Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Wakati nasoma matusi yenu limenijia wazo. Jk muda mwingi yupo tz. Wana jf wengi wapo tz. Mmeshindwa nini kuanzisha maandamano hapa? Si bora huyo aliyejaribu akiwa nje kuliko kina sie tunaomalizia hasira mitandaoni?
 
kudadadeki wabongo nouma kweli ilo tango pori, jk toka juzi usiku kawasili na anahutubia sijui hayo maandamano ni ya siku akiondoka? hakuna kitu hapa tumeingizwa choo cha kike, hata mkiwapa ban haisaidii watu washaweka $25.000 mfukoni kweni jf inawalipa? mazafaka mood futa hili li thread that is the best you can, tume kuwa blackmail tehe tehe tehe big up mwingereza

Mkuu hiyo Mazafaka uliyoiandika ni ya Mods, Mwingereza au Memba wote wa JF?
 
Wakati nasoma matusi yenu limenijia wazo. Jk muda mwingi yupo tz. Wana jf wengi wapo tz. Mmeshindwa nini kuanzisha maandamano hapa? Si bora huyo aliyejaribu akiwa nje kuliko kina sie tunaomalizia hasira mitandaoni?

usiwe na akili za makalio wewe. Kwani sisi tulimtuma akaandae maandamano?
 
Naona mnapelekwa tu kama makinda ya bada, taingia mwanzo nilisema hii ni habari ya kipuuzi, kila siku UPDATE

Hii ngoma inawezekana ilikuwa ni propaganda ya magamba! Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi, pipoz pawa ya ndani ya nchi inatosha, tuachane na mijitu inayokula dola za kufagia vyoo huko USA!
 
Siku hizi kila mtu akiwa na habari yake ya udaku anajimwaga tu JF.

Ebu angalia hii nyuzi ilivyokuwa ndefu halafu ni udaku mtupu. Ha! Ha! Ha! Ha!
 
Siku hizi kila mtu akiwa na habari yake ya udaku anajimwaga tu JF.

Ebu angalia hii nyuzi ilivyokuwa ndefu halafu ni udaku mtupu. Ha! Ha! Ha! Ha!

Ipo siku utakimbilia nje ya nchi kama Gaddaffi na watoto wake!
 
Siku hizi kila mtu akiwa na habari yake ya udaku anajimwaga tu JF.

Ebu angalia hii nyuzi ilivyokuwa ndefu halafu ni udaku mtupu. Ha! Ha! Ha! Ha!

ndo mana mi naunga mkono Mwingereza na wahuni wenzake wale ban ya milele kudhalilisha JF
 
Sijailewa kabisa habari hii. Sidhani kama ina ukweli wowote. Bado natafakari
 
Hii ngoma inawezekana ilikuwa ni propaganda ya magamba! Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi, pipoz pawa ya ndani ya nchi inatosha, tuachane na mijitu inayokula dola za kufagia vyoo huko USA!
wale waliotuma maoni yao kwa kutumia Email addresses zao ndiyo wameingizwa mjini kwani kwa hakika hawa jamaa watumia hackers kuzifuatilia na wajue who is the ring leaders wa baadhi ya watu waliomo humu ndani.

mimi binafsi tangu mwanzo niliona ni upuuzi na mbinu ya Magamba kuleta mhemko kwa baadhi ya watu waache kujadili mustakbali wa maisha yao waingie kwenye ujinga wa kusubiri nini kitatokea kwenye maandamano ambayo yalikufa kabla ya kuanza. Kwa sababu kama hao waliotaka kuandamana walikuwa na nia hiyo kweli ni kwa nini walificha majina yao halisi ili watu waliotaka kuandamana kuwasiliana nao kirahisi badala yake wakawa wanajificha kwenye majina bandia ya mtandaoni. Sasa muingereza ni nani. Churchill?
 
Siku hizi kila mtu akiwa na habari yake ya udaku anajimwaga tu JF.

Ebu angalia hii nyuzi ilivyokuwa ndefu halafu ni udaku mtupu. Ha! Ha! Ha! Ha!

huyu jamaa alikuwa msanii mkuu tulisema toka mwanzo wa hii thread wakaja kina saigon wakatubeza... alafu mwanzo huyu mwingereza alikuwa akiwapinga CCM pamoja na JK.. nashangaa ati ame update akisema yeye ni mwana UVCCM ....&*% huyu jamaa ni magwanda baada ya kuchemka sasa anataka kuchafua jina la UVCCM! ...
 
Ha! Ha! Ha! Mkuu Njiwa kumbe unakumbuka tulivyokuwa tunashambuliwa na Pro-CDM
 
Hamna cha maandamano wala nini,wote wabeba boksi tu muende kuandamana halafu boksi mtamuachia nani?mkifukuzwa vibarua vyenu nani atawapa kazi?wote wanafiki tu ninyi mpo marekani maisha ya mTZ wa igunga hamyajui acheni kutuvuruga akili
 
usiwe na akili za makalio wewe. Kwani sisi tulimtuma akaandae maandamano?
Kama aliandaa maandamano kwa mujibu wa ama ufadhili wa UVCCM,basi angetueleza toka mwanzo na tungejuwa the real deal.Sasa yeye andai wamepewa pesa na ufadhili wa UVCCM dhidi ya JK wapi na wapi.Hii update ya yeye kuwa UVCCM angeitoa toka awali.Mpuuzi huyu alitaka kuingiza watu choo cha kike.Inawezekana ni maslahi binafsi.Nili sapoti idea however kulikuwa na plenty of dobtful flaws.I simply doubted their resolve.Na pia huyo Mwingereza kadri muda ulivyokwenda alionekana hayupo stable.Na kadri alivyokuwa aki tu update,mashaka yaliongezeka.You could see the guy was looking for the way out of it.
 
Hamna cha maandamano wala nini,wote wabeba boksi tu muende kuandamana halafu boksi mtamuachia nani?mkifukuzwa vibarua vyenu nani atawapa kazi?wote wanafiki tu ninyi mpo marekani maisha ya mTZ wa igunga hamyajui acheni kutuvuruga akili
Acha upumbavu wa kugeneralise wewe!Si kila mtu anabeba boks we kinda.Nyamaza kama hujui,ama uliza.Si kila aliyeko marekani ni wafanya vibarua.Pambaf sana.
 
ndo mana mi naunga mkono Mwingereza na wahuni wenzake wale ban ya milele kudhalilisha JF
Hawajaidhalilisha JF bali wamejidhalilisha wao wenyewe.Fuatilia kanuni za JF na mwongozo utajua namaanisha kitu gani.They will be responsible na siyo mimi ama wewe ama Invisible.Ametoa tangazo kuwa kutakuwepo maandamano.Hayakuwepo.Maybe walihongwa.Sasa JF imedhalilishwa kivipi hapo?Think my friend...Think.Matatizo mengi sana tutayatatua kama tukifikiri a little bit more.Yani i mean kama ungejishughulisha kidogo tu kufikiri,basi nisingekuwa na haja ya kuandika haya.Wala wewe usingekuwa na haja ya kubadika hayo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom