Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
afadhali kuwa na robot ikawa programmed kule Magogoni kuliko kuwa na this joker/JK who has no clue on how to lead this country

Acha akili mgando wewe bongolala. Nyie ndio mnaorudisha nchii hii nyuma kutokana na kuwa na lack of critical thinking. Fisadi ni fisadi tu awe Kikwete, Zitto awe Slaa. Kama fisadi ni fisadi tu.

Mbona hujibu kwa hoja? Kwanini Symbion haipigiwi kelele kama Dowans? Mitambo ile ile tofauti ni ....unaijua

WAKATI MALAWI WAPEPIGA MARUFUKU FOREGN TRIP ZOTE KWA VIONGOZI WA UMA HUKU KWETU NAONA CHRSTOPHER COLUMBA ANAZIDI KUSPEND.

KAMA VIPI TULIANZISHE KAMA MALAW.

WAINGEREZA NDO WAINGEREZA WAMELIANZISHA CC TUNASHINDWA NINI?

Tutaendelea kubadilisha mifano tu, watendaji wapo wapi?! Mara kama Tunisi, kama Misri, Egyp na sasa Malawi. Tuendelee kulalamika tu, kumtoa Kikwete ni kwa mujibu wa katiba tu, mpaka 2015...

Haya ni maandamano ya Kidini, na yamedhaminiwa na Washirika wakubwa wa hiyo dini ya Kikiristo.

Wakristo majina tu hao. Huijui vizuri Marekani.
labda ungejipanga ukaja na hoja ya maana ningekuelewa, mimi siwezi kufanya argument na mtu wa viwango vya madrasa, naona natumia muda wangu unnecessary. best option ni kukuignore. Takbiiiiir!

Haya ni maandamano ya Kidini, na yamedhaminiwa na Washirika wakubwa wa hiyo dini ya Kikiristo.
whatever, dude!
Mkwer-e ni mzigo wa Tanzania na anafaa kuwa mkuu wa wilaya tu na sio nchi. Mwinyi alikuwa rais lakini hakufanya madudu kama huyu mjinga wetu mwenye kuwaza safari kila kukicha na kutuachia giza

Sababu za maandamano.
1. Mauaji ya watu wa nyamango na sehemu za migodi zinazofanywa na makampuni kama barricks zikilindwa na serikali.
2. Miakataba mibovu inayowafanya watanzania masikini na watumwa
3. Ufisadi unaofumbiwa machao na serikali kama meremeta, kagoda, deep green,
4. Viongozi wala rushwa na watoa rushwa kama Jairo na wizara ya nishati na madini.
5. JK kutumia fedha nyingi za wananchi kusafiri bila tija huku taifa linaangamia.
6. Matumizi makubwa ya serikali.
7. Katiba mpya itakayomwajibisha Raisi na wanasiasa
8. Wizi wa kura na matumizi mabaya ya polisi.
9. Haki za binadamu zinavunjwa kwa kutumia jeshi la polisi kuuwa raia wasio na hatia
10. Utawala wa kulindana.
11. Utawala wa kuwatajirisha watoto na ndugu wa viongozi kwa kuiba kodi za watanzania.
12. Uadilifu kufa kwenye tawala zetu
13. etc, etc, etc, etc

Tanzania imegeuka kuwa TANZAGIZA kwaajili ya huyu m-kwere ambaye haweziongoza hata Mkoa sembuse nchi. Baada ya term yake labda akimbie lakini akibaki bongo basi atajikuta mahakamani ndani ya box kama Hosni Mubarak

I hope this Mkwe-re rots in hell someday kwa mateso anayotusababishia

Hao wanaojificha chini ya mwamvuli wa kidini tutawafuata huko huko. Inawezekana tukisha wawajibisha hawa mafisadi na hii topic ya udini itapotea since hii topic huwa inaibuka interest zao zikiguswa. Hii ajenda niyakutufanya tupotezee malengo muhimu; but it is unfortunate wamechelewa kuileta, imekuja kipindi ambacho most Tanzanians wan-astruggle in every aspect i.e. kielimu, kiuchumi etc. Because of that, we careless what/who/where one worships as long as they can get us what we have been deprived of for years.

