Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Watanzania Mlio UK, akitia pua yake huko dawa ni kuandamana kuonyesha dunia Tanzania ina shida kiuongozi, rushwa na ufisadi vinauwa taifa
 
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani.

Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda
wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja

Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi
....Good start! I wish na huku bongo tungelianzisha kidogo tuwaonjeshe joto ya jiwe hawa magamba wachovu!!!....Good luck people over there!!
 
KINACHOTUTAFUNA TANZANIA HADI HIVI SASA NCHINI NI UKOSEFU WA UONGOZI
ADILIFU NA KUKOSEKANA UTAWALA BORA KIUTENDAJI

Ni ajabu na kweli kuona jinsi ambavyo watawala wanavyoenenda katika shughuli zao za kila siku. Kama mtu bado huamini tu basi hebu tu wewe mwenyewe tupe JIBU hapa jukwani.

Hebu jaribu kutufahamisha kama kweli hali halisi kama ilivyoainishwa hapo chini kweli itasaidia kukuza MASLAHI YA UMMA katika nchi hii au ni ukuta wa kuendeleza MASLAHI BINAFSI kwa kutupora sisi kama taifa:

1. Kikwete Mwenyekiti wa CCM

2. Amuagiza Kikwete Rais na Kiongozi wa Serikali

3. Kumamrisha yule Kikwete Mfanyabiashara wa mafuta pale Lake Oil akapunguze bei ya mafuta.

Ewe Mzee Wassira, kwa nini hamkuliona hili na kumshauri mkuu wa nchi; DHANA YA UTAWALA BORA sasa uko wapi hapa???

Mzee Simbeye, Wakuhenga, Warioba, Kubenea, Mjengwa na Jenerali Ulimwengu, nyinyi kama wakosoaji wa jamiiyetu hii hili hamkuliona???????

Kweli kabisa mtu ukijitwisha kofia hizi zote tatu na kujizivalia umaridi kabisa wewe mtu mmoja tu, Dr Hosea, kweli bado kunakosekana hali ya MGONGANO WA KIMASLAHI ambao hivi sasa inasababisha Watanzania tuliowengi kuwa WALAZWAHOI.

Hapana, Hapana na Hapana; hatutaki tena wala hutusikii cha mtu hapa - ulaghai na ufisadi sasa basi mwishoooo!!!! Mpaka hapa wala mtu huitaji kuwa na elimu ya hata sekondari kugundua kwa nini mambo kila siku hayaendi kwa njia nyoofu huko serikalini badala yake watu kuzunguka tu mbuyu; kumbe kuna Joka kuu katamalaki na kuenea kila kona!!!

Watanzania wenzangu, ni kati ya Kikwete yupi kati ya hao watatu atakayeweza kupata kweli ujasiri na uhalali wa kumdhibiti yule Kikwete mwingine?????

Mbona tunachezewa shere siku zote hivi nchini na bado tu watu hatuoni haya yote????????????? Je baada ya kusoma na kutafakari haya niliyoyaandika hapo juu:

1) Je, bado unayo imani na Hoja ya Dharura ya Januari Makamba kule bungeni Dodoma??

2) Je, bado unategemea kusikia kutolewa kwa agizo lolote na serikali yetu na ikazingatiwa???

3) Je, mpaka hapo bado unaamini kuwa EWURA ni chombo cha kulinda maslahi yetu Umma wa Tanzania????

4) Je, kwa hiyo hali hapo juu na ukipiga picha na kwingineko kama eneo la matatizo sugu ya maji, maliasili na umeme nchini bado tu utakua unaamini kweli kwamba Dr Hosea bado anayo meno ya kuweza kutafuna mtu au kampuni yoyote hapa nchi kwa madai ya UFISADI???????????????????

Tafakari zaidi na zaidi na mwisho ujishauri mwenyewe jinsi UTAKAVYOTUMIA HAKI YAKO YA KUPIGA KURA siku za usoni!!!!!!!!!!

Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani.

Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda
wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja
 
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani.

Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda
wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja

Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

Hivi ninyi mmekosa kazi ya kufanya!... nimetumiwa mualiko nimeukataa... sababu sioni umuhimu wa kupinga ujio wa raisi wetu...

- mwaandama hamjui lengo la safari yake ni nini... Kiongozi wa nchi hasafiri tu kwa maslahi yake binafsi...

Huo ufisadi bila Kikwete mgeujua? si yeye ndio anaoibua. Au mmesahau umeanzia wapi?
Inawezekana hujui usemalo........... hao mafisadi si walitajwa na SLAA pale mwembeyanga...??? Hivi KWA NINI HUWI MKWELI KATIKA HILI...... UNAWEZA UKASEMA NANI NDANI YA TIMU YA JK ALISHAWAHI KUTANKA KUWA FULANI NI FISADI..??
 
Hivi ninyi mmekosa kazi ya kufanya!... nimetumiwa mualiko nimeukataa... sababu sioni umuhimu wa kupinga ujio wa raisi wetu...

- mwaandama hamjui lengo la safari yake ni nini... Kiongozi wa nchi hasafiri tu kwa maslahi yake binafsi...

Wewe usiyejuwa kama Rais wako ni mtalii pole sana, leo hii tuna state of Emergence yeye anafikiria kwenda kula kuku majuu! au ameambiwa kuna futari verry special Marekani?
kwa Rais makini hawezi kusafiri kipindi hiki ambacho nchi inayumba mafuta hakuna mitaani, halafu yeye yuko kimya anawaogopa wafanyabiashara wa mafuta maana ndio donors wakubwa wa pesa za kampeni za ccm.
Kwa kifupi serikali imetiwa mfukoni, hatuna serikali bali kuna utawala tu.
 
<font color="#ff0000"><font size="4">Safi saaaaaaaaana, MUNGU awabariki sana.</font></font>
<br />
<br />
Nipo kwenye daladala bahada ya kusoma habari hii nimejikuta nikipiga magoti nakuwaombea Mungu hawabariki mfanikishe wakombozi
 
Wewe usiyejuwa kama Rais wako ni mtalii pole sana, leo hii tuna state of Emergence yeye anafikiria kwenda kula kuku majuu! au ameambiwa kuna futari verry special Marekani?
kwa Rais makini hawezi kusafiri kipindi hiki ambacho nchi inayumba mafuta hakuna mitaani, halafu yeye yuko kimya anawaogopa wafanyabiashara wa mafuta maana ndio donors wakubwa wa pesa za kampeni za ccm.
Kwa kifupi serikali imetiwa mfukoni, hatuna serikali bali kuna utawala tu.

Ndio maana kuna kitu kinaitwa baraza la mawaziri...! kuna makamu wa raisi....... issue ya mafuta ni ndogo sana ambayo ni ya kutatuliwa na wizara husika !

hivi kama mawazo yako ni kwamba Rais akienda safari huwa anakwenda kula kuku... pole zako nakurejeshea mwenyewe
.. kama ni mvivu wa kusoma basi hata uliza kwa wanaojua safari za rais zina umuhimu gani kwa nchi...

Ndio maana kuna kitu kinaitwa baraza la mawaziri...! kuna makamu wa raisi....... issue ya mafuta ni ndogo sana mabayo ni ya kutatuliwa na wizara!

hivi kama mawazo yako ni kwamba Rais akienda safari huwa anakwenda kula kuku... pole zako nakurejeshea mwenyewe
.. kama ni mvivu wa kusoma basi hata uliza kwa wanaojua safari za rais zina umuhimu gani kwa nchi...
Kama issue ya mafuta ni ndogo sana kwa upeo wako, basi sina sababu ya kudebate chochote na wewe maana hata mtoto wangu ambae yuko Primary school anakuzidi ufahamu.
 
mpe hongera mwano... lakini mwambie Rais haamki tu na kusema leo nakwenda marekani.. kesho nakwenda Uk... kesho kutwa s.africa...
 
Nimeshakwambia huna cha kudebate na mimi, mtu usiyejuwa kwamba mafuta ndio yanasababisha vitu vingi ikiwemo mfumuko wa bei, halafu wewe unasema ni kitu kidogo! unategemea ni mtu gani makini anaweza kujadili constructive issue na wewe?
 
None but ourselves can free our country,i'm not fear for mabomu ya machozi or polisi/jeshi coz none of them can stop us!We got something the cant never take away and that is our ability!!
<br />
<br />
kweli watanzania tumeamua tuendeleeni kushikilia hapo hapo..
 
kila la heri wakuu. msisahau kumwandikia mabango mbalimbali kama vile; yeye naye ni gamba anatakiwa kujivua haraka sana; mafiasadi ni rafiki zake ndo mamana hawezi kuwafukuza
 
Nimeshakwambia huna cha kudebate na mimi, mtu usiyejuwa kwamba mafuta ndio yanasababisha vitu vingi ikiwemo mfumuko wa bei, halafu wewe unasema ni kitu kidogo! unategemea ni mtu gani makini anaweza kujadili constructive issue na wewe?

Sawa Mr. i know everything !!! lakni nakwambia hivi ndio maana kuna wizara! ... na ndio kazi za mawaziri na manaibu waziri wa wizara husika! issue hii sio ya kusababisha rais awache majukumu yake mengine ... kama ni hivo kusingekuwa na wizara husika
 
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatapokewa na viongozi kutoka United States , State Department. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe

EliakimMallya@yahoo.com

Update:
Tayari watu 450 wmesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani.

Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda
wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja

Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi

Nimefurahi sana, nilisha haribikiwa siku. Nimetoka Posta kuja Kimara kwa kubanwa ndani ya daladala na tayari naumwa kisa magari hayaendi kwakuwa mafuta hayahuzwi na wenye nchi.

Ebu andika mabago mapema na haya ni maneno mhimu ya kujengea hoja na kumwambia kikwete haya yafuatayo:
  1. WaTz wamechoka na usanii wa mvua ili kuwepo umeme wa uhakika
  2. fuel isiendelee kuuzwa na makampuni ya vigogo
  3. mafisadi wote wanyonge hasa hili la mteule wake Fimbo ambaye pamoja naye wamelamba Trillion 3 wakati serilkali haina pesa
  4. atoke madarakani kwa kuwa ameshindwa
  5. ongeza ndg zangu ili jamaa waisaidie nchi yetu/yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom