Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

Maandamano ya CHADEMA Musoma Mjini - Septemba 22, 2014

Sasa haya Maandamano ni ya UKAWA AU CHADEMA.....KWA HIYO TUSAHAU KUHUSU UKAWA? AU NA CUF NA NCCR NA WAO WATATANGAZA MAANDAMANO YAO?
 
Kweli Sasa naamini CHADEMA imefika kikomo. Haya nayo ni maandamano? Hawa wavuta bangi 20 nao mnawaita waandamanaji?

Mkuu MSALANI endeleeni kuwapa hawa watanzania majina yote mabaya, wavuta bangi, wanywa viroba nk. Lakini nikwambie hawa ndiyo waathirika wakuu WA ufisadi na ubadhirifu wowote ule unaoendelea chini ya serikali hii. Na kwa taarifa yako maoni yaliyotupwa kando Ni Yao!
 
Last edited by a moderator:

Hata sisi ni watanzania. Tena ni wazalendo kuliko hao wahuni wanaovunja sheria za nchi.
 
Last edited by a moderator:
MSALANI embu nitupie hiyo sheria hapa iliyovunjwa na hao jamaa
 
Last edited by a moderator:
daaaaah hii nimeipenda maana wale watoto wa interahamwe wanaobebaga vi2 vya kuulia wasio na hatia wamechanganyikiwa maana hawaelewi waanze kudhibiti upande gani

nimeipenda hii, wengine wataiga mfano huu
 
Chadema ni chama hopeless sana...
Sasa kuna nini cha kujivunia kwenye kuandamana?
Kama bunge la katiba ndio lipo mwishoni hata wakiandamana wakiwa watupu. Haliahirishwi.
 
Leo ccm imepata kashikashi kwa maandamano ya makamanda waliyofanya huku jitihada za polisi kuwatafuta waandamanaji zikigonga mwamba kutokana na ubunifu wa hali ya juu makamanda walioutumia.Kesho yataendelea kwa maeneo ambayo hayakufikiwa
 
Ukiwa mvuta bangi hata hilo kundi la watu utaona ni watu ishirini. Bangi ya kuvutia msalani nadhani inaharibu zaidi ufahamu kuliko nyingine yoyote.

Kweli Sasa naamini CHADEMA imefika kikomo. Haya nayo ni maandamano? Hawa wavuta bangi 20 nao mnawaita waandamanaji?
 
Huyu lazima ashangae maana upeo wake wa kufikiri upo miaka 50 nyuma ya hao wanaoandamana. Maana akiwatazama wanaoandamana wana hali bora zaidi kuliko yeye iwe ni kiakili, ufahamu na hata uchumi.

View attachment 187404jamaa huyu anawashangaa sana.......watu wa musoma ,badala mfanye kazi
eti munaandamana
 
bada yapo?? au yalikua mazoezi... malengo gani yaliyofanikiwa? maadamano TZ? Maadamano Yemen... Misiri
 
Back
Top Bottom