Mwingwreza huna tofauti yoyote na Mafisadi waliopo CCM, Pumbavu yako. Kama ningekuwa mimi ni Mods ningehakikisha nakupiga BAN ya Life Id zako zote your a useless Tanzanian. Usitake kucheza na Maisha ya watanzania. Kwa hiyo mmefunga safari kwenda kulishwa chakula na Fisadi mwenzenu? Pumbavu yako wewe na wajinga wenzako mmeshapewa T-shit na kofia pamoja na chakula sasa mmeshiba mmetulia mlikuwa mnapiga kelele kumbe mlikuwa na njaa. Njaa zenu zitawapeleka pabaya. Sasa sisi huku Tanzania tutafanya kweli nyinyi si mmekimbia sisi tupo kwenye Mapambano ya kum'goa huyo Fisadi wenu aliyewaalika na kuwapa chakula huko. Mnafiki mkubwa we Mwingereza na Genge lako la Mafisadi
Subira ya nini? Mwingereza katuuzia matango pori! Shwaini!
Mods kwanini msimpige ban ya kudumu huyu anayejiita Mwingereza?
Ndio maana unaambiwa ngoma usiyoicheza huijui Itami wakeWalijua fedha ya mafisadi inaliwa kirahisi, wakakusanyana na kwenda kuilamba bila kujali kwamba they are far too worse than malaya wa corner bar
WAPUMBAVU WAKUBWA
$^&*()(*&************** ZAO