Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza

Nawapa big up zitto na shibuda

Du! huu uhuru wetu umezidi wajuaje?
 
… the people had forfeited the confidence of the government and could win it back only by redoubled efforts. Would it not be easier in that case for the government to dissolve the people and elect another...
Playwright Bertolt Brecht about the 1953 uprising in East Germany
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza

Nawapa big up zitto na shibuda

Tunawajua hao, they support the status quo.Their opposition is expected!
 
hivi Hospital zinajengwa na maandamano??

Hospitali zinajengwa na Serikali ambayo kwa sasa ni ya CCM.... Je CCM inajenga hospitali??? Na hata kama inajenga zina madawa??? Au ndo mambo ya bunduki bila risasi??? Huna hoja wewe!! Kwani watu wakiandamana wewe unapungukiwa au kuongezeka nini???
 
Punguza Mapovu Mkuu, sijui ni nani mwenye Jazba kati ya Yule aliyeandika Piece badala ya Peace na Yule alitoa Maana ya Piece

Nashangaa huyu ni mtu wa tatu sasa anashambulia kuhusu neno piece ambalo nimeshalisahihisha kitambo. Nadhani la muhimu ni kuchangia hoja badala ya kukazana kusahihisha spelling mistakes. Basi waungwana naomba radhi kwa kukosea hilo, yaishe.
 
haina neno na sisi tutawapata tu katika kumi na nane zetu hasa hasa huyo zito... huyu shibuda hana neno maana tumemjua kimjini mjini tutambwaga tu
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza

Nawapa big up zitto na shibuda

Mh!
 
bado wako viwanja?

Rev.masanilo ile picha ya hawa wehu ccm wanalisakata lumba imemfanya shemeji ayako huku acheke sana na mpaka amepaliwa.....

ameshangaa kuona wameshika nyungo......
 
Mbowe anawashangaa CCM kuwalazimisha ushirikiano wapinzani. Anaongelea issue ya umeme na anadai kina JK na Ngeleja hawana mgawo, hauwaathiri
 
bado wako viwanja?

Rev.masanilo ile picha ya hawa wehu ccm wanalisakata lumba imemfanya shemeji ayako huku acheke sana na mpaka amepaliwa.....

ameshangaa kuona wameshika nyungo......

Ndo viongozi wao hao! So sad kwa taifa hili.
 
katika hali isiyo tarajiwa wabunge wawili wameendelea kupingana na uongozi wa chadema kwa kukataa maandamano ya mwanza

Mpaka sasa leo(24.02.2011) sio chibuda sio zitto aliyeko kwenye maandamano ya mwanza

Nawapa big up zitto na shibuda

Hawa Jamaa ni watu makini sana , mie pia nawapa big up !
 
Asante Regia(waziri kivuli -''kazi+ajira'') kwa kutupasha kinachojiri huko Mwanza. Wengi tunatamani kuwa-join ila kwa vile tuko ukanda kidogo wa mbali; imani yetu ni kubwa juu ya uwakilishi wenu.
 
Sasa hivi kama saa 12.05 jioni hapa ktk viwanja vya furahisha kamanda mbowe anasema watazunguka nchinzima kwa maandamano wakimaliza wanataka ccm iachie ngazi bila hivyo itakua kama misri napia kagusia ngeleja ajiuzulu na mwinyi pia ajiuzulu wameshindwa kazi.
 
Back
Top Bottom