Aisha akawa akiwaona wamejipanga wanasubiria kupigwa show anasema ni Disgusting
  • I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?" But when Allah revealed: " Muhammad can postpone whom you will of them , and you may receive any of them whom you will; and there is no blame on you if you invite one whose turn you have set aside (temporarily).' (33.51) I said (to the Prophet), "I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788
  • Kula mjakazi, muhammad aifumaniwa anatafuna house girl , akajiapiza hatarudia , allah akashusha aya akamkanya sana asiche kula kwani ni haki yake
    • Koran 66:1. Ewe Muhammad! Kwa nini unaharimisha alicho kuhalilishia Allah?....
  • Bado wake zake wawili wakawa wanamletea noma sana , Allah akasema kama wataendelea anashuka na jeshi la malaika na waumini wote duniani kupigana na wanawake hao wawili wanaomkataza muhammad kula mjakazi
    • Koran 66:4. Kama nyinyi wawili hamkutubia kwa Allah, basi nyoyo zenu zimekwisha elekea huko. Na mkisaidiana dhidi yake muhammad, basi hakika Allah ndiye kipenzi chake, na Jibrili, na Waumini wema, na zaidi ya hayo Malaika pia watasaidia.
  • Allah akasema Mwanamke muhumini yupo huru kwenda kwa muhammad akajitoe kwa muhammad bila mahari
    • Koran 33:50 ....na mwanamke Muumini akijitoa mwenyewe kwa Nabii,.....
  • Muhammad alitamani mke wa mtoto wake wa ku adopt , allah akaja haraka akamwambia kwa nini unajizuia nilichokuruhusu mchukue, Allah akasababisha mtoto wa muhammad amuache mke wake, na akapiga marufuku ku adopt mtoto kuanzia siku hiyo
    • Koran 33:37. Na ulipo mwambia yule Allah aliye mneemesha, nawe ukamneemesha: Shikamana na mkeo, na mche Allah. Na ukaficha nafsini mwako aliyo taka Allah kuyafichua, nawe ukawachelea watu, hali Allah ndiye mwenye haki zaidi kumchelea. Basi Zaid alipo kwisha haja naye tulikuoza wewe,
  • Allah akaona haitoshi akampa leseni ya dhambi kabisa
    • 48:2 That Allah may forgive thee of thy sin that which is past and that which is to come.....
Ngoja waje na majibu
 
Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
Ukiona mtu mpaka leo hii bado anawaza mambo ya hizi Dini za kuletewa ujue anakabiliwa na umasikini uliokithiri na Elimu yake inatia mashaka. Binafsi naamini Dini zetu za asili Afrika ni bora zaidi kuliko hizi Dini zilizokuja na Majahazi.

Tafuta pesa ndugu, mambo ya Dini achana nayo yatakupotezea muda.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
no offence but Biblia sio gazeti eti kwa kuwa unajua kusoma ndio basi, unahitaji hekima utulivu wa akili na moyo na sana mwongozo wa Roho ndio maana ya sala kabla ya kusoma wala sio hamu ya kutafuta kosa.

Kuna wasomi wa maandiko wamepitia tafsiri mbali mbali za maandiko na nakala zilizoandikwa kwa lugha halisi na hawajasema upuuzi huu. Labda nikusidie hilo andiko la 1Kor 1:25 maana yake ni kua hata ikitokea Mungu akiona kafanya chini ya kiwango hauwezi kulinganisha na hekima na bidii za juu za mwanadamu, bado ziko chini sana, yaani ni sawa na kumwambia Chama leo ulikua chini ya kiwango chako lakini bado uwezo wako ulikua zaidi ya ule wa Mayele (nimetafuta uchokozi hapo).

Turudi Lutu kitendo cha mabinti zake hakijapewa tiki kwenye Biblia ingawa walifanya kwa nia njema lakini hakikuhesabiwa haki na Biblia imekemea kwenye maandiko mengi sana yaliyofuata baada ya Lutu. Biblia haijadhalilisha imesema ukweli wala usitegemee kuama kua nabii kunamfanya mtu kuwa bora zaidi ya wengine wala haubadiliki eti unakua sio mwanadamu tena NO! kipimo chetu ni kilekile mbele za Mungu
 
Kila mtu amini DINI YAKE .
mimi nitakuwa mkristo mpaka nife nawewe kuwa muislamu mpaka ufe shida iko wapi??
 
I always find myself sorry for whoever underestimate Blackman everyone thinks to be better than the other and you know what that's actually the meaning of stupidity. wrong Quotation again from Xin Jinping
Tukumbuke hizi dini tumeletewa tu. Tupunguze kujifanya tunazijua kuliko waliozileta, zililetwa ili tuweze kutawaliwa kirahisi!
 
Tukumbuke hizi dini tumeletewa tu. Tupunguze kujifanya tunazijua kuliko waliozileta, zililetwa ili tuweze kutawaliwa kirahisi!View attachment 2383118
Tushukuru hizi unazazi bila kuwepo mpaka sasa tungekuwaje! Embu ona dini na serikali zipo lakini tizama vitu vinavyofanyika, MUNGU angekuwa anaanua tu dunia akiona uchafu umezidi, lakini dini isingepinga kwamaana MUNGU kaiumba dunia aliweka utaratibu wakuishi sio kujiendea kama mbwakoko kila jalala yumo.
 
Back
Top Bottom