Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Inatia moyo sana tunapopinga ufisadi kwa vitendo na sio maneno. Huyu chekibobu wetu uswahiba unamsumbua sana,anashindwa kuwawajibisha mafisadi kwakuwa ni maswahiba wake. Mkwele bana, muumbueni ili aache uvasco da gama wake.

kama kwenda kufanya kazi Marekani ni kwenda kunufaisha mataifa ya nje basi mwambie JK awarudishe nyumbani Asha Rose Migiro na Mwanaidi Maajar. hawa ni kwa uchache tu orodha ni kubwa.
Nakushauri uamie jukwaa la jokes + utani kule ndio hadhi yako, hapa unapwaya mno si jukwaa la watu wenye akili Half glass empty.
Wewe hujui kufanya kazi huko ni kunufaisha nchi ya nje? Kwa nini Marekani ina-hire wataalamu wakafanye kazi nchini kwao?
Wazalendo wa kweli hawakimbii nchi zao! Kama muna uchungu na nchi hii rudini sio munataka kuleta UBISHOO huko!

Kama hunijui vizuri..nenda kaangalie profile yangu! Nadhani unanifananisha na JF handle yako ya pili!

Na hawa mafisadi kitu cha kuwafanyia siku ya siku ni kuwadhalilisha kama Mubarack wa misiri.

Ndugu yangu nimekaa sana DC kwa takriban miaka miwili na Watanzania wengi utawapata mitaa ya Silver spring. hakuna kitu cha namna hiyo ila ni propaganda tu.
Mimi sio ndugu yako. Uwe umekaa DC au umekaa Chalinze hainihusu. Hata wakiwa waandamanaji wawili pia ni maandamano. Usinifundishe uoga.

Wenzenu wameanza kupora vitu madukani usiku huko Londo! Isije ikawa munatafuta gear tu ya kufanya uhalifu!

For the first time now I can see Diasporas making sense towards ukombozi wa kweli wa Nchi yetu
unamaanisha nini? yaani hao diaspora wamemualika JK ili wakamuandamanie? Poor understanding my be Chekechea school?

Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?

Assume unachosema ni kweli na attributable to JK. Hatufanyi mema ili tu-justify mabaya. Kwa hiyo tukae kimya kwa sababu tu barabara zimejengwa ilhali hatuna umeme, hatuna maji, hatuna hata petroli, wezi wanafumbiwa macho n.k? Mumeo akikupa kila unachohitaji hapo kwako, hivyo utanyamaza akiwa na nyumba ndogo nje?

kweli wtz tumechoka na amani iliyoko
Tanzania kuna amani hebu tembea mtaani uhesabu watu wangapi wanatabasamu ndio utajua hakuna amani nchi hii. Amani maana yake sio kutokuwa na vita Nish. There is a lot of unseen wars among Tanzanians hujui tu.

Ndio walewael, ukiwauliza kuhusu maendeleo hawataki kuyataja.

Kafanyeni na maandamano kuonesha, mashule yaliyoongezeka, makliniki yaliyoongezeka, ma universirty yaliyoongezeka, mabarabara yaliyoongezeka, kilimo kilichoongezeka, demokrasia iliyoongezeka. Mbona hayo hamuyasemi?

.....Na dizeli/petroli/mafuta ya taa bwerere huku bei ya bidhaa hiyo ikiwa ni senti chache tu kutoka sifuri, na wananchi wakikaidi kutumia nishati hizo....eti wanataka magari yatumiayo umeme.

JK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa.

Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.

Kwa maneno haya tu ni wazi kuwa funga huna mtoto weee. Siye tuko Tanga huku njaa tupu then unasema tanga maisha yanaboreshwa!!!!???

JK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa. Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.
A blatant lie

kila la heri kaka, huku Tanzania tutahamasisha watu kutuma emails nyingi jamaa anyimwe viza.

None but ourselves can free our country,i'm not fear for mabomu ya machozi or polisi/jeshi coz none of them can stop us!We got something the cant never take away and that is our ability!!

Go ahead, do it for redeeming our land, our natural resources, our wealth and the miserable population of Tanzania. Remember that the Freedom is coming tomorrow.

Dhima ya maandamo iwe "KIKWETE AJIUZULU" Tutambembeleza mpaka lini kuwashughulikia mafisadi miaka 5 sasa na amegoma ni muda wa Kikwete kuondoka sasa...!

Naunga mkono hoja ila nashauri WATANZANIA TUISHIO TANZANIA KWA PAMOJA TUANDAE MAANDAMANO KUPINGA UONGOZ MBOVU WA KIKWETE NA SERIKALI YAKE

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom