Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,633
- 6,229
Mnashangaa nini? Si mliambiwa kuwa wanaandaa UVCCM?
Yaani UVCCM wampinge Mwenyekiti wao kwa kisa kuwa wapo USA?
Subirini BAVICHA wakifanya maandamano USA ndiyo mtaona watu wanatafutana.
Wameshavuta Milioni zao na sasa wataanza kutanua na ma VX6.
Hongera UVCCM USA kwa kuwa wabunifu. Walau walizoiba na nyie mmechukua chenu. Hongera sana.