Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

Nimeona heshima kubwa ambayo JK katoa kwa kuitangaza TZ ktk USA. Ametoa tangazo kubwa ktk uwanja wa Seattle Sounders just kuitangaza TZ!! Akiwa kama Rais, naona kafanya jambo la maana sana kutafuta investors ktk kila kona.

Juzi nilikutana na Wazungu, na Waafrika kutoka Afrika, na nilishangaa sana waliponiambia wanampango wa kwenda TZ kuinvest. Haya ni matunda ambayo tunaanza kuyaona.
Ulishangaa nini?
Wawekezaji km RITES kwani hawaji tz?

Nashangaaa watu wanaunganishaje Diaspora na Maandamano, wakitaka maandamano yajulikane dunia nzima si waende huko NY ambapo CNN, FOX nk watakuwepo kwa mkutano wa UN ? , watu tunaohudhuria Diaspora hatuna habari na Maandamano yenu hayatuhusu sisi tunakwenda kwa 50 zetu za mkutano , mjuane huko huko na huyo Kikwete akiingia tunampokea akitoka nyieee mzomeeeni tuu mnavyotaka sisi halituhusu, wengi wetu hatuuudhuri maandamano yeyote ya kumpinga wala kumsupport tunakuja hotelini tunaanza shughuli kama ilivyokuwa Minnesota tunamaliza hao Airport

Na wewe wa kumsupport msapoti huko huko NY kwako na makundi yenu sisi tumekaa mkao wa kibiashara na maendeleo sio mkao wa "Flames" "Flames", mumletee na mdundiko wa kumsuta au kumsupport kama mna hasira sana

To hell with your none sense Diaspora. Ina maana kwako cha maana ni kukutana na JK na baada ya hapo basi aondoke akusulubiwe NY.

Utakuwa huna akili kama JK unamdhamini siyo rahisi uwe na double standard kubwa namna hiyo.Hizi nafananisha na tabia za kichangudoa ambaye kwake incoming mteja ndio muhimu na akishamalizana naye hataki wajuane tena maadam ameshachukua hela.

Ujinga unaoongea hapa sikutegemea awe anaongea mtu anayeishi Marekani na mwenye exposure kama wewe. Mnatukatisha tamaa kama ninyi wenye exposure mna akili mgando kiasi hiki itakuwaje kwa locals ambao hawana exposure.

Kumbuka harakati za uhuru zililetwa na watu waliotoka vita kuu ya pili ya dunia baada ya kupata exposure kubwa lakini nyie exposure yenu inawafanya kuwa watu wa kuganga njaa na wasaliti wa mwamko wa mabadiliko yanaoyoendelea nchini mwetu.

waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la tanzania unayejiita eliakim mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe eliakim mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima watanzania tunaoishi marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile eliakim mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

mwesigwa. Blandesi
crap crap crap crap crap crap
crap crap crap crap crap crap
crap crap crap crap crap crap
crap crap crap crap crap crap
crap crap crap crap crap crap
crap crap crap crap crap crap

Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.

Mpenda Haki, na Ukweli.
NY, USA

Inatia huruma sana pale mtu mzima anapo behave kama mtoto mdogo!!!

Nashangaaa watu wanaunganishaje Diaspora na Maandamano, wakitaka maandamano yajulikane dunia nzima si waende huko NY ambapo CNN, FOX nk watakuwepo kwa mkutano wa UN ? , watu tunaohudhuria Diaspora hatuna habari na Maandamano yenu hayatuhusu sisi tunakwenda kwa 50 zetu za mkutano , mjuane huko huko na huyo Kikwete akiingia tunampokea akitoka nyieee mzomeeeni tuu mnavyotaka sisi halituhusu, wengi wetu hatuuudhuri maandamano yeyote ya kumpinga wala kumsupport tunakuja hotelini tunaanza shughuli kama ilivyokuwa Minnesota tunamaliza hao Airport

Na wewe wa kumsupport msapoti huko huko NY kwako na makundi yenu sisi tumekaa mkao wa kibiashara na maendeleo sio mkao wa "Flames" "Flames", mumletee na mdundiko wa kumsuta au kumsupport kama mna hasira sana

Inaelekea unapenda sana kuona sura ya JK bila ya kujali what will come out of his mouth. How can you trust a person who is full of promises but delivers nothing? Have you forgotten his election promises? What has he really done for this country to improve the lives of the so called "walalahoi"?

Keeping with his tradition, atakuja hapo kupiga hadithi na tabasamu nyiiingi then he will leave you with a million empty promises. Keep on dreaming!!!

Nimeona heshima kubwa ambayo JK katoa kwa kuitangaza TZ ktk USA. Ametoa tangazo kubwa ktk uwanja wa Seattle Sounders just kuitangaza TZ!! Akiwa kama Rais, naona kafanya jambo la maana sana kutafuta investors ktk kila kona.

Juzi nilikutana na Wazungu, na Waafrika kutoka Afrika, na nilishangaa sana waliponiambia wanampango wa kwenda TZ kuinvest. Haya ni matunda ambayo tunaanza kuyaona.

Matunda ya nini kama si mawazo finyu..Wapo wageni wangapi wameinvest kila sehemu yenye manufaa kwa taifa na hakuna faida yoyote tuionayo zaidi ya ufisadi , To hell na matangazo ya kitoto.

Mnaona njia nzuri ni kuyumbisha waandamanaji wetu, kwa ghiriba hiyo mme fail kwa kuwa nia yenu ni kuwadanganya watu kuwa mnawea kumzuia raisi asije ili watu waamini hizi kauli zetu ili maandamano yafe.

Kwa taarifa yako hata iweje aje kikwete asije lazima tuandamane kwa mabango kama atawakilishwa na mtu mwingine kutoa ujumbe wake basi huyohuyo aliyemwakilisha atabeba ujumbe wetu na kumpelekea.

Mnaona njia nzuri ni kuyumbisha waandamanaji wetu, kwa ghiriba hiyo mme fail kwa kuwa nia yenu ni kuwadanganya watu kuwa mnawea kumzuia raisi asije ili watu waamini hizi kauli zetu ili maandamano yafe. Kwa taarifa yako hata iweje aje kikwete asije lazima tuandamane kwa mabango kama atawakilishwa na mtu mwingine kutoa ujumbe wake basi huyohuyo aliyemwakilisha atabeba ujumbe wetu na kumpelekea.

Wasiokua na Sheria angalieni hiyo siku msije mkakamatwa na Uhamiaji wa Marekani.

Yaani mnaficha maovu yake? Kumpongeza kwa lipi? Labda kwa kuwa mtanzania anayesafiri kuliko wote! :(

Tuambie uovu upi?

Mashule mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mabarabara ya lami mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Vyuo vikuu vingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mazahanati mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Ma hospitali ya mikoa mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Umeme mwingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mawasiliano mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Hakuna kimoja utachosema kwa Kikwete tukakuelewa mpaka kwanza useme hayo ya muhimu.

Ni haki yako na wale wenye mawazo kama yako kumsupport na ni haki pia ya sisi tunaompinga .Wewe kama unafaidika na uwepo wake madarakani mlambe hata miguu na sisi watz tuliowengi tunaoona kwamba yeye ni mtalii anashinda angani kama popo wakati hatuna mafuta na yakiwepo yanapanda kila uchao,umeme tabu,maji hakuna sasa hii amani maana yake nini?

Hebu akija huko wakati unamsupport muulize,mbona zile hotuba za kila mwezi kwa watz hatuzisioni siku hizi kulikoni?au kaishiwa hoja? Akikupatia jibu nadhani utageuka na kuandaa mandamano ya kumpinga.

Tuachane na hao wasaliti wa mama yetu Tanzania. Mimi natamani sijui itokee vipi, JK akiondoka tu kwenda Washington watanzania tuingie barabarani tukidai abaki huko huko kwani kwa kweli sasa hatumtaki.

Nashauri JK awe anapitia kwenye hii forum ili ajionee mwenyewe jinsi raia tena wale wenye uelewa wa mambo yaani wasomi wasivompenda tena hata kumwombea mabaya kwa ukimya wake na maamuzi ya kusuasua au kushinikizwa. Kweli tumechoka maana ataongea hiki na yatatendeka mengine, hakika tunae rais rahisi.
nchasi, huna haja ya kumshauri JK apite humu, yuko tuu busy ila kutokana na umaarufu wa jf, TISS imeajiri vijana 6 kuimonitor jf 24/7 kwa shift za 6 hours daily hivyo wanne huwa kazini kila daily mmoja off na mmoja standby hivyo JK is well informed kila kinachoendelea humu, hata kwenye hayo maandamano ya kumpinga tayari wameisha dispatch advance party ku play role ya kuyasupport, halafu subiria siku zikikaribia mtashuhudia kitajachotokea, Tanzania sio mchezo!.

Duuuuuuuuuuuuuuuuuu,mbona jamaa wanamtetea jk wamwache akumbane na mabango mbona nchi nyingi viongozi wake wanakumbana na mabango yanayopinga utendaji mbovu ambao hupelekea ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu.................hakuna kurudi nyuma maaandamano washington dc msiache jamani send the message to president............................!

Tuambie uovu upi?

Mashule mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mabarabara ya lami mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Vyuo vikuu vingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mazahanati mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Ma hospitali ya mikoa mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Umeme mwingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mawasiliano mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Hakuna kimoja utachosema kwa Kikwete tukakuelewa mpaka kwanza useme hayo ya muhimu.

Naona Zombe umechoka kuheshimiwa na kuanza kujirushia matusi mwenyewe na maadamu umejitusi mwenyewe mimi siongezi neno kwani wanasoma uliyoandika ni kama wamemwona mtu aliyevua nguo akikatiza mitaani; kwani huna sababu ya kuuliza kama ni kichaa au la.

Tuambie uovu upi?

Mashule mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Mabarabara ya lami mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Vyuo vikuu vingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Mazahanati mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Ma hospitali ya mikoa mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Umeme mwingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Mawasiliano mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Hakuna kimoja utachosema kwa Kikwete tukakuelewa mpaka kwanza useme hayo ya muhimu.

hahahahaaaa! Sidanganyiki! Yaani now days imekuwa 'bora shule' na sio 'shule bora' halafu unasifia.. Nimemaliza frm 6 mwaka huu ktk shule ya kata tena kwa taabu tupu, bahati yao nilifaulu maana pasingetosha. Kuhusu vyuo chunguza kwa umakini ni kwann mkapa ndie anayefungua vyuo na kupewa nafasi ya juu mf udom, ni kwa sababu hizo zilikuwa ni project zake.

Hata uwanja wa taifa, lami kigoma mpaka mtr na daraja la mkapa zilikuwa project za mkapa.. Huyu ****** kazi yake kuendeleza project za wenzie na kutembeza bakuli la zaka. Hiyo ndio tabia ya wakwere. Heheheee.

Tuambie uovu upi?

Mashule mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mabarabara ya lami mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Vyuo vikuu vingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mazahanati mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Ma hospitali ya mikoa mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Umeme mwingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.
Mawasiliano mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.

Hakuna kimoja utachosema kwa Kikwete tukakuelewa mpaka kwanza useme hayo ya muhimu.
MAJIBU YAKO NI HAYA.............
Tuambie uovu upi? ........... EPA, KAGODA, MEREMETA, UDA, RADA, BoT, NDEGE YA RAIS, RICHMOND.................... etc ...........ETC

Mashule mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake........... NI KWELI ILA NI YALE YA KATA.................. DIV IV na 0 KIBAO
Mabarabara ya lami mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake..... YALIANZISHWA NA WALIOMTANGULIA.......
Vyuo vikuu vingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake............ HILI NI KWELI
Mazahanati mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake......... CHA MZAHA.............. UNAWEZA UKATAJA HIZO ZAHANATI..??/
Ma hospitali ya mikoa mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake.............. HOSPITALI ZA MIKOA NI ZILE ZILE TANGU KIPINDI KILEEEEEEE
Umeme mwingi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake................ YOU MUST BE JOCKING............ HIVI UNAFAHAMU KWA NINI BAJETI YA NISHATI NA MADILI ILKWAMISHWA NA WAKAPEWA WIKI TATU KUWEKA VITU SAWA...???
Mawasiliano mengi zaidi ya Rais yoyote wa Tanzania kabla yake......... LABDA.... ILA TECHNOLOJIA IMEMLAZIMISHA...

nchasi, huna haja ya kumshauri JK apite humu, yuko tuu busy ila kutokana na umaarufu wa jf, TISS imeajiri vijana 6 kuimonitor jf 24/7 kwa shift za 6 hours daily hivyo wanne huwa kazini kila daily mmoja off na mmoja standby hivyo JK is well informed kila kinachoendelea humu, hata kwenye hayo maandamano ya kumpinga tayari wameisha dispatch advance party ku play role ya kuyasupport, halafu subiria siku zikikaribia mtashuhudia kitajachotokea, Tanzania sio mchezo!.

Mkuu hizi habari za TISS kuajiri vijana kumonitor JF 24/4 umezipata wapi?

Back
Top Bottom