BREAKING NEWS:

DIKTETA GADAFI ANAANGUKA. BADO KIKWETE, MUSEVENI PAMOJA NA MUGABE. NDUGU ZANGU, HATUNA PLATFORM YA KUANDALIA MAANDAMANO YETU ISIPOKUWA UKURASA MMOJA WA FACEBOOK. TUNAWAOMBENI MSAMBAZE HUU UKURASA KWA KILA MTU, ILI TUJIPANGE VIZURI DHIDI YA HUYU DIKTETA NA MWANAYE RIDHIWANI FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE TUNAOMBA MJIUNGE NA TUSAMBAZE HABARI KWA TANZANIA WOTE

MWANAHARAKATI MCHEZA SINEMA WA KIMAREKANI ATAHUTUBIA, IMETHIBITISHWA....JINA PUNDE

WATU 2117 WAMETUMA MAOMBO KUSHIRIKI.TUMENI BARUA BARUA PEPE KWA WINGI KUWEKA PINGAMIZI KUHUSU SAFARI ZA KIKWETE KWENDA MAREKANI. BARUA ZOTE ZITUMWE KWENDA wiegertjr@state.gov HUU NI USHAURI KUTOKA KWA WAHUSIKA. ATAZUILIWA ISIPOKUWA TU KUHUDHURIA UN SESSIONS. WENYE FACEBOOK, WAANDIKE PINGAMIZI ZAO KWA KIINGEREZA KWENYE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com

Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.

1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...) 2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)

3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)

Tukielekea mwisho wa mwezi huu, tutawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu"maalum" kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini , hoteli atakayofikia FISADI Kikwete na kumalizikia STATE DEPARTMENT. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba TUMECHOKA na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo kutusaidia. Wanaotaka Kujiunga kwenye maandamano, tumeni barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com. Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda wiegertjr@state.gov Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.

TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE

SERIKALI YA TANZANIA KUPITIA WATU WASIOFAHAMIKA, WAMEANZA KUTUTOLEA VITISHO PAMOJA KUJARIBU KUTUHONGA WAANDAAJI $3MILLION KUZIMA ZOEZI ZIMA LA MAANDAMANO. JIBU LETU NI KWAMBA, HATUWEZI KUUZA HUTU WETU NA UBINADAMU WETU. HIZO HELA WAPELEKE KWENYE MAHOSPITALI SIYO KUTUHONGA SISI. WAKAWAONGE WATANZANIA MILLIONI 40 WANAOKUFA NA NJAA SIYO SISI. MAANDAMANO LAZIMA, NA RAIS KIKWETE AJITAYARISHE. TUNAKUTANA NAYE MARRIOT WASHINGTON DULLES AIPORT NA HOTELINI KWAKE. TUMESHAJITAYARISHA