Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Mwingereza ni vizuri ukaja hapa kutoa maelezo, pengine kuna sababu za msingi ninyi kushindwa kufanya hivyo
kukaa kimya ni dalili ya kuwachezea watu akili

Yaani mkuu na wewe bado unataka maelezo kutoka kwa huyu mpumbavu? Unaifahamu dollar 25,000 wewe? Bado unaamini kuna ukweli anaoweza kuongea mtu wa hovyo kiasi hiki? Nadhani ni bora hii thread ipelekwe kwenye trash na huyu muingereza apigwe life ban mpuuzi kabisa huyu.
 
siku zimepita kidogo kulikuwa na fukuto la Watanzania wanaoishi Marekani, kuwa wangeandamana kurahani hali ngumu ya maisha na ushughulikiwaji wa ufisadi nchini Tanzania, na kwamba zoezi hili lingefanyika pindi Mjomba atakapohudhulia mkutano wa UN cha kunishangaza Mh amekwenda na amepewa mpaka tuzo... Vipi anayejua lolote tuambiane kwani ni tendo ambalo binafsi na pengine watz wengi tuliunga mkono na kuamini lingechangia kwa namna fulani katika harakati za kuelekea kule tunakokutaka!o wa UN cha kunishangaza Mh amekwenda na amepewa mpaka tuzo... Vipi anayejua lolote tuambiane kwani ni tendo ambalo binafsi na pengine watz wengi tuliunga mkono na kuamini lingechangia kwa namna fulani katika harakati za kuelekea kule tunakokutaka!
 
hata mimi nimeumbuka mkuu nilipingana na mtu juzi nikamwambia kwamba mkuu wa mbayuwayu lazima aaibishwe akifika kule majuu lakini cha kushangaza alilakiwa na mpaka watoto wadogo ambao bibi na babu zao tupo hapa bongo tukiteseka na maisha mabovu, binafsi kimeniuma sana
 
Mwingereza na kundi lake walipewa $2500 kila mmoja na mchezo ukaishia hapo hapo.
Source:Mwingereza.
 
Mimi niliwaambia haitafanikiwa kwasababu Watanzania wa Marekani si washabiki hata kama wanakupinga. Hakuna Mtanzania ambaye anaweza kuchukua likizo kazini na kusafiri mpaka DC au NY kwasababu ya kuandamana!. Tafuteni njia nyingine lakini kama kuna mtu anasema Watanzania wataandamana si mkweli na inaezekana haishi Marekani. Huku ndugu zangu watu wanalipwa kwa masaa na muda wako unatakiwa kuutumia vizuri sana. Ingekuwa na nguvu kama Watu wangeandamana Tanzania.
 
Aliyevaa kiatu ndo anajua kinambania wapi! Kama ni mapinduzi na mabadiliko tutayafanya sisi tuliomo humu nchini. Machungu ya Umeme, Kuibiwa rasilimalizetu, kudumazwa kwa ujinga, ughali wa maisha, ukoloni mamboleo, kuendelezwa kwa ufalme(Kurithishana madaraka)etc, listi haina mwisho.
Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Hao walioko Marekani hawaoni haya machungu. BTW kuna ugonjwa mbaya sana wanaupata wakiwa kule wa kutulaumu tu kuwa sisi ni wavivu na wakaaji vijiweni.
 
hawana makaratasio ...ndio mkae sasa mjue kuwa mtu kuishi marekani sio issue wala nini
 
Labda waandamanaji walikusanyika DC jamaa akawapiga chenga akaenda NY!
Mi nafikiri wamefanya hivyo! Lakini wame2angusha sana hasa wadau wapenda haki wa Jf hakika ile THREAD ya Mwingereza iliniletea faraja kwa namna ilivyokuwa makini kwa muda lakini baada ya 2kio ikawa tofauti kbs na lengo guswa. Lkn tuwe na IMANI ya kwmb siku si nyingi hw magamba watajuta kwa yote waliotutenda. Wao wana Pesa Sisi tuna MUNGU!
 
