Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Dada Faiza, mie nataka DUBAI YA AFRIKA TULIOAHIDIWA=Kigoma. Bila kusahau meli yetu

Kwa mara ya kwanza umeme unawaka Kigoma baada ya miaka 40, kwa mara ya kwanza Kigoma wanaunganishwa na mikoa mingine kwa barabara za lami, au hujui hilo?

Nawaza tu ni jinsi na njia gani ya kumtoa jk madarakani. Akina shimbo wameshapewa ahadi na rais za kulindiwa vijisent vyao mnadhani wataweza mgeuka?

Ataondoka muda wake ukiisha au yakimkuta mauti au maradhi lakini si kwa kupenda au kutaka kwako.

Watanzania Mlio UK, akitia pua yake huko dawa ni kuandamana kuonyesha dunia Tanzania ina shida kiuongozi, rushwa na ufisadi vinauwa taifa

Tanzania haikuanza shida na ufisadi wakati wa Kikwete, wakati wa Kikwete ndio tunaona unashughulikiwa ipaswavyo.

Tanzania haikuanza shida na ufisadi wakati wa Kikwete, wakati wa Kikwete ndio tunaona unashughulikiwa ipaswavyo.

Hebu weka list ya ufisadi wowote ambao Kikwete kaushughulikia tangu aingie madarakani.

Tanzania haikuanza shida na ufisadi wakati wa Kikwete, wakati wa Kikwete ndio tunaona unashughulikiwa ipaswavyo.

Mbona Povu la mdomo linakutoka kumtetea JK?

Kama kafanya mazuri si uache watu waseme wenyewe,wewe unataka kuwalazimisha waamini wakati ukweli wanaujua.?

Usiwe Kifuu cha Nazi.

Wanaotaka kuandamana wanajua mengi kuliko wewe.na wanazijua shida kuliko wewe,sasa usilete kiherehere chako,we peleka wanao shule za kata unazosema zipo nyingi.

Mi naona umekosa cha kufanya kafue nguo za Mr wako mana hapa hapakufai na Porojo zako.

Unajibiwa vizuri mpaka raha!
Hapa najichekea tu.
Bado una kingine cha kuuliza? Soon utaingia tu kwenye mstari!
Unajichekea kama pua yako ilivyo. Nimejibu hoja kwa hoja. Angalia hii thread vema kuliko kudandiadandia

In short tuna rais juha na mjinga ambae ni mzigo kwa Tanzania. Kikwete hakufaa kuwa hata mkuu wa wilaya. Nchi inamshinda na hana clue yoyote ya kuongoza nchi. Bora tuweke hata robot pale ikulu then iwe-programmed inaweza kuongoza kuliko huyu Mkwereee

Unajichekea kama pua yako ilivyo. Nimejibu hoja kwa hoja. Angalia hii thread vema kuliko kudandiadandia
Hahaha..umejibu hoja au umejibiwa hoja zako?
Nimeshaamini ule msemo kuwa watu wa Kigoma - UJIJI wanapenda misifa!

Hahaha..umejibu hoja au umejibiwa hoja zako?
Nimeshaamini ule msemo kuwa watu wa Kigoma - UJIJI wanapenda misifa!
Kigoma kuwa Dubai ya Africa, Kigoma kupatiwa meli,
Kigoma kuwa na international airport,
Kigoma kuwa na fly overs
Kigoma kuwa na university
Viko wapi????

Kigoma kuwa Dubai ya Africa, Kigoma kupatiwa meli,

Kigoma kuwa na international airport,

Kigoma kuwa na fly overs

Kigoma kuwa na university

Viko wapi????
Ndio kwanza miezi tisa imepita toka uchaguzi, na hii ndio budget ya kwanza baada ya uchaguzi! Subiri uone utanufaika vipi.

Duhh kumbe na wewe uko nje ya Tanzania halafu unadanganywa hakuna maendeleo unakubali? si ungetazama statistic za UN na mashirika mengine ya Kimataifa kuujuwa ukweli.
Hizo statistics zenu wakati watu wanasaga meno na kulia zinakuwa ni kichekesho

Ndio kwanza miezi tisa imepita toka uchaguzi, na hii ndio budget ya kwanza baada ya uchaguzi! Subiri uone utanufaika vipi.

Tuliambiwa tusubiri toka 2005 leo ni 2011. Enough!! Mkweree is a big joke

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom