Nani wakuandamana Washington DC, wadanganye Pro-CDM wenzako hivi unadhani utufahamu mnavyoishi huku Marekani!
Kuhusu Marekani, UK, unidanganyi kitu, 85% ya Watanzania wanaokaa Marekani ni Overstay halafu ni unlegal hawana makaratasi, wengine wamefiwa na baba zao mama za Tanzania wameshindwa kuja kuzika kama wakija hawawezi kurudi tena Marekani serikali ya Marekani haiwatambui wanaishi kama kwale tu huku Marekani halafu leo unatauambia eti wajitokeze kwenye maandamano thubutu!
Halafu tuambie Washington DC ni kubwa hayo maandamano yanaanzia wapi?
Shule ya Sekondari kila kata, nambie ni Rais yupi aliyefanya hayo kabla yake?
Na hilo limeshapatiwa ufumbuzi, hakuna wakati tuna vyuo vya waalim wingi kama huu wa Kikwete hao wa kabla yake kuanzia kwa nyerere walikuwa wapi? wamelala? zaidi ya vyuo vya walimu, ni juzi tu amesaini mkataba wa kutufungia mtandao shule zote. mwalim mmoja tu Dar anafundisha watoto mamillioni au hujui hilo? Siku hizi kuna watu hata darasani hawaendi, wanakula vitu kwenye mtandao tu, na JK kisha liona hilo na kisha saini. Uko wapi weyee?
Huyo ndio popo wetu hapa JF, sio ndege na wala si mnyama.Mkuu Mbona kama huko kwenye Bold unaonekana upo Bongo na Marekani at the same time! Eb kuwa Speicific.
Nayaona mema anayoyafanya nambie idadi ya mashule wakati, ni rais yupi aliyefanya namna hiyo? idadi ya viwanda, kwa muda wake tayari zaidi ya viwanda 160 vipyaaaaaaaa kati ya 500 na zaidi vinavyojengwa kwa muda huu wake mfupi tu. Mbona hamuyasemi? Mkonga wa mawasiliano wa kisasa kabisa, Tanzania nzima unatandazwa, miko 18 na wilaya zake 56 tayari unatumika.
Juzi tumeona akizindua Swahili version ya windows 7 na mashule kibao kuanza kufundishwa kwa mtandao, nyie pigeni kelele hakuna walim mwenzenu anahakikisha waalim best wanafundisha kwa mtandao, waalim wataokuwepo shule ni skeleton tu kuhakikisha nidham na mambo ya utawala, uko wapi wewe? halafu kwa yote hayo bado nisiwe na maslahi nae binafsi? unanchekesha.

Wewe uanfikiri maisha bora utaletewa kitandani? fanya kazi kijana, jitume. Ni nani aliyokuzuia kufanya mambo chungu nzima Tanzania.

Hivi hao wooote wanaopanda maisha yao kila siku huwa yanakuja tu kama ndoto vile? unanchekesha kweli kweli. Hivi ni nini unachoweza kufanya cha kukuingizia kipato Tanzania hii ukashindwa kukifanya au ukazuiwa usifanye?

Tanzania hii na fursa zilizokuwepo, kama unabaki kuwa maskini wa kulalamika basi ama wewe ni mvivu kuoita kiasi au ni mjinga kupita kiasi, au una matatizo ya kichwa.

Mie (house girl wangu) ka save mshahara wake mpaka kaenda kununua pikipiki, sasa hivi anataka kuongeza nyingine, inamuingizia kila wiki 50,000 na huku anafanya kazi yake. Anasema zikifika tatu tu nimruhusu aache kazi. na mimi nimemwambia Mungu akusaidie na akuzidishie.

Sasa leo wewe mwanamme mzima unajuwa kuingia hata JF unalalamika maisha bora? unanshangaza sana. Ndio maana Kikwete akasema hata hajui kwa nini Watanzania ni maskini. Kweli kitu cha kushangaza, fursa zote ziliopo. Bora nianze kuwapa darsa ya kuondokana maisha duni na niwaongoze namna ya kuingia kwenye maisha bora..
BREAKING NEWS: SERIKALI YA TANZANIA KUPITIA WATU WASIOFAHAMIKA, WAMEANZA KUTUTOLEA VITISHO PAMOJA KUJARIBU KUTUHONGA WAANDAAJI $3MILLION KUZIMA ZOEZI ZIMA LA MAANDAMANO. JIBU LETU NI KWAMBA, HATUWEZI KUUZA HUTU WETU NA UBINADAMU WETU. HIZO HELA WAPELEKE KWENYE MAHOSPITALI SIYO KUTUHONGA SISI. WAKAWAONGE WATANZANIA MILLIONI 40 WANAOKUFA NA NJAA SIYO SISI. MAANDAMANO LAZIMA, NA RAIS KIKWETE AJITAYARISHE. TUNAKUTANA NAYE MARRIOT WASHINGTON DULLES AIPORT NA HOTELINI KWAKE. TUMESHAJITAYARISHA
MWANAHARAKATI MCHEZA SINEMA WA KIMAREKANI ATAHUTUBIA, IMETHIBITISHWA....JINA PUNDE
WATU 2117 WAMETUMA MAOMBO KUSHIRIKI.TUMENI BARUA BARUA PEPE KWA WINGI KUWEKA PINGAMIZI KUHUSU SAFARI ZA KIKWETE KWENDA MAREKANI. BARUA ZOTE ZITUMWE KWENDA wiegertjr@state.gov HUU NI USHAURI KUTOKA KWA WAHUSIKA. ATAZUILIWA ISIPOKUWA TU KUHUDHURIA UN SESSIONS. WENYE FACEBOOK, WAANDIKE PINGAMIZI ZAO KWA KIINGEREZA KWENYE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
**************************************************************************************Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com
Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi
Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.
1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...) 2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)
Tukielekea mwisho wa mwezi huu, tutawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu"maalum" kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini , hoteli atakayofikia FISADI Kikwete na kumalizikia STATE DEPARTMENT. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba TUMECHOKA na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo kutusaidia. Wanaotaka Kujiunga kwenye maandamano, tumeni barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com. Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda wiegertjr@state.gov Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.
TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE
Umeona eeeeh! Wadanganyika wengi wazito sana kuelewa vitu!..Quote (Mkandara "sijui kama ni kampeni against JK au kweli UVCCM wamepania kufanya mabadiliko kwa manufaa ya wananchi au ya chama..)
Mkuu nimekuelewa na ninashukuru kwa info. Hapo juu kwenye red na mimi napata wasiwasi pia however, ni vizuri kama UVCCM wameona kuna tatizo. Ndani ya UVCCM sio tu kunampambano wa mambo ya ufisadi lakini kuna underground class war (watoto wa vigogo against others), udini, ukabila etc. In short everyone is targeting the "prize" for different purpose. I should also say hivi vyama vya siasa sivielewagi sometimes for one reason: mtu anaweza kuona makosa asiseme kitu, lakini siku akiwa na ugomvi binafsi ataibua yote mabaya aliyoyaona. JK anapata upinzani mkali sio tu kwa wananchi wakawaida wanaopenda maendeleo but also kwa vigogo wenzie wa CCM ambao hawakubaliani na uongozi wake. Wengi hawawezi ku-mface kwenye vikao nakumpa ukweli; but wana influence kubwa behind the scene. Siwafahamu kwa karibu organizers wa hayo maandamano, lakini naelewa wako wana CCM wasioridhika na utendaji wa Kikwete watakaohudhuria na wasio wana CCM. So for that; I say let them express their frustration. Nafikiri wakielekeza ujumbe towards Kikwete utabeba uzito lakini wakimtaja Riz 1, issue itasomeka kisiasa zaidi kwasababu; legally Riz 1 wananchi hawajamkabidhi majukumu yeyote kwenye serikali (my views). Although E. Mallya ametamka wazi yeye ni UVCCM, baadhi ya watu watakaoudhuria hawataki kuji-associate/hawaja commit kwenye chama chochote. I agree our ship is sinking na probably watakaopona ni wale wenye plan B.
Wewe ndio siyo mtanzania! wewe mpuuzi nini?! umeona risasi na virungi vya ?@@!$*&& wenzako haviwezi kuzuia hii movement sasa unaamua kujisaidia tuu barabarani???!!!Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa
Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.
Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?
kama kuna overstay walishapewa makaratasi unajingine? na kwa uk sheria zake? hakuna overstay ya milele mkuu kuna miaka ikifika unatambuliwa kama raia hata kama uli overstay,Nani wakuandamana Washington DC, wadanganye Pro-CDM wenzako hivi unadhani utufahamu mnavyoishi huku Marekani!
Kuhusu Marekani, UK, unidanganyi kitu, 85% ya Watanzania wanaokaa Marekani ni Overstay halafu ni unlegal hawana makaratasi, wengine wamefiwa na baba zao mama za Tanzania wameshindwa kuja kuzika kama wakija hawawezi kurudi tena Marekani serikali ya Marekani haiwatambui wanaishi kama kwale tu huku Marekani halafu leo unatauambia eti wajitokeze kwenye maandamano thubutu!
Halafu tuambie Washington DC ni kubwa hayo maandamano yanaanzia wapi?
Ukiwa muongo rahisi sana kuumbuka!Mkuu Mbona kama huko kwenye Bold unaonekana upo Bongo na Marekani at the same time! Eb kuwa Speicific.