Udini ndiyo unaoisumbua TZ. Haya maandamano hayakufanyika wakati Mkapa alipokuwa anaibia nchi, watu walikaa kimya. Huu ni Ubaguzi mkubwa kwa JK, kwa sababu tu ni Muislamu.

Udini ndiyo unaoisumbua TZ. Haya maandamano hayakufanyika wakati Mkapa alipokuwa anaibia nchi, watu walikaa kimya. Huu ni Ubaguzi mkubwa kwa JK, kwa sababu tu ni Muislamu.
Udini unakusumbua wewe. Mwinyi alikuwa raisi wetu na alikuwa poa. WEWE NDIE MDINI

Hao wanaojificha chini ya mwamvuli wa kidini tutawafuata huko huko. Inawezekana tukisha wawajibisha hawa mafisadi na hii topic ya udini itapotea since hii topic huwa inaibuka interest zao zikiguswa. Hii ajenda niyakutufanya tupotezee malengo muhimu; but it is unfortunate wamechelewa kuileta, imekuja kipindi ambacho most Tanzanians wan-astruggle in every aspect i.e. kielimu, kiuchumi etc. Because of that, we careless what/who/where one worships as long as they can get what they have been deprived of for years.

Matatizo ya nchi hayasababishwi na Rais, bali na viongozi wengine kama Waziri Mkuu, Bunge, nk. Huu ni mpango maalum wa Ubaguzi wa Kidini uliopo TZ, na umepngwa kwa kila Rais ambaye ni Muislamu.

Udini unakusumbua wewe. Mwinyi alikuwa raisi wetu na alikuwa poa. WEWE NDIE MDINI

Hapa JF, Rais wanaosifiwa ni Nyerere na Mkapa, why? Huo si Udini. Wafuasi wengi wa CDM ni watu wenye muelekeo na view zaidi ktk Christians Fundamentalists. Na hao hao ndiyo wanaondaa haya maandamano.

Hapa JF, Rais wanaosifiwa ni Nyerere na Mkapa, why? Huo si Udini. Wafuasi wengi wa CDM ni watu wenye muelekeo na view zaidi ktk Christians Fundamentalists. Na hao hao ndiyo wanaondaa haya maandamano.
Mwinyi alikuwa poa. Mkapa mmmnnhh may be term ya kwanza lakini ya pili alikuwa kama Mkwe.re. Ila kuwalinganisha kati ya Ben na Mk.were. Heri Ben mara 1 million kuliko huyu mjinga JK

mawazo ya omba-omba kama mjomba wako jk. no creativity, no innovation...all you think with your uncle is pleasing wazungu so that you continue begging.

ukweli hakuna la maana mjomba wako kafanya na kama utaendelea kumtetea utaniponza nipigwe ban.

Wanaowasujudu wazungu kwa hili ni hao "uvccm" wa marekani pamoja na wewe unayewaunga mkono...

Mwinyi alikuwa poa. Mkapa mmmnnhh may be term ya kwanza lakini ya pili alikuwa kama Mkwe.re. Ila kuwalinganisha kati ya Ben na Mk.were. Heri Ben mara 1 million kuliko huyu mjinga JK

Tatizo la nchi kuwa na Rushwa si Rais, bali linahusu viongozi wa nchi nzima. Utendaji wa kazi pia hauhusiani kabisani Rais. Rais siyo mtendaji mkuu wa Serikali. Hizo ni kazi za Waziri Mkuu na Bunge.
Tatizo kubwa la TZ ni kwamba hatuna Bunge zuri, na watendaji. Kazi ya Rais ni kuangalia maslahi ya nchi International. Huu mfumo ameufanya zaidi JK, kwa kufuata mfumo wa Marekani.

Hakuna wa kuweza kuwa-fire hao watendaji wake kwa kuwa wao ni presidential appointees. Yeye anagoja nini? Anawafagilia? Ndio maana Pinda alishindwa kum-fire Jairo na akampelekea JK report. Amefanya nini? Anawaza safari na kesho kutwa anaruka tena kwenda Namibia. Kama sio fisadi mwenyewe ni nini?

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom