VIKWAZO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 1,900
- 581
by Mwingereza
UPDATE:
Wana Jamii Forums. Kwanza tunanaombeni radhi kwa kuwaangusheni. Mpango mzima ulisukwa Tanzania. Wafadhili wetu wapo Tanzania na wachache nchini marekani. Hatuhusiani na CHADEMA kama wengine wanavyofikiria. Sisi ni Wana CCM waliochishwa na ufisadi wa Kikwete. Sisi ni Wana UVCCM ila waandamanaji ni watanzania ambao hawakuonysha itikadi zao za kisiasa. Ukweli ni kwamba, tumekuwa tukifuatiliwa kwa muda na watu wasiofahamika. Tulikuwa na makundi matatu, sasa jana baada ya Kufika Washington DC kutoka majimbo tofauti tofauti, tulikaa hoteli tatu tofauti. Punde wakatokea watu waliojifanya ni wenzetu wakisema kwamba, wamepata taarifa kwamba Mh. Rais angekuja siku ya Jumamosi.
Cha ajabu ni kwamba, viongozi wote wa msafara walipewa hela nyingi sana ambazo chanzo chake hazieleweki. Kati ya watu 106 waliofika na mabasi, kila mmoja alipokea siyo chini ya $25,000. Viongozi inasemekana walipewa hela nyingi sana. Haikuchukua muda mrefu tukawa tunaambiwa na viongozi wenzetu kwamba tutapelekwa sehemu tofauti tofauti kula chakula cha jioni. Kumbe muda huo ndio JK alikuwa anafika ukumbuni. Nilipopigiwa simu kutoka ukumbuni kwamba JK kafika, kuwakusanya kila mshiriki ikawa ni shida. Usiku tulipokutana ndo ukweli unafahamika. Kila mshiriki akaanza kushangaa ni kwa nini waligawiwa hela? Hakuna aliyetambua kwamba hawa walikuwa ni watu wa kikwete
Waliogawa hela muda huo walishatokomea. Hawa ni Watanzania wenzetu. Wadada wawili na Wanaume watatu ambao walijitambulisha kwamba wamepewa hela na mfadhili na mmoja wa wafadhili wetu ili kujikimu tukiwa Washington DC. Kwa hiyo hivi ndo mambo yalivyokuwa Jana. Wala msihofu, mapambano bado yanaendelea. Vita vinarudi Tanzania. Kikwete awaelezee watanzania kwamba hizo dola millioni tatu walizowanga wenzetu kiujanja zimetoka wapi?
Mwingereza
mkuu kwanza naomba niseme wazi kwamba wewe ni hatari kuliko huyu
unaye mpinga, hadithi yako ni ya mama na mwana, ina maana ukujua ni nani wafadhili wenu? wewe hukupata huo mgao?
kwa nini hukupata? hizo hela zilikuja kwenye mabox au masanduku? hapa jamii forum ulikuja kulisemea kundi husilo na control nalo kwa maana gani? una watafutia UVCCM popularity sio
mkuu hiyo ni USA uwezi kuwa na CASH yote hiyo,
Wewe ni SCAM na FRAUD una maana katika jamii na ulaaniwe wewe na kizazi chako
kwa upeo wa JK atakuwa ameusika na huu mchezo moja kwa moja hakukuwa na maandamano wa nini,
hii ni pima upepo ya JK lakini mwitikio ya shauku ya watu kutaka hayo maandamano yatokee ni salamu tosha kwa
jk na walamba kodi wenzake popote walipo,
ukombozi wa kidemocrasia utaletwa na watanzania wenyewe bila kupotoshwa na vibaraka na walafi