Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.

Mpenda Haki, na Ukweli.
NY, USA

<br / ondoa upupu wako hapa we c unaishi KWAMTOGORE umejileta hapa jf unadanganya mbembers kuwa uko USA! acha upuuzi wk jaribu ku2mia akili japo kidogo kikwete ni kiongoz mbovu na hafai kupongezwa

...kama mngechukua muda kufikiria ni kwa lipi hasa mmeamua kumsapoti JK, msingefikia hatua ya kuleta mada hii hapa JF. Lakini kwa kuwa mnaongozwa na ubinafsi na unafiki hamtajali matakwa wala vilio vya kizazi cha sasa!

Bila shaka na ninyi mnafaidika na mgawo wa keki ya Taifa mkiwa huko US kama wale wanaogombania USD 250,000 za kuimarisha CCM UK?

Haishangazi kuwa kuna wauaji wa halaiki kama ninyi hata kama hamjawahi kushika mtutu wa bunduki, mngeshuhudia akina mama wajawazito, watoto wanaokufa kwa kukosa huduma za afya, matatizo lukuki yanayoikabili jamaa ya kitanzania, bila kujua suluhisho la haya litapatikana lini, msingeshadadia kupongeza watu wanaotumia kodi zetu kutafuta ufahari.
Mnampongeza kwa kushindwa kuwajibika?

Hata kuwa US hakujawasaidia kuelimika, sijui kama hii ni laana au ni nini?

So there'd be 2 rallies!! Or demonstrations rather ?

Anyways we shall have our eyes wide open to see this interesting unfolding of diaspora's expression of their thoughts through support of their causes,

I for one will sign the anti ****** campaign lolest!

Actually wouldn't mind international rallies popote anapotia mguu na watu na mabango haooo!!! Itamfanya akae kitako TZ atatue matatizo kama mkuu wa nchi na sio kutatua kifamilia

Hapa hakuna cha "taarifa za kiintelijensia" wala mabomu au maji ya kuwasha! JK, this time unalo, dunia nzima itatambua "who you real are!"

Tehe tehe tehe umenikuna sana mkuu,labda atakuja nao sungu sungu wa mwema.

Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.

Mpenda Haki, na Ukweli. Acha uongo wewe, haki ipi ya kuifunga familia ya Babu Seah? Kuruhusu mafisadi na wauza madawa ya kulevya!

NY, USA

Mi nashangaa na nakereka kweli! Mtanzania kabisa anaongea upuuzi kama huu, wamsapoti JK kwa lipi sasa. Hata kama umewasilisha mawazo yako hebu iangalie Tanzania kiujumla ndo uropoke

Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi
unasema wanasaliti utamaduni, mila na desturi za taifa? utamaduni upi wanaousaliti? utamaduni wa kukaa kimya na kuwaacha wachache waenjoy hii nchi wakati Watanzania wanaumia na maisha magumu?

Yaani mnaficha maovu yake? Kumpongeza kwa lipi? Labda kwa kuwa mtanzania anayesafiri kuliko wote! :(

Miafrika band ndivyo ilivyo.
Yaani wanaandamana kwa kumpongeza kwa kuyafanya maisha ya wadanganyika kuwa magumu lol
Mnaishi na weupe huko huko mnashindwa hata kujifunza wenzenu wanaishije? Kiongozi mbovu wanamfanyaje!

muanzisha mada labda akachukue shangazi zake, wajomba ndio waende kuandamana, huju jamaa ni mikosi nini, ungekuwa dar tayari tungekupa chepe

tupo pamoja mzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Achana na siasa fanya kitu kingine maana huna hoja. CDM ndo chama kinachowatetea walalahoi na kuchukiwa na mafisadi na wote wasio wapenda haki. Inawezekana ww c Mtanzania ndo maana haupingi hoja bali CHADEMA mara CCM pemba.

Tafadhali usijihusishe na siasa HUJUI.

Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.

Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi

Nadhani wewe una matatizo makubwa zaidi

Jamani tunajua shida za Tanzania na si kweli kwamba kuna wana diaspora waliohaidiwa chochote lakini kwa mawazo yangu fanyane maaandamano UN JK atakapo hutubia sio DC kwani tuna mambo muhimu ambayo tunataka kuongelea kwenye dispora meeting. Kikwete sio lazima aje na kama maandamano yataendela basi tutamuomba asije kwenye mkutano wetu wa DC kwani Kikwete hasaidii lolote kuja kwenye mkutano lakini mkutano ni lazima tufanye. Huu mkutano kama nilivyokuwa nafikiria ni mawazo mabaya kuchanganya na ubalozi kwani watu wanaanza kufikiria ni mkutano wa serikali si kweli huu ni mkutano wa Watanzania na Wamerakani wenye nia nzuri waishio huku na mgeni wa Tanzania kama mwaka jana alikuwa katibu mkuu kiongozi aliongea dakika 30 tu. Kuna watu wa vyuo, Mkuu wa miradi ya barabara ya millenium challenge, representative wa USA wa kanda ya mashariki kutoka kwa mama clinton, representative wa world bank, IMF, n.k hivyo kama kikwete ataleta drama ni bora asiwepo!. Mimi sio mshabiki wa Chama chochote kile lakini kwa mawazo yangu ningeona ni vizuri watu kuandamana UN na sio DC hii pesa ya mikutano tumelipa sisi na si serikali!!. Serikali ni mwalikwa mmoja tu kati ya wengi! hata kama tusipokuwa na kiongozi wa bongo poa tu

Unaoneja uki saidia ku-organise maandamano NY badala ya DC, nimeielewa hoja yako ingawa pia ni vizuri DC hili hao Jamaa wajue kuwa fedha zao wanazotowa nyingi zina liwa kwa Ufisadi ambao serikali haina dhamira ya dhati kupambana nao!

Nadhani ufanye maongezi na waandaji wa maandamano kuangalia uwezekano wa ku-handle hilo swala maana wewe hoja yako ipo kwenye kubadili eneo siyo kutishia waandamanaji na ku-discourage maandamano kitu ambacho kinajadilika.

unasema wanasaliti utamaduni, mila na desturi za taifa? utamaduni upi wanaousaliti? utamaduni wa kukaa kimya na kuwaacha wachache waenjoy hii nchi wakati Watanzania wanaumia na maisha magumu?

Utamaduni wa Wizi, Rushwa na Ufisadi na mila yetu ya Uongo na uoga! Ndio inayo salitiwa

Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi

Hivi unafahamu unachokiandika?? Au umeota ndoto halafu ukakurupuka usiku huo kuandika humu kwenye Jukwaa hili? Nakusihi u-withdraw hii post. It is irrelevant.

Miafrika band ndivyo ilivyo.

Yaani wanaandamana kwa kumpongeza kwa kuyafanya maisha ya wadanganyika kuwa magumu lol

Mnaishi na weupe huko huko mnashindwa hata kujifunza wenzenu wanaishije? Kiongozi mbovu wanamfanyaje!

sure mkuu, mimi inanishangaza sana, hawapati ujuzi kazi kusapoti wasiyoyajua. Duh! Hawaelimiki tu.

Samahanini naomba kuuliza swali ndugu zanguni.. CDM ndio nn? Ni kifupi cha chadema or ccm + chadema! Ninaona post zake tu but sijazielewa! Asanteni.

Nimeona heshima kubwa ambayo JK katoa kwa kuitangaza TZ ktk USA. Ametoa tangazo kubwa ktk uwanja wa Seattle Sounders just kuitangaza TZ!! Akiwa kama Rais, naona kafanya jambo la maana sana kutafuta investors ktk kila kona.

Juzi nilikutana na Wazungu, na Waafrika kutoka Afrika, na nilishangaa sana waliponiambia wanampango wa kwenda TZ kuinvest. Haya ni matunda ambayo tunaanza kuyaona.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom