Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Haya mlioko washngton dc msisubutu kupokea rushwa ya aina yeyote kikubwa nikufanya maandamano ya amani kuonyesha hisia zenu na si vinginevyo msipofanya hivyo mtakuwa mmewasaliti wa tanzania hasa wachangiaji wa mada hii wanaojua kuwa kuna nini kinachoendelea sasa na watanzania kwa ujumla tunazidi kumwomba mungu ajidhihirishe atusaidie tusije tukauzwa na tukaendelea kuteseka zaidi ya hapa tulipo usalama wa taifa tambueni majukumu yenu yakulinda maslahi ya taifa,kuhakikisha kuwa mali za nchi yetu haziibiwi iweni na hofu na mungu haijalishi ninyi ni wa islamu au wakristo ipo siku mtatoa hesabu ya matendo yenu kwa mungu wananchi wa hali ya chini wanateseka watumishi wa umma nao wanafanyakakazi kama watumwa hawapandishwi vyeo kwa wakati siasa zimetawala hata katika utendaji ninaamini watumishi wanao buruzwa hawawezi kutoa huduma stahili hivyo wananchi ndio wanao umia siku hadi siku narudia tena watanzania na wanaharakati wote tumwogope mungu kwa kila jambo tunalo tenda tuache kurubunika kirahisi kisha tukamkosea mungu wetu na jamii yote ya watanzania .
 
Mwingereza kama umetumwa kutuchunguza wana jf utatoa hesabu ya upumbafu wako kwa mungu ukiwa unachozungumza ni real story na mtafanya hivyo kwa maslahi ya umma utabarikiwa vinginevyo pumbafu
 
Haya mlioko washngton dc msisubutu kupokea rushwa ya aina yeyote kikubwa nikufanya maandamano ya amani kuonyesha hisia zenu na si vinginevyo msipofanya hivyo mtakuwa mmewasaliti wa tanzania hasa wachangiaji wa mada hii wanaojua kuwa kuna nini kinachoendelea sasa na watanzania kwa ujumla tunazidi kumwomba mungu ajidhihirishe atusaidie tusije tukauzwa na tukaendelea kuteseka zaidi ya hapa tulipo usalama wa taifa tambueni majukumu yenu yakulinda maslahi ya taifa,kuhakikisha kuwa mali za nchi yetu haziibiwi iweni na hofu na mungu haijalishi ninyi ni wa islamu au wakristo ipo siku mtatoa hesabu ya matendo yenu kwa mungu wananchi wa hali ya chini wanateseka watumishi wa umma nao wanafanyakakazi kama watumwa hawapandishwi vyeo kwa wakati siasa zimetawala hata katika utendaji ninaamini watumishi wanao buruzwa hawawezi kutoa huduma stahili hivyo wananchi ndio wanao umia siku hadi siku narudia tena watanzania na wanaharakati wote tumwogope mungu kwa kila jambo tunalo tenda tuache kurubunika kirahisi kisha tukamkosea mungu wetu na jamii yote ya watanzania .
 
mngekuwa na nia mungekaa maeneo karibu na lango kuu ambapo kila mtu anapaswa kupita hapo mungeona anakotokea kwa sababu mgari hayaruhusiwi kusimama karibu na lango kuu,inawezekana mulikuwa na wazo la mandamano lakini hamkuwa na nia,poleni sana kwani simngeandamana tuu bila hata kumuona sura yake ili hali mulijua yupo,hadithi hii inawezekana ikawa danganya toto
 
Siku hizi kila mtu akiwa na habari yake ya udaku anajimwaga tu JF.

Ebu angalia hii nyuzi ilivyokuwa ndefu halafu ni udaku mtupu. Ha! Ha! Ha! Ha!

Kuwa mwelewa! Unawaza kwa masaburi yako na kutoa hoja yenye sura km ulivyo.
 
tena nyie hamfai kumbe mna njaa kuliko hata sisi tulioko huku bongo mnatumalizia muda kumbe nyie ni wajizi tu, hivi huyo okampo kwanini asije huku tz kulikooza akafungua kesi akawasulubu hawa wahuni wala pesa za kodi zetu wanaogawana kama njungu sasa rushwa imefika haka huko kwa obama, nini hii sasa.
 