Wanajamii wote salam sana kutoka hapa Vanyua Ndorwe Usangi Mwanga Kilimanjaro Tanzagiza.
Kuna yale maandamano yalionadiwa sana kwenye page hii ya Kumpinga mkuu wa Kwaya kuingia USA. Lengo langu si kuwakosoa walitupasha habari zile ila nikutaka kufahamu nini kimejiri huko Marekani.
Kuna baadhi ya hint nimezipata kutoka kwa watu mbalimbali lkn naomba nithibitihibitishiwe mimi pamoja na watanzania wengine tunaoangamia kwa kunyimwa maarifa.
1. eti walitoka watanzania 250 wakaandamana
2. Habari hiyo ikanyimwa coverege na Media zetu za kibongo
3. Nimezoea kumuona Mkuu wa Kaya akiwa Abroad kwenye misafara kutoka air port lakini kwenye dicota nilimuona ukumbini akiimbiwa wimbo wa Taifa na watoto.

Wenzetu please mnaojua kilichotokea tuambieni na picha mtuwekee. Kiasi fulani itasaidia kuhamasisha na wabongo wengine waliopo abroad wafanye hivyo.
 
Mkuu tembelea kwenye Jamii Photos kuna thread moja inamwonyesha JK na Membe wakisalimiana na BEKI tatu wa Hosteli waliofikia picha inaacha maswali mengi. Kwa hiyo unaweza kuendelea kwa wakati wako mkuu
 
Ukianza kumchuna ng'ombe lazima umalize na mkia. Thread kibao zilimwagwa humo JF kwamba kuna watu eti wenye uchungu na Tanzania wamejipanga kumdhalilisha Rais Kikwete akifika Washington DC kwa kuwa ameshindwa kutawala nchi, nikawa mmoja wa wapingaji wa thread hizo na kuthubutu kusema haiwezekani. Sasa suala hilo liliishaje?
 
Nawashangaa mnaobisha mishahara mpaka jana mzigo ulikua bilabila halafu mijitu mingine inabisha,hivi mnatumwa kupinga kila kitu humu ndani wakati watu mambo hayajakaa sawa? Acheni Uzoba nyie kuitetea serikali hii legelege
Mkuu hao walio pokea wanalipwa na chama tawala
 
Ukianza kumchuna ng'ombe lazima umalize na mkia. Thread kibao zilimwagwa humo JF kwamba kuna watu eti wenye uchungu na Tanzania wamejipanga kumdhalilisha Rais Kikwete akifika Washington DC kwa kuwa ameshindwa kutawala nchi, nikawa mmoja wa wapingaji wa thread hizo na kuthubutu kusema haiwezekani. Sasa suala hilo liliishaje?

tumechoka haya marudio. Inavyoonyesha we ni mgeni Jf.
 
inawezekana hii ndiyo kazi yako kukanusha ukweli, maana wengine mna akili ya makengeza, unataka kutuambia kuwa wahasibu mwezi huu wamekuwa wazembe kiasi hicho, acha dharau WEWE, hatujapata mishahara na wenye nyumba wanadai KODI ZAO. nimesikitika sana kuona tuna watu ambao hoja zao ni za jumla jumla kama ww I HAVE TO QUESTION UR LEVEL OF UNDERSTANDING, Na kama umesoma basi uko kwenye kundi la watu ambao wana poor analysis ya issues. Pia kama umetumwa nakupongeza kwa kuukataa ukweli

Analysis yangu ni credible, ninyi mnafanya generalization kwamba wafanyakazi wote wa serikali hawajalipwa mishahara, halafu unataja Songea na Kagera hii ndio nchio nzima? Sasa analysis ya nini ni poor kama si yako! uliza mhasibu wako akupe majibu ya mshahara wako thread haitakuapa mshahara.
 
Ulifikiri TBC Wangetangaza kilchompata Mkwer.e huko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom