Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Udini na Ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga Kikwete ni nini? zaidi ya dini yake?
kwahiyo hapa unamaanisha hata kama mtu ni shoga wewe utamtetea kwa sababu ni muislamu? jamani kweli shule ni jambo muhimu.
 
Udini na Ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga Kikwete ni nini? zaidi ya dini yake?
<br />
<br />
Kwani maandamano ya USA ni kwaajili ya dini ya JK au ufukara na ugumu wa maisha?Hebu nioneshe kwenye thread mahali popote penye neno dini!
 
udini na ukabila ndio unaoongelewa humu kila siku, nipeni sababu moja nzuri ya kumpinga kikwete ni nini? Zaidi ya dini yake?

nazani una akili za kudown load wewe. Kikwete hapingwi kwa dini yake wala kabira lake. Wewe huyaoni matatizo yanyo ikabili nchi? Wewe ni kipofu?
- ufisadi uda
- wanyama pori kutoroshewa nje ya nchi huoni?
- wananchi kuuwawa kwenye migodi ya dhadabu huoni?
- wananchi kunyang'anywa aridhi yao na kuwapa wazungu huoni?
- ishu ya mafuta huoni? Wala kusikia?
- ghalama za maisha kupanda au wewe unaneemeka na hela za magamba?
- ajira watu wanapeana kiundugu, siku hizi ni vi memo tu ndo vinafanya kazi hayo huyajui?
- wafanya biashara wadogo kunywnyaswa na watawala huyaoni hayo?
- matumizi makubwa ya watawala, magari ya kifahari v8, posho kubwa, kusafiri kila kukicha kwenda ughaibuni huyaoni hayo?

niambie hapo udini na ukabila wa mheshimiwa unaingiaje?
 
Safi sana labda watanzania tutabadilika na kujua kudai nini tunataka kwa gharama yoyote.
 
wekeni pia bango linalosema. 'Misaada kwa tz basi. itumie rasilimali zake kwa ufasaha'
 
  • Thanks
Reactions: FJM
wewe malizia unangoja nini? Si mlianza arusha, au umesahau?

shukuruni watanzania ni wapole sana na ndo maana j k na rafiki zake wanagawana nchi kimya kimya tu. Wewe imegine wazungu wanapewa ekari 800000. Je watanzania hawazai tena? Hawaongezeki tena?

Huu ujinga utaupata tanzania peke yake na c kwingine.
 
JK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa.

Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.
Ili shairi lako litamvutia mtoto wa chekechea. Kama JK anafanya kazi kwa bidii kwa nini baadhi ya watu wanampinga??? kama unahisi sababu ni udini Je Mwinyi alikua mkristo that why hakupingwa??? Pole kwa swaumu.
 
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Naomba hiyo kwenye nyekundu tuwekee list ya mnaopanga hayo maandamano.
 
Kupinga Kikwete na kutokuona anayoyafanya, ni udini wa waziwazi wala haupingiki.

Niambie ni Rais gani aliyetengeneza Kilomita 11,300 za barabara za lami tokea mkolonni, nyerere, mwinyi na mkapa?
Sijakuelewa hapo kwenye red... Do you know kwamba JK hakupata kura 100%...?? Do you know kwamba ni rais pekee toka CCM aliyewahi kupata kura ndogo kuliko wote...??? Do you know kwamba unapopata kura less than 100% then obvious kuna watu wanakupinga...??? JK asipingwe kwa mazuri yepi..??? NI UFINYU WA MAWAZO KUDHANI KUWA KUMPINGA JK NI UDINI............
 
Ili shairi lako litamvutia mtoto wa chekechea. Kama JK anafanya kazi kwa bidii kwa nini baadhi ya watu wanampinga??? kama unahisi sababu ni udini Je Mwinyi alikua mkristo that why hakupingwa??? Pole kwa swaumu.

JK alipingwa na Waislaam wa kweli wegi sana.

Mwinyi, umesahau kibao alichonaswa Diamond?
 
Ushauri wangu kwa FF wakati wanaandamana hawa unaowaita wakristo USA, basi panga wanaopinga maandamano haya kwa hoja (kama unazo)..usiharibu thread ya watu

mix with yours
 
Achaneni na huyu bi kizee FF zake zimekwisha, hebu tuzungumzie issue iliyopo mbele yetu, huyu anatumwa kuvuruga mijadala yenye tija kwa taifa letu. Mkizidi kumjibu anapata bichwa.

Moja ya mabongo lisomeke "JK kama nchi imekushinda kuwa muungwana achia kazi, singizia chochote hata afya (ingawa hapa husingizii), tutakusamehe"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom