Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Makachu

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
431
403
Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
 
Phil Houston

JF-Expert Member
Aug 22, 2022
201
444
Upumbavu ni Nini ? Kwa wewe unavyoelewa... Hivi Makosa ya Mungu unaweza kuyagundua wazi wazi ?..... Nikupe mfano: Adam hakujua kuwa Mungu alikosea kumuweka peke ake Eden ila Mungu mwenyewe kwa Mara ya kwanzA akaona si vema Adam awe peke ake.
Vp ulijua kuwa alifanya kosa ?
Bible ngumu kwa kichwa panzi.
#Vladdy anaviashiria vyetu vile
FB_IMG_16646629290672282.jpg
 
Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
2,484
5,291
Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!
Lutu amekuwa nabii siku hizi? Lete ushahidi hapa unaoonesha lutu alikuwa nabii. Hapo bado sijaona kosa la bible. Kurekodi tukio lililofanywa kipindi hicho kuna tatizo gani?

Mke wa Abraham, yaani Sarah, alikuwa dada yake, wamezaliwa baba mmoja ila mama tofauti. Ingawa hao mabinti walienda mbali sana kwa kuamua kulala na baba yao lakini enzi hizo ndugu kuoana ilikuwa sio jambo la ajabu.
 
Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
2,484
5,291
(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu)
Akili za masjidi hizi baada ya kucheza na majini. Soma kuanzia mstari wa kwanza wewe stone kisser.
 
Makachu

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
431
403
Embu Waafrika Mjitambue haya mashindano ya kidini yamewapa faida gani Ina maana hakuna kitu Cha kujadili kabisa ni Dini Biblia na Quran

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa Mkuu, hayo ndio Maswali yangu ya Mwisho sitauliza tena ijapokuwa nina msaali Mengi.

Maandiko yangu yajayo nitakuwa naongelea vitu vingine. Kama ni Dini kila Mtu atakomaa na imani yake.
 
Makachu

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
431
403
Upumbavu ni Nini ? Kwa wewe unavyoelewa... Hivi Makosa ya Mungu unaweza kuyagundua wazi wazi ?..... Nikupe mfano: Adam hakujua kuwa Mungu alikosea kumuweka peke ake Eden ila Mungu mwenyewe kwa Mara ya kwanzA akaona si vema Adam awe peke ake.
Vp ulijua kuwa alifanya kosa ?
Bible ngumu kwa kichwa panzi.
#Vladdy anaviashiria vyetu vile
View attachment 2383081
Hatuzungumziii Makosa hapa, tunachozungumzia hapa ni hilo neo upumbavu na Mungu kufananishwa na upumbavu na kuitwa Mdhaifu.

Kumbuka Mungu hafananishwi na kitu chochote.
 
Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
15,314
14,407
Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
Bible is much deep coded book, kila kilichopo kipo kwasababu maalum na siri za Ajabu note this!
 
Makachu

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
431
403
Lutu amekuwa nabii siku hizi? Lete ushahidi hapa unaoonesha lutu alikuwa nabii. Hapo bado sijaona kosa la bible. Kurekodi tukio lililofanywa kipindi hicho kuna tatizo gani?

Mke wa Abraham, yaani Sarah, alikuwa dada yake, wamezaliwa baba mmoja ila mama tofauti. Ingawa hao mabinti walienda mbali sana kwa kuamua kulala na baba yao lakini enzi hizo ndugu kuoana ilikuwa sio jambo la ajabu.
Kwahiyo Lutu sio Nabii kwa Mujibu wa Bible?

Unasema kioindi hicho ndugu walikuwa wanaingiliana/wanaoana ni sawa lakini ilikuwa sio kwa Baba Mzazi na Watoto wake wa kuwazaa.
 
12 Reactions
Reply
Top Bottom