Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,842
- 31,073
Kilichofanywa na wanahabari, kwa kumtimua Nchimbi, ni sahihi kabisa, hebu imagine inatokea kwa mfano mtu aliyesababisha kifo cha mzazi wako, halafu anakuja siku ya mazishi, na kuigiza kuwa huo msiba, umemgusa sana, sasa mtu kama huyo wanandugu wenzako wakimtimua utasema wamekosea??!!Walichokionyesha Leo Wanahabari wetu katika Viwanja vya Jangwani kukataa kwao kwa Kuwepo Waziri Muhusika kupokea Hoja zao ni Udhaifu, Ujinga na Akili za Kitoto, Inaelekea wamefanya Maandamano hayo bila kujua Malengo na Makusudi ya kweli ya kufanya hivyo. Kwa hiyo inayakinisha kuwa wengi wao walikuwa hapo walikuwa Bendera fuata Upe[o!