UPDATE:
Wana Jamii Forums. Kwanza tunanaombeni radhi kwa kuwaangusheni. Mpango mzima ulisukwa Tanzania. Wafadhili wetu wapo Tanzania na wachache nchini marekani. Hatuhusiani na CHADEMA kama wengine wanavyofikiria. Sisi ni Wana CCM waliochishwa na ufisadi wa Kikwete. Sisi ni Wana UVCCM ila waandamanaji ni watanzania ambao hawakuonysha itikadi zao za kisiasa. Ukweli ni kwamba, tumekuwa tukifuatiliwa kwa muda na watu wasiofahamika. Tulikuwa na makundi matatu, sasa jana baada ya Kufika Washington DC kutoka majimbo tofauti tofauti, tulikaa hoteli tatu tofauti. Punde wakatokea watu waliojifanya ni wenzetu wakisema kwamba, wamepata taarifa kwamba Mh. Rais angekuja siku ya Jumamosi.

Cha ajabu ni kwamba, viongozi wote wa msafara walipewa hela nyingi sana ambazo chanzo chake hazieleweki. Kati ya watu 106 waliofika na mabasi, kila mmoja alipokea siyo chini ya $25,000. Viongozi inasemekana walipewa hela nyingi sana. Haikuchukua muda mrefu tukawa tunaambiwa na viongozi wenzetu kwamba tutapelekwa sehemu tofauti tofauti kula chakula cha jioni. Kumbe muda huo ndio JK alikuwa anafika ukumbuni. Nilipopigiwa simu kutoka ukumbuni kwamba JK kafika, kuwakusanya kila mshiriki ikawa ni shida. Usiku tulipokutana ndo ukweli unafahamika. Kila mshiriki akaanza kushangaa ni kwa nini waligawiwa hela? Hakuna aliyetambua kwamba hawa walikuwa ni watu wa kikwete

Waliogawa hela muda huo walishatokomea. Hawa ni Watanzania wenzetu. Wadada wawili na Wanaume watatu ambao walijitambulisha kwamba wamepewa hela na mfadhili na mmoja wa wafadhili wetu ili kujikimu tukiwa Washington DC. Kwa hiyo hivi ndo mambo yalivyokuwa Jana. Wala msihofu, mapambano bado yanaendelea. Vita vinarudi Tanzania. Kikwete awaelezee watanzania kwamba hizo dola millioni tatu walizowanga wenzetu kiujanja zimetoka wapi?

FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
TUNAOMBA MJIUNGE NA TUSAMBAZE HABARI KWA TANZANIA WOTE
**************************************************************************************

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com

Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

SERIKALI YA TANZANIA KUPITIA WATU WASIOFAHAMIKA, WAMEANZA KUTUTOLEA VITISHO PAMOJA KUJARIBU KUTUHONGA WAANDAAJI $3MILLION KUZIMA ZOEZI ZIMA LA MAANDAMANO. JIBU LETU NI KWAMBA, HATUWEZI KUUZA HUTU WETU NA UBINADAMU WETU. HIZO HELA WAPELEKE KWENYE MAHOSPITALI SIYO KUTUHONGA SISI. WAKAWAONGE WATANZANIA MILLIONI 40 WANAOKUFA NA NJAA SIYO SISI. MAANDAMANO LAZIMA, NA RAIS KIKWETE AJITAYARISHE. TUNAKUTANA NAYE MARRIOT WASHINGTON DULLES AIPORT NA HOTELINI KWAKE. TUMESHAJITAYARISHAhttp://www.facebook.com/pages/Maandamano-Dhidi-Ya-Kikwete/116927725072759?v=wall
http://www.facebook.com/pages/Maandamano-Dhidi-Ya-Kikwete/116927725072759?v=wall
View attachment 37743

bado husomeki! aliyekwambia wewe CDM nani? halafu wewe na wenzio mnalipwa na watu fulani toka Tanzania na marekani you are just political prostutes! mngefanya hayo maandamano kwa utashi wenu its ok lakini mnanunuliwa na watu fulani! once a traitor always a traitor!
halafu pesa yenyewe ni Dola 25,000 au sh. 25,000/= maana kama ni dola then lazima zitakuwa ZIM dollars, nani mtu mwenye akili timamu akupe USD 25,000 bure (na nguo zako!) kisa uandamane tu! acheni uongo! mtu una 25K halafu ufuatilie msosi wa bure! haingii akilini. angalieni vizuri! hizo bank notes kama sii feki then ni Zim dollar!!

kila ukisoma na hasira nazo zinashuka na kuelewa vizuri mchezo wenyewe ulivyokuwa, inaonyesha hawa mapacha watatu wametaka kuja kivingine na mwenzao wa nne kaipata picha kawawai, kwahiyo muingereza ni haki yake kusema pesa zilikuwa nyingi sana, si zinatoka pande mbili, kwa mapacha na serikali hisiyotaka kupingwa
 
Hii ni aibu kutoa propaganda kwenye mtandao wa GT kumbe mnatafuta hela za kuganga njaa wakuu. Mimi niliona kwenye TV rais akiwa very comfortable na sikusikia kama kulikuwepo maandamano. Kwa namna hii mtaendelea kununua uhuru bandia kwa kudanganywa na vijisenti. Sisi huku Tanzania njaa za namna hiyo zimeisha na wengi wetu tumedhamiria kuona mabadiliko ya kweli yanatokea na wakitoa vijihela tunavila na kisha tunaendelea na mapambano. Mngechukua hizo hela na kisha muendelee na maandamano na si kutueleza mlivyo wajinga. We unafikiri wale waTZ waliotoka ughaibuni na wazo la kupigania uhuru wa TZ wangekuwa na akili na uroho kama ninyi tungepata wapi uhuru?
 
UPDATE:
Wana Jamii Forums. Kwanza tunanaombeni radhi kwa kuwaangusheni. Mpango mzima ulisukwa Tanzania. Wafadhili wetu wapo Tanzania na wachache nchini marekani. Hatuhusiani na CHADEMA kama wengine wanavyofikiria. Sisi ni Wana CCM waliochishwa na ufisadi wa Kikwete. Sisi ni Wana UVCCM ila waandamanaji ni watanzania ambao hawakuonysha itikadi zao za kisiasa. Ukweli ni kwamba, tumekuwa tukifuatiliwa kwa muda na watu wasiofahamika. Tulikuwa na makundi matatu, sasa jana baada ya Kufika Washington DC kutoka majimbo tofauti tofauti, tulikaa hoteli tatu tofauti. Punde wakatokea watu waliojifanya ni wenzetu wakisema kwamba, wamepata taarifa kwamba Mh. Rais angekuja siku ya Jumamosi.

Cha ajabu ni kwamba, viongozi wote wa msafara walipewa hela nyingi sana ambazo chanzo chake hazieleweki. Kati ya watu 106 waliofika na mabasi, kila mmoja alipokea siyo chini ya $25,000. Viongozi inasemekana walipewa hela nyingi sana. Haikuchukua muda mrefu tukawa tunaambiwa na viongozi wenzetu kwamba tutapelekwa sehemu tofauti tofauti kula chakula cha jioni. Kumbe muda huo ndio JK alikuwa anafika ukumbuni. Nilipopigiwa simu kutoka ukumbuni kwamba JK kafika, kuwakusanya kila mshiriki ikawa ni shida. Usiku tulipokutana ndo ukweli unafahamika. Kila mshiriki akaanza kushangaa ni kwa nini waligawiwa hela? Hakuna aliyetambua kwamba hawa walikuwa ni watu wa kikwete

Waliogawa hela muda huo walishatokomea. Hawa ni Watanzania wenzetu. Wadada wawili na Wanaume watatu ambao walijitambulisha kwamba wamepewa hela na mfadhili na mmoja wa wafadhili wetu ili kujikimu tukiwa Washington DC. Kwa hiyo hivi ndo mambo yalivyokuwa Jana. Wala msihofu, mapambano bado yanaendelea. Vita vinarudi Tanzania. Kikwete awaelezee watanzania kwamba hizo dola millioni tatu walizowanga wenzetu kiujanja zimetoka wapi?

FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
TUNAOMBA MJIUNGE NA TUSAMBAZE HABARI KWA TANZANIA WOTE
**************************************************************************************

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com

Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

SERIKALI YA TANZANIA KUPITIA WATU WASIOFAHAMIKA, WAMEANZA KUTUTOLEA VITISHO PAMOJA KUJARIBU KUTUHONGA WAANDAAJI $3MILLION KUZIMA ZOEZI ZIMA LA MAANDAMANO. JIBU LETU NI KWAMBA, HATUWEZI KUUZA HUTU WETU NA UBINADAMU WETU. HIZO HELA WAPELEKE KWENYE MAHOSPITALI SIYO KUTUHONGA SISI. WAKAWAONGE WATANZANIA MILLIONI 40 WANAOKUFA NA NJAA SIYO SISI. MAANDAMANO LAZIMA, NA RAIS KIKWETE AJITAYARISHE. TUNAKUTANA NAYE MARRIOT WASHINGTON DULLES AIPORT NA HOTELINI KWAKE. TUMESHAJITAYARISHA

View attachment 37743

Kwa nini usinyamaze tu kila mtu akafikiria na kujiuliza kichwani mwake asipate jibu?? Kumbe kelele zote zile mlikuwa mnataka mpewe hela!!!?????. Nashindwa kuamini walah.
 
Mwingereza ni vizuri ukaja hapa kutoa maelezo, pengine kuna sababu za msingi ninyi kushindwa kufanya hivyo
kukaa kimya ni dalili ya kuwachezea watu akili
